Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,544
15,216
Mwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu.
Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu
Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa
daladala sio Hammer au V8.

Wanaume wenzagu katika hili, Mungu anatuona jinsi tulivyo na roho nzuri.
Leo nimeshuhudia wanawake wanne waliokaribu na mwenzao ambaye anamtoto mchanga wakiwa wamevuta midomo na kukunja ndita kuonyesha hawatampisha mwenzao. Hii ilipelekea mwanaume aliyekaa mbali kabisa ampeshe mwanamke huyo.

wanawake mjirekebishe aisee. maroho mabaya sio dili.
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
 
Watendeeni mema wanaowaudhi
Msilipe baya kwa baya
Unajikosesha baraka mkuu
 
Haya mwanamke akiwa na gari kumpa lift mwanamke mwenzie ni mtihani sana
alafu ukiwakuta makanisani wanaongoza kwa kumlilia Mungu kwa machozi na mayowe, wengine misikitini wanaadabu mnoo.
Daladalani Shetani anawamiliki wote kwa nguvu kiduchu tu.
Wapo wachache sana, ila wengi wanaroho za kikatili sana kwa wenzao nadhani hadi shetani huwa anawashangaa imekuwaje mbona hata yeye hawezi kufanya huo ujinga kwa majini yake?
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Pole mkuu mtoto wetu anaendeleaje
 
Kama mbwai na iwe mbwai kuna wengine wanazidi wingine yupo kituoni gari zipo kibao badala apande nyingine asubili kupishwa afanye tu mazoezi, mwingine unampisha hata kusema asante anakaa na kuchukua smartphone yake uliyempisha unaanza kuvuja jasho la kwapa mwenzio anachart
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Pole sana
 
Huendi mbinguni
 
Back
Top Bottom