Bora ubaki single kuliko kuoa nesi, maana anaaga anaingia night kumbe anakwenda kwa mwingine

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
Nishakuwa na mke wa mtu alikuwa ni nesi katika hospital flani. Bwana bwana alikuwa anamuaga mumewe anaenda shift ya night kumbe anakuja kwangu anapika anapakua analiwa kesho yake asubuhi anarudi home kulala hiyo ni siku moja kabla hajaanza off au baada ya kuanza off.

Alinipenda sana yule dada acha kabisa nakumbuka penzi lake turufu ingawa niliona nimwache ingawa niliumia mana muoshwa naye huoshwa
 
ANAWEZA AKAWA mama wa nyumbani lakini akichukua ndoo tu kwenda kisimani tayari anaenda kuliwa nyumba ya jirani hiyo ni tabia tu hawachungwi hao
Kabisa mkuu hawa viumbe hawachungiki kabisa ndio mana maandiko yanasema tuishi nao kwa akili sana
 
nishakuwa na mkee wa mtuu alikuwa ni nesii katika hospital flan
bwana bwana alikuwa anamuaga mumewe anaenda shift ya night kumbe anakuja kwangu
anapika anapakua analiwa kesho yake asubui anarudi home kulala iyo ni siku moja
kabla ajaanza off au baada ya kuanza off
alinipenda sana yule dada acha kabisa nakumbuka penzi lake turufu ingawa

niliona nimwache ingawa niliumia mana muoshwa nae huoshwa
Na wewe ni wale wale. Unajua kabisa ni mke wa mtu. Na ww ndio mchepuko.. ww ndio mla.nesi.. halaf unasema huyaki kuoa nesi.
Kati na yeye na mumewe.. nani anastahili kutoa kauli hiyo
 
Daah kumbee aiseee ngoja huyu sister nimpige chini na kishika uchumba nilichotoa kwao nasamehe
Mkuu oa tu wala usiogope mana ukimchunguza sana bata kamwe huwezi kumla kama umetoa kishika uchumba ni muda mwafaka wa kupeleka mahali kabisa
 
sana ndugu kumchunga ni kujitafutia presha tu bora kuamini kuwa haliwi hata kama analiwa inakupa ahueni ya moyo usiutese
Aswaaaa mana hata rich mavoko aliimba kuchapiwa siri ya ndani kwa iyo hawa viumbe tuishi nao kwa miakili mingi sana
 
Daah kumbee aiseee ngoja huyu sister nimpige chini na kishika uchumba nilichotoa kwao nasamehe
kama unabishi mchunguzee deep utanielewa kka au chukua simu yake gafla icheki utatoa ushuhuda apa kama roma mkatoliki
 
Hio kauli siiamini hata kidogo ndo huwa mara nyingi inatuponza. wanasema kosea kujenga Ila sio kuoa

Ngoja nichunguze kwanza
Mkuu oa tu wala usiogope mana ukimchunguza sana bata kamwe huwezi kumla kama umetoa kishika uchumba ni muda mwafaka wa kupeleka mahali kabisa
 
Huwa mnaniboa xana mnaokuja humu jf kujisifia kwa kula wake za watu 🤔🤔🤔 then ukishatangaza unapata credit gani yani
 
Mkuu ni bora ukae single kuliko kuoa kabisa, ,,,mwanamke ni yule yule mkuu,,,usiwasingizie manesi. Wanawake wote wana sifa zinazofanana,,kikubwa ni kuomba MUNGU tu kupata mke mtulivu na mwaminifu.

Mwanamke yeyote mfanya kazi anaweza akatoka kwa mumewe anakwenda kazini na huko kazini asifike,,akaishia kwa msela akampakuwa kinyesi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom