Eti wanaume huwa mnafikiria nini?

Carleen

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
7,505
25,118
Nitawasalimu baadaye,

Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,

Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake ama mkewe kabisa.

Na sometimes kamuweka mwanamke wake profile huku anatupia madini kwa mwanamke mwingine.! Hivi huwa nafsi haziwasuti?

Nabaki najiuliza hivi huwa hamuoni hata aibu kidogo tu? Kamtu kanakupiga sound, kameweka simu mezani, halafu wallpaper kaweka picha ya familia yake pengine mkewe na katoto kake, sasa unashindwa kuelewa hii kifaa hata haijishtukii kweli?

I once had this guy alikuwa ananipendaga tu maskini sema akakuta ile kani mvutano kwa upande wangu haipo kabisa, sasa akaja kuwa kwa mahusiano with this beautiful girl, I real can admit that, baadhi yetu mdada akiwa mzuri huwa tunajua na tunakubali kwamba maan, she is real something.

Nikajiskia vizuri kwa ajili yake sababu nikajua ule usumbufu na manung'uniko for years yatakuwa yamefika kikomo, lakini wapi.

Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'.

Unabaki unashangaa whaaaaat? 😂
Huoni hata haya? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli?


Edited; Watanzania mmekazana kunijibu swali ambalo sijauliza jamani, nauliza kingine ninyi mwanijibu kingine.!!
 
Inahitaji kipaji kwa mwanaume kuridhika.
Hekima ya hali ya juu sana inahitajika kuweza kuituliza nafsi ya mwanaume kwamba ridhika (kinai).

Ni kama ukiwa nyumbani, hata kama TV inaonyesha kipindi kizuri kabisa, hakina tatizo lolote, utashika remote uzururezurure channel zingine hata kama hawana kitu cha maana kisha unarudi kwenye ile ile ya awali, hapo umeshapitwa na mambo ya muhimu yaliyokua yanaendelea wakati una manga manga kwenye channel zingine.

Maamuzi yetu kwenye hii tasnia hua ya ghafla yenye kukosa utulivu. Wachache, narudia tena wachache wanaoweza kumudu na kusimamia kutokuongozwa na hisia wanafanikiwa sana.

Mtuombee tu. Najua wapo watakaosema tunajiendekeza.
 
Social media ni kufata mkumbo tu..
Haiakisi real life..
Wengine tuna post mradi Tu uende na jamii ilivyo...
Watu wa siku hizi ndugu yako akifa hujampost hawakuelewi kabisa..au birthday ya gf /Mke hujampost ni ni kesi kubwa...

Deep down maisha yetu halisi hayako kwenye social media
 
Anapost pisi yake kali na ni kali kweli, na maneno kedekede yale mazuri mazuri ya kwenye movie za kifilipino, halafu akitoka hapo anakuja kukuambia 'unajua Carleen wewe ndiyo mwanamke ninayekupenda sana'..!
Unabaki unashangaa whaaaaat???? 😂
Huoni hata haya?? Walaqhi' wanaume mtapigwa radi kwa hizo tabia zenu.!

Kitu ingine inashangaza zaidi ni vile akiona kitu chochote kwako, anakuwa very very mad, he is very jealous mpaka anakasirika kabisa, sasa unashindwaa, mbona uko na mdada wako mrembo kabisa umempost everywhere dunia nzima inamfahamu ni nini tena mbaya na wadada wengine..?

Wanaume hebu kuweni wakweli, huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu mkiwa mnatenda hayo, hata roho haziwashtuki kweli.??
Kumiliki IST ukaisifu kuwa ni gari zuri hakukufanyi usahau ndoto zako za kuwa unatamani kumiliki Discovery 4. Na pia ikiwezekana uwe una IST for town Cruising na Discovery for long trips
 
Mwanaume ukimuwekea hapa mademu 10 wakali kabisa ukamwambia achague mmoja, atachagua! Lakini wale 9 waliobaki nao bado atawataka.

So usifikiria alivopata huyo demu mkali ndo ukadhani karidhika kukukosa wewe.

Ni wenye hofu ya Mungu tu ndo wanaweza kutulizana na kuridhika na mmoja aliyenaye
 
Wanaume wengine tunaamini pepo yetu ipo hapa duniani Wala si kwengine.. kwa taarifa yako huwa hatujisuti,tunajiskia burudaani.. ila in a serious way pamoja na yote hayo mke tunamuheshimu!.. don't ask inawezekana vipi ni siri ya kambi..!

khaa
 
Okay, mpango mzima uko hv,

Ukiwa na timu ya mpira ni lazima utafute wapinzan wa kushindana nao.

Mke ni timu halisi ya mume then nyie wengine ni wapinzani, sasa n jukumu lako ww mpinzani kushinda mechi au kufungwa
Bro swali langu lilikuwa wakati mnatupia madini kwa wanawake wengine huku sura za wake zenu zinawatazama pichani huwa hamjishtukii.??
 
Back
Top Bottom