Kizazi cha Wanaume Wahongaji chapotea taratibu, kizazi cha Wanaume bahili chashika chati kwa kasi

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
Habari wadau

Mimi nakumbuka nilionga sana ada yangu alafu kuirudisha ikawa shida nikauza vitu vyangu vya getto

Nikamaliza chuo nikapata kazi sehemu nikawa nahonga mshara wangu nusu kama fungu la kumi lakini bada ya kuteswa na mahusiano na kugundua kuwa wanawake ni waongo na walafi sikuizi sihongi kabisa ata yakutolea

TAFUTA WAKUSAIDIANA NA SI WAKUMSAIDIA
 
Pole sana.
Lakini wenzake wanaojua maana ya "uanaume" bado wanatoboka.
 
kuna dada aliwahi nambia, mwanaume kutoboka akiwa ana-approach ni jambo la kawaida bt mkishaanza date kama umempenda/anajua mapenz hua hatuwapigi mizinga sana labda kama kuna ulazima sana...

akaendelea kusema ukiona ke anakupga mizinga sana mkiwa kwenye mahusiano ujue hakupendi or hujui mapenzi.
 
Kinapotea sababu wanawake wenye thamani wanapotea pia

Huwezi kuwa busy kuhonga wakati kuna watu wanakula kijinga jinga

Ila ukipata mwanamke mwenye thamani yake kuhonga itakuja automatic tu bila hata kuombwa na mtu unless uwe mchoyo kweli kweli na mbinafsi

Leo hii wanaume wanajisifu kulala na mwanamke bure bure kama ambavyo mwanawake wanakaa salon kujisifu kuwa na mabwana wawili watatu..

Gender war ipo sababu wanaume wamekuwa irresponsible tofauti na zamani,wanawake wameshuka thamani tofauti na zamani..

Wanaume wakiulizwa kwanini hawahudumii wanasema utahudumia wkt wenzako wanakula bure wanawake wakiulizwa why wamekuwa vicheche wanasema wanaume wamekuwa madume suruali wanajaribu jaribu jali kupata mwanaume anayejua kufanya majukumu yake..
 
Hoja ime balance... Safi sana
 
Umemaliza kila kitu mkuu big up
 
Back
Top Bottom