wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Napendekeza wanaume tuanze kutoka na wanawake wa kishua

    Kutokana na dunia ya sasa ilivyo napendekeza wanaume tuanze kutoka na wanawake wa kishua au vipi? Wengi wana upendo wa kweli na nimeona hili. Kaka mkubwa Usangelola heshima yako! Nimeku+acknowledge!
  2. Unaweza mwambia mume wako idadi ya wanaume ulio-jamiiana nao awali kabla ya yeye kukuoa?

    Mazoea ni kwamba, Ndoa za siku hizi zinavunjika mara tu baada ya kufungwa maana wanawake hawasemi idadi ya wanaume walio-fanyana nao ili mume mpya ajue reli anayopitia. Ni muhimu mwanamke kumwambia mwanaume idadi ya wanaume alio tembea nao ili mume mpya aongeze juhudi kitandani, maana kila...
  3. B

    Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

    Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh. Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
  4. N

    Kwanini ndoa nyingi zinavunjika? (Sehemu ya 1: Upande wa wanaume)

    Katika siku hizi za mwisho, migogoro ya kindoa imekuwa ni mingi sana, kiasi kwamba ndoa kudumu hata mwaka mmoja, ni jambo la kushukuru sana. Kila kukicha mikwaruzano, hakuna amani, kila mmoja amemchoka mwenzake. Mpaka wengine kudhani huyo mwenzi aliyemuoa au aliyeolewa naye halikuwa chaguo...
  5. Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me. Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
  6. Ugumu wa Maisha husababisha Wanaume kuugua kwa wingi matatizo ya Afya ya Akili kuliko Mwanamke

    Wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wametaja sababu 10 zinazochangia wanaume kuongoza kuugua magonjwa ya afya ya akili ikilinganishwa na wanawake. Sababu hizo ni kuzongwa na majukumu, ugumu wa maisha, utafutaji, malezi, usiri, kukua kwa teknolojia, matarajio ya maisha, sonona, matukio...
  7. Wanaume wenzangu tusifanye hivi

    Unapoamua kuzaa na mwanamke, basi inatakiwa uwe tayari kwa majukumu ya kumlea mtoto ambae Mungu amewa jaalia kumpata. Ukweli ni kwamba suala la malezi sio suala la kitoto, linahitaji sacrifice ya kutosha, kwa hiyo kitendo cha kuwakimbia wanawake na kuwaacha na viumbe huwa inakuwa ni jambo zito...
  8. Michirizi nyuma ya magoti ni ugonjwa wa Wanaume wengi

    Mwanaume uliyekamilika ukipishana na mwanamke wa hivi, lazima shingo yako igeuke. Hasa ukute ndo kavalia kanga moja, ndo katoka kuoga mnapishana koridoni[emoji39] Au umkute kavalia suti yenye sketi fupi anaokota faili lililodondoka ofsini[emoji39]. Au kajilaza TU kwa uchovu kifudi fudi...
  9. Onyo kwa wanaume mnaotaka kuingia kwenye ndoa

    Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki zangu wa JF, Leo nitakwenda fastafasta maana hamnilipi, ambae atanielewa sawa ambae atapuuza sawa pia; Kwanza cha kwanza kwa utafiti nilioufanya kwa hizi siku kadhaa nilipokuwa kimya nimegundua kuwa kumbe wanawake wa sasa wanaingia kwenye ndoa kwa...
  10. M

    Hivi wanaume wenzangu tunakwama wapi? Yaani unacheza upatu na mchepuko wako halafu unataka akupe hela kamili/yote

    Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha. Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani. Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako...
  11. Hii kwetu Wanaume wote

    Unasikia mwanaume anasema Mbona mama Fulani au mke wa fulani, ikifika jioni anapendeza? Hayo ni Maneno ya wanaume Wengi kwa wake zao. Vichekesho Kweli* : unatarajia kuvuna wakati hujapanda? Mnatarajia vielee nakati hujaviunda? Hivi ni Lini umemnunulia Mkeo ivyo ambavyo akivaa (Mkiwa ndani)...
  12. Wanaume wanaohudhuria makongamano ya wanawake tuweleweje?

    Kongamano la wanawake mwanaume unawezaje kuhudhuria na kujichanganya kabisa na wanawake kama mwenzao? Niliona Dodoma Rais aliitisha kikao na wanawake nikashangaa midume imehudhuria. Halafu cha kushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao...
  13. Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

    Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno...
  14. Wanaume wa mikoani mtubakishiege na wageni..

    Niaje wakulugwa.....!! Baada ya changamoto za maisha nikaamua kukimbilia mkoani kujipanga upya sasa maajabu niliyokutana NAyo yaan watoto woooote wazuri washazalishwa teNA mapema saana. Mfano juzi kati nikakutana na mtoto mzuri kweli kweli yupo kwao mi natoka ibadani akanipa ishara kwamba...
  15. Mwanafunzi bora UDSM ametuokoa wanaume anaitwa TITO ana GPA ya 4.8 net bila nyongeza

    Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,. Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu. --- Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM Tito...
  16. Kwanini wanaume tunapenda wanawake walioshindikana?

    Hapa mtaani kuna madoni kama watatu. Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja. Doni wa pili alipata mke ambaye ni kicheche mtaa mzima alipotoka kwao wamejishindia amri ya sita. Doni wa tatu alipata mke...
  17. Wanaume tunarogwa sana na wanawake

    Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake. Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu. Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama kumuoa, kuishi naye, uchumba wa malengo, sehemu yake ya maisha na n.k Sasa yeye mwanamke ili kuweka...
  18. Njaa mbaya wanaume, acha tu wanawake wapende pesa

    Nilijaribu juzi kukaa asubuhi mpaka jioni kwa kunywa chai tu, aisee asikuambie mtu, njaa mbaya! Umasikini mbaya mnooo! Leo nawakingia vifua wanawake, msiwalaumu jamani, tutafute pesa. Kuna muda unapigwa mzinga mzito, unaishia kulaani kabisa na kumtukana huyo bae wako. Ila jua tu ana wazazi...
  19. Wanaume wanaohonga sana ni mitaji kwa wanawake/warembo

    Kwa ulimwengu wa sasa huu ndio ukweli, kutokana na tamaa na mahitaji ya anasa kuongezeka kote duniani; wanawake/warembo wengi hupenda kutumia njia ya mteremko, hasa pale wanapopata mtu wa kuwahonga. Ndio maana kwa hali ya sasa mtu anapendewa pesa au mamlaka aliyonayo yanayowezesha kumrahisishia...
  20. Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Mwanaume mke wako amechelewa kurudi kazini unashindwa kuongea nae na kujua kilichotokea unanuna na kwenda kulala. Masikini binti wa watu hajui hata kama umekasirika. Huyu hapa pichani anakereka kumuona mke wake ana chart kwenye simu, anashindwa kumwambia hisia zake amebaki kujikunyata huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…