Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike!
Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu!
Salam ziwafikie:
Waziri wa Habari na Michezo
Takukuru
BASATA
Swali ni je...
Kwa upande wa wanawake furaha yao ni kuolewa na kuzaa basi. Na endapo mwanamke atakosa hivi wanawake hupata maumivu makali na hujisikia kasoro kwenye jamii.
Ni maumivu gani aliyonayo Wema Sepetu au Lady Jay Dee kwa umri huo kukosa mtoto au watoto?
Kutokana na maumivu haya hupelekea wanawake...
Heshima kwenu wadau
Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa?
Je, ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu au kuna sababu zingine zinazopelekea hali hiyo?
Karibuni tuweze kupeana uzoefu
Ngoja leo tuongee na wanaume tuliooa wanawake wazuri kuona tunakwama wapi. Jana katika pita pita zangu mitaa ya kishua nikaibukia uswazi kwetu. Nikakutana na mwanadada Mashaallah analia huku akiongea kwa hasira akimtaja mtu mmoja kwa jina Mohamed. Alikuwa akipiga makelele Mohamed, Mohamed una...
Katika hali isiyo ya kawaida kabisa Jana jioni katika Vichaka vya iliyokuwa Tanganyika Packers Kawe aliokotwa Mtoto wa kati ya miaka Miwili hadi Mitatu wa Kiume akiwa ametelekezwa hapo na Mama yake. Najua Polisi ya Kawe inayo tayari hii taarifa kwani Juhudi kubwa zilifanywa na Walinzi Shirikishi...
Natumai hamjambo wananzengo
Wakuu wanaume wengi tumekua tukilichukulia poa sana suala la kupiga deki (kuzama chumvini) akati ni jambo muhimu sana katika ndoa/mahusiano ya sasa.
Imagine upo kwenye mahusiano/ndoa na mdada aliezoea kupigwa deki hadi analimwaga unadhani atakuona sawa kama humpigi...
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia, unamfulia nguo, halafu kwa ujinga wako unampa na mapenzi moto moto.
Unajikunja mwenyewe kama kambale kwenye sex mtoto wa watu viuno feni na vilio juu vya mahaba, unampa mpaka style za akiba za kwenye ndoa mpaka unataka...
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani...
Nilikuwa naongea na bwashee mmoja WhatsApp baada ya kuletewa Uzi na shogangu WA Yule binti alieng'atwa na mbwa😂😂
Nikamwuliza bwashee kwanini wanaume wengi sikuhizi hampendi kuzama chumvini?!
Nyie ndio mnafanya wanawake wengi kununua vimbwa na vipaka vya kuwalambalamba
Wanaume wengi mpoo...
Wadada hasa Tanzania licha ya kusema Nchi ya kijamaa wanawake 95% ni wa baguzi sana kuna wanaume hawawachuni wala kuwapiga mizinga lakini wengine ambao weupe (handsome) tunachunwa mpaka basi.
Kama Marekani na Ulaya wameandamana kwanini tusianamane kupinga ubaguzi, nipo tayari kufa nikipinga...
Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi...
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe
Money Penny: haya nambie mwanangu
Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati?!
Money Penny: kwanini unapenda wadogo zako kama sio wanao?
Mtoto: wanaume wadogo Wana vitu ambavyo...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo amezindua ripoti ya utafiti wa kiwango cha matumizi ya Tumbaku kwa watu wazima. Taarifa hiyo inahusisha tathmini ya matumizi, watu waliojaribu kuacha, gharama za matumizi, ufikiwaji wa taarifa za madhara
Amesema Taarifa inaonesha kuwa watu 4 kati ya 10 (32.9%)...
Salaam kwenu wajomba na ma shangazi,
Ujumbe huu uwafikie wanaume wote wawe ni wa Dar au ni wa wapi uko. Wanaume tuache kupenda mteremko, tuache tamaa za kutaka wanawake warembo kirahisi rahisi tu.
Wanawake wote ni wazuri, wanatofautina matunzo tu. Sasa wewe hutoi hela kwa mke/mpenzi wako...
NAOMBA NIANZE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA.BAADHI YAO WANA TABIA KAMA ZIFUATAZO😂😂😂
1.Baadhi yao wanapenda lifi sanaa
2.Baadhi yao wanapenda hela ndogo ndogo sana ukimpa buku utamckia aah hii kubwa sana unakula kabisa hii:D
3.Baadhi yao wanapenda kutoa wosia sana na maneno mengi na hawamalizi...
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,
Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,
Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?
Kutulia na mke mmoja hamuwezi?
BADILIKA TAFADHALI.
Madokta uchwara watakwambia " oooh NI Kwa sababu Una Tatizo la nguvu za kiume!!!"
Usiwalaumu Kwa sababu hata wao hawajui what is going on .
Ndio maana wanaitwa " WAGANGA".
Neno Mganga linatokana na Neno " KUGANGA"
Kuganga maana yake ni kubahatisha bahatisha.
Mfano " Jamaa yupo Mjini ana...
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.