wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnahitaji nini?

    Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

    Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF! Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment! Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa Wapo wanandoa...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

    Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume ambao hawana mpango kuoa hebu njooni mtueleze nini kiliwafanya mfikie maamuzi hayo

    Kama kichwa cha habari kinavuojieleza ilikuweje ukafikia hatua ya kufanya maamuzi ya hutokuja kuoa au hiutokaa Luciano Je, tazizo ni nini?
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  7. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Mfano wa Wanaume wanaotufanya Wanaume wote Wakazi wa Dar es Salaam tuonekane 'Nyoro Nyoro' tupu

    Hivi kuna baridi gani kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam hii hadi Dume zima kila mara tena likiwa limejikunyata Chumbani linamuomba Mkewe amchemshie Maji ya Moto akaoge? Kuna Wanaume wengine ni Mayai Mayai ( Nyoro Nyoro ) hadi nikiwasikia wanafanya 'Upuuzi' huu wakiwa Makwao natamani 'niwaibukie'...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

    Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee. Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani . Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto. Mkewe jioni hupenda kujifunga...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

    Hivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki. Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuboresha afya ya mbegu za kiume (sperms)

    Utengenezaji wa mbegu za kiume katika kiwanda cha kutengenezea mbegu katika mwili wa mwanaume (mapumbu) huchukua muda mrefu kuliko wengi wanavyodhani. Mfumo hutengeneza sperms kila siku, lakini mzunguko kamilifu wa sperm zilizokomaa kabisa unachukua kati ya siku 64 mpaka 74. Wakati wa mlolongo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

    Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .
  12. JamiiForums Tanzania Kitu ambacho wanaume wa humu hawajui

    Wanaume wa humu jueni hili kuwa wanawake wahumu sio single bali kuna kipindi mtu anafunguka kuongeza mtu tofauti na yule aliyenaye ila sio hana . Nyie mna dhani huyu mtu nisingle. Mfano hai ni huu mie ni nisiwe mzuri au mzuri na mtu wangu. Shida nyie mkiona mtu anashida mnaanza kudhani ni...
  13. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

    Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea! Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

    Wanaume wa sasa mna matatizo gani haswa maana sielewi tatizo lenu ni kwamba hamtaki mabadiliko au akili zimeelemea kwenye mfumo dume au ni nini hasa?Hamna lilo la kheri kwenu,wanaume hamuishi malalamiko mnaongea hata kuwazidi wanawake, maana najua mwanamke ni itikadi yake kupenda kuongea...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

    Habari wazeee kwa vijana? Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu Hivi mwanaume kabisa umekamilika Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua Huwa mnaanzaje? Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake...
  16. JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

    Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa. Nami ninamthamini sana kwakuwa anamapenzi yakweli kwangu. Tatizo mimi ninatamaa sana ninawatamani sana wadada wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoangalia pesa mnatutesa sana wanaume. Mtalaaniwa

    Hali bado sio nzuri kwetu wanaume kama bado wanawake mtaendelea na msimamo wenu ule ule kuangalia mwanamme una nini au unafanya kazi gani naona mwisho wenu utakuwa mbaya zaidi. Mmevunja mahusiano mengi kwa dharau zenu na viburi sababu kuu ni mwanaume hana kipato unachotaka mmetuacha na maumivu...
  18. JamiiForums Tanzania Huenda Mwenyezi Mungu sasa katuchoka Wanaume na ameamua kuwainua Wanawake katika nyadhifa kubwa za kiuongozi Duniani ili tujifunze kwao

    Huko Marekani kwa mara ya Kwanza katika Historia yao Makamu wa Rais wa sasa ni Mwanamke Kamala Harris. Nchini Tanzania kwa sasa na haikuwahi kutokea Rais wa nchi ni Mwanamke Mama Samia Hassan. Huko nchini Kenya pia katika Historia yao kwa mara ya Kwanza leo imempata Jaji Mkuu Mwanamke Martha...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabila la wamaasai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?

    Habari za Leo wakuu, Naomba kujua swali hili Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabira la wamasahai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?
  20. JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume, ukiomba namba ya simu usipopewa elewa

    Habari wana MMU, Nataka kusema na wanaume, mtu ukimuomba namba ya simu akikukatalia elewa tu kuwa umekosa jamani sio unalazimisha utadhani unamdai mtu khaa. Namba umekosa unaanza kumfata mtu unalazimisha uende anakokwenda akisimama unasimama akikatisha upo na maswali kama polisi kwani lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…