Wanaume wanaohonga sana ni mitaji kwa wanawake/warembo

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,420
40,405
Kwa ulimwengu wa sasa huu ndio ukweli, kutokana na tamaa na mahitaji ya anasa kuongezeka kote duniani; wanawake/warembo wengi hupenda kutumia njia ya mteremko, hasa pale wanapopata mtu wa kuwahonga. Ndio maana kwa hali ya sasa mtu anapendewa pesa au mamlaka aliyonayo yanayowezesha kumrahisishia maisha mrembo husika.

Warembo hao huwatumia wanaume hao kujipatia mali mbalimbali kama; majengo, magari, vyeo n.k Na pale pesa au mamlaka yanapoisha warembo/wanawake hao uachana na huyo mwanaume na kuangalia fursa kwa mwingine mwenye uwezo na nafasi. Na hii inatumika hasa kwa wanawake wa mijini.

Hii imekuwa ni mitaji au mafanikio kwa warembo wengi wa mijini. Kwa wale wanaume wasiokuwa na uwezo wa kuhonga ndio uangukia kwa wapenzi wenye muonekano wa bulicheka n.k
 
Lakini kuna raha sana kuhonga na kung'oa demu mkaliiii... Ukitaka usitumie nguvu nyingii kumpata demu mkali wewe mkatie pesa ndeefuuu halafu usimpe hata namba yako, utashangaa tuu anakutafuta mwenyewe....
 
Na ndo maana wanawake wanatumia nguvu kubwa ya ushawishi wa mapenzi kufikia hadi kutoa kinyelo ili mradi lengo litimie

Mwamba akisha mpizia kwa ndani ya kinyelo basi mwanamke anakuwa anawashwa washwaa...

Sasa ndo inakuwa mchezo wake na mwisho wasiku kinyelo chake kina kuwa kitega uchumi ana kitoa kama pipi Doh...

Na hii wanawake nikupenda mserereko zaidi.
 
Ni kosa mwanaume kuwalaumu wanawake wti wanatumia njia ya mkato kupata hela, unataka mtoto mzuri akakoroge zege?

Wanawake wameumbwa kutunzwa, kupendezeshwa, kulindwa na kupewa, wao ni wapokeaji wa kila kitu, wanapokea mashine, wanapokea shahawa, wanapokea mimba, nk.

Binadamu kua mwanamke tu ni gharama.

Tuwatunze hawa viumbe watupatie raha na burudani Duniani. Hawa viumbe wapo kutufurahisha na kutupa raha.

Usipohonga mwanamke unataka umhonge nani?
 
Picha llinaisha mwanamke age imeeenda mwili umechakaa. Wots next'?!

Hapa ndio huwa ni patamu. Dada mwili ndio ulikuwa source of income, akishachoka sasa mwili.

Naomba nisiongee zaidi.

Kwako Wema na Kajala
 
Hiyo kitaalam inaitwa jua lishazama
 
Picha llinaisha mwanamke age imeeenda mwili umechakaa. Wots next'?!

Hapa ndio huwa ni patamu. Dada mwili ndio ulikuwa source of income, akishachoka sasa mwili.

Naomba nisiongee zaidi.

Kwako Wema na Kajala
Wale waliomchakaza bado wanaendelea kuchakaza wengine
 
Ni kosa mwanaume kuwalaumu wanawake wti wanatumia njia ya mkato kupata hela, unataka mtoto mzuri akakoroge zege?

Wanawake wameumbwa kutunzwa, kupendezeshwa, kulindwa na kupewa, wao ni wapokeaji wa kila kitu, wanapokea mashine, wanapokea shahawa, wanapokea mimba, nk.

Binadamu kua mwanamke tu ni gharama.

Tuwatunze hawa viumbe watupatie raha na burudani Duniani. Hawa viumbe wapo kutufurahisha na kutupa raha.

Usipohonga mwanamke unataka umhonge nani?
Well said
 
Back
Top Bottom