Wanaume ndio wanakwazika zaidi wawapo na maumbile madogo (vibamia) kuliko hata wanawake (wenza wao)

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,920
15,609
Watafiti wanaeleza kuwa wanaume ndio huwa wanakwazika zaidi wawapo na vibamia kuliko jinsia ya kike (wenzi wao). Na huwa watoa madai ati hawawafikishi wenzi wao kileleni kwa kuwa na maumbile ya hayo. Wengi wao (wanaume) hudai eti mpaka uwe na tango ndio utafikia G-Spot ya mke.

Utashangaa hata wale wenye matango huwa wanatamani wawe na mguu wa mtoto!

Kuna huyu mwanaume aliuliza eti hivi uume wa sentimita 15 (karibu inchi 6) ni mdogo kwa mwanamke?!

Mdada ambaye ni lecturer na mbobezi ktk taaluma hiyo akatoa somo kuwa haihitaji uume mreefu (tango) kumridhisha mke. G-Spot ipo umbali wa wastani wa sentimita 5 (sawa na inchi 2) ndani ya uke. Hivyo ukiwa hata na kibamia cha inchi 2.4 (sentimita 6) utaweza kumridhisha mkeo endapo ukikitumia ipasavyo.

Lecturer huyo mdada katika fani husika akaendelea kutoa somo zaidi kwa kusema kuwa urefu wa wastani wa uuke ni inchi 3 hadi 4 (sawa na sentimita 7.6 hadi 10). Lakini usijali wewe mkaka mwenye tango au mguu wa mtoto, kwani uuke unaweza kutanuka wakati wa kujamiiana na kuongezeka zaidi kwa asilimia 200 (200% a.k.a. ukaongezeka zaidi ya urefu wa mwanzo kwa mara 2).

Yaani ni hivi, kama urefu wa mwanzo kama ni inchi 4 (10 cm),

basi utapotanuka wakati wa kujamiiana utakuwa 4 inch + 200٪*4inch
= 4 inch +(200/100)*4 inch

= 4 inch + 2*4 inch

= 4 inch +8 inch

= 12 inch (yaani sawa na sentimita 30)

Kumbuka rula ya kawaida urefu wake ni sentimita 30, sasa kazi kwa wale wanaopania kushindana na kutanuka kwa uuke.

Pia matokeo ya utafiti uliochapishwa na chuo kimoja huko Uingereza, yanaonesha asilimia 85 ya wanawake hawana tatizo na maumbile ya kawaida ya uume. Pia yanaonesha kuwa wanawake wengi hujali zaidi unene wa uume na sio urefu wake.

Matokeo ya utafiti mwingine yanahitimisha kuwa wameshindwa kuelewa sababu hasa inayowafanya wanaume wakwazike na maumbile yao ya awali ya uume na kutaka makubwa zaidi wakati wanawake kwao hilo si tatizo.
=======

Screenshot_20201214-153458_Chrome.jpg


Screenshot_20201214-153611_Chrome.jpg


Screenshot_20201214-153249_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom