Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh.

Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada yuko na dume lake, ameagiziwa hills water ya 1000 na jamaa nae kaagiza hill water ya buku, baada ya kuwaangalia vizuri pozi walizokaa nkajua hao ni wapenzi, nimekaa pale masaa manne, maji ya elf ni hayo hayo yananywewa, wakati wateja wengine wanaagiza ballantino, Windhoek na hennesy.

Shida sio jamaa kuagiza maji ya buku, mwanaume kumleta mpenzi wako sehem ya hadhi kama hiyo, hlf unachomwagizia ni maji ya buku wakati smoothie juices, milk shakes, kitimoto, nyama rost, wali, kuku chips na ugali Maini vipo, huko naona ni kama kumdhalilisha demu wako, Kama huna hela mpeleke vibandani.

Au ukija sehem kama zile kuangalia mpira tu, njoo mwenyewe, mwanaume inatakiwa ukiwa Peke Ako na demu wako sehemu kama zile, kibunda kiwe kinasoma mfukoni, uhakikishe wewe na demu wako mnaenjoy.
 
Nishawahi kua na mahusiano na binti ye anapenda ugali tembele tu, hayo machipsi na manyama nyama, soda na hiyo mijuisi hata haipendi sana sana maji ya bariiidi.

Ni kawaida hiyo na wewe jamaa uache umbea na wewe ulikua unafanya nini hapo masaa 4 yote, au ndo ulikua unatafuta kichwa cha uzi wako.
 
Kuna kaka mmojawaliniambia aliwahi kudate model, wale design ya kina Flaviana Matata na Naomi. Hakutaka kabisa kuharibu shape yake. Alikula mara moja tu kwa siku. Mchana kutwa alishindia maji.

Akimpa company mpenzi wake, lunch anaagiza chupa ya maji tu.
 
Jike: "Bebi nimesahau pochi yangu"
Dume: "Aisee pole sijui hata utakula nini bila pesa, hapa huwa hamna cha bure, acha mimi nile"

Ni aina ya maisha yao wewe hayakuhusu🐒
IMG_20211028_135535.jpg
 
Nadhani unakosea sana, au sijui niseme ulimbukeni. Wewe unaamini kuwa mwanaume hakuwa na hela kwakuwa alikuwa anakunywa maji? Kwa hiyo wewe unaamini mtu akinywa hennesy ndio ana hela? Kweli tuna safari ndefu sana vijana wa nchi hii kama mawazo yetu yako hivi.
 
Nishawahi kua na mahusiano na binti ye anapenda ugali tembele tu, hayo machipsi na manyama nyama, soda na hiyo mijuisi hata haipendi sana sana maji ya bariiidi.

Ni kawaida hiyo na wewe jamaa uache umbea na wewe ulikua unafanya nini hapo masaa 4 yote, au ndo ulikua unatafuta kichwa cha uzi wako.
Kuna kaka mmojawaliniambia aliwahi kudate model, wale design ya kina Flaviana Matata na Naomi. Hakutaka kabisa kuharibu shape yake. Alikula mara moja tu kwa siku. Mchana kutwa alishindia maji.

Akimpa company mpenzi wake, lunch anaagiza chupa ya maji tu.
Yaah ni kitu cha kawaida sana mkuu. Tatizo watu wanadhani kila mtu anapenda kile ye anapenda.
 
kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi..plus tv Pana flat screen, Nlivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh Mungu ni fundi...ile nimeingia ndani mdada yuko na dume lake, ameagiziwa hills water ya 1000
Muachage UONGO na kujipaisha, Yaani mgahawa upo classic halafu wanauza maji 1000 kweli? sa hapo si kama dagaa dagaa pale KIBO

Tuachane na hayo jamaa ni mwenyikiti wetu UWABATA tawi la Sombetini
 
Back
Top Bottom