wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hongera kwa wote walioamua kuoa

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi! Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

    Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini! Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo...
  3. JamiiForums Tanzania Uhalisia: Wanawake wengi Duniani wana Uke mdogo kuliko wanaume wengi wanavyofikiri

    Kutokana tafiti mbalimbali za wataalam wa Takwimu (worlddata.com), mifumo ya uzazi ya wanawake(Gynaecologist),maswala ya ngono na mahusiano(sexologists). Ni kwamba, Kwa zaidi ya 70% ya wanawake wote duniani, 1. Mwanamke akiwa katika hali ya kawaida RELAXED MODE [emoji117]Uke wake unakua na...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa unatafsiri vipi unapoitwa shem darling

    Heshima kwenu wadau MMU Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike. Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wa aina hii wanapotea kwa kasi sana duniani

  6. K

    JamiiForums Tanzania Nilichokikuta kwa Mchepuko wangu jana, wanaume tuwe makini

    Nnawasalim sana wakuu, nnaomba niende kwenye mada moja kwa moja. Ni hivi mimi ni mwajiriwa na niko mkoa fulani, familia yangu iko Mkoa Mwingine. Sasa baada ya kuja hapa ktk pitapita zangu nikakutana na binti mmoja mzuri tu na mwenye sura ya upole na mtulivu, yeye anafanya kazi sector binafsi...
  7. JamiiForums Tanzania Lotion kwa Wanaume

    Wanajamii naomba msaada, lotion nzuri kwa wanaume wenye ngozi yenye mafuta maeneo yenye baridi. Nawasilisha.
  8. JamiiForums Tanzania Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

    Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu. Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena. Ya ndani yakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea Wanaume kubadilika kitabia baada ya Wanawake wao kubeba Ujauzito

    .
  10. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana naye kwa sababu ana mahusiano na wanaume wengi

    Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa, Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22, ukimwangalia sura kama ya kitoto. Ila nlkua nadate nae mpaka mama ake anajua, ila hajatulia maana wki mbili...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, mpenzi wangu anawasiliana na wanaume wengine

    Habarini wandugu Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu kwa ukarimu upendo na undugu uliopo baina yetu japo wengi wetu hatufahamiani lakini tumekuwa tukisaidiana hususan kwa ushauri mzuri. Moja kwa moja niende kwenye kile kilichonileta hapa, nimekuwa nikiishi na mpenzi wangu ambaye...
  12. JamiiForums Tanzania Restituta Mbogo: Wakina Mama hakikisheni Wanaume wanaandika majina yenu pindi wanaponunua ardhi

    Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia. Mhe. Restituta ametoa ushauri...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni huku tukumbushane mambo ya msingi

    Habari wana JF. Leo kuna vitu ilinibidi niwaeleze wale wanaume wenzangu wenye akili za miaka ya tisini maana huwa wanapata shida sana kusaivu katika mapenzi kutokana na mabadiliko ya kitamaduni. Kwanza nianze kuelezea miondoko ya dunia ya sasa ambayo amkuwa teyari kuyakabili:- Dunia sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha Wanaume kuwatelekeza Mke na Mtoto/Watoto wao?

    Ni jana tu tulikuwa tunazungumza na Mtu akanieleza namna ambavyo Dada yake alivyopambana na maisha mpaka kufikia kujijenga kiuchumi, aliweza kujijengea vyumba vyake viwili vya kuishi na biashara yake ya duka la rejareja. Baadae alipata mwenza na kubahatika kupata Watoto wawili, baadaye Baba...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wahanga wa tatizo la nguvu za kiume ni wanaume au wanawake?

    Wenyewe tumetulia tuli, na tumeridhika na hali zetu lakini wao/wanawake ndio wapo Mstari wa mbele kututafutia Tiba za kuponya tatizo hili. Barabarani utawakuta wanauza vipande vya nazi, mihogo na Karanga. Ukiingia mitandao ya kijamii unakutana na matangazo kibao ya madawa ya tiba lishe na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kama Bill gates ni mbakaji basi wanaume wote Hamfai

    Bill gates
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

    Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo. Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni? Je, tatizo nini? Tuambizane.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanaume wengi huwapenda zaidi watoto waliopigiwa kuliko watoto wao wa damu?

    Kuna hii nadharia imeenea sana kwenye jamii za kiafrika kuwa mtu anampenda zaidi mtoto ambae sio damu yake kwenye ndoa. Unakuta mtu ana watoto wanne, wakwanza anafanana nae, wa pili pia wa tatu anapigiwa na kinatoka kitu tofauti na yeye. Unakuta dingi jeusi kama dhambarau lakini mtoto white na...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

    .
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…