Wanaume wanaohudhuria makongamano ya wanawake tuweleweje?

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
4,118
6,308
Kongamano la wanawake mwanaume unawezaje kuhudhuria na kujichanganya kabisa na wanawake kama mwenzao?

Niliona Dodoma Rais aliitisha kikao na wanawake nikashangaa midume imehudhuria.

Halafu cha kushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao, wanawake wote walisimama kushangilia pamoja na hiyo midume nayo ilisimama na kushangilia. Mimi binafsi nilishangaa Sana.

Leo hii huko rufiji mkutano wa umoja wa wanawake kuna mijanaume imehudhuria
Nikasikia muongeaji mmoja kasema wanawake hoyeee, kuna midume nayo nilisikia ikiitikia hoye.

Wanawake safi, midume nayo inaitikia safi
Hivi hii ni kujipendekeza au hao wenzetu sio riziki.

Mimi binafsi siwezi kuhudhuria wala haileti mantiki kabisa.
Mwanaume mzima unamuaga mke wake nyumbani eti unakwenda kuhudhuria mkutano wa umoja wa wanawake ,wakati mke wako ambaye ni mwanamke hajahudhuria. Hapa hata mke wako atakuona zoba

Vitu vingine ni kujizalilisha tu.
Mambo ya wanawake waachiwe wanawake wenyewe.

Mfano Mimi mwanaume mkatoliki kabisa niende nikahudhurie kongamano la Jumuiya ya WAWATA dah utakuwa ngumu sana kwanza hao wawata wenyewe watanishangaa na hata kunitoa baru.

Hata Kama ni njaa , sijui kujipendekeza , au kujikomba.

,please a man must be a man
 
YqN2o.jpg
 
Halafu chakushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao, wanawake wote walisimama kushangilia pamoja na hiyo midume nayo ilisimama na kushangilia .
Mimi binafsi nilishangaa Sana.

Mambo ya wanawake waachiwe wanawake wenyewe .

LABDA WAKE ZAO
 
Hao akina Juma Suphiani mkuu
 
Ama wanatafuta wenza, au Wana vyombo vyao kwenye kongamano husika ni hivyo tu, kama Kuna ziada wajuvi wa mambo watujuze.
 
Labda Ni walinzi.......

Ila hapo pa kusema WANAWAKE oyeee nao wanaume wanajibu oyeeee, labda tuwatafute wajibu hii fadder case
 
Yeah Kama walinzi au tuseme wqpiga picha sawa .
Ila kwa kuwa mshiriki kabisa mi naona haijakaa vizuri
 
Kongamano la wanawake mwanaume unawezaje kuhudhuria na kujichanganya kabisa na wanawake kama mwenzao?

Niliona Dodoma Rais aliitisha kikao na wanawake nikashangaa midume imehudhuria.

Halafu cha kushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao, wanawake wote walisimama kushangilia pamoja na hiyo midume nayo ilisimama na kushangilia. Mimi binafsi nilishangaa Sana.

Leo hii huko rufiji mkutano wa umoja wa wanawake kuna mijanaume imehudhuria
Nikasikia muongeaji mmoja kasema wanawake hoyeee, kuna midume nayo nilisikia ikiitikia hoye.

Wanawake safi, midume nayo inaitikia safi
Hivi hii ni kujipendekeza au hao wenzetu sio riziki.

Mimi binafsi siwezi kuhudhuria wala haileti mantiki kabisa.
Mwanaume mzima unamuaga mke wake nyumbani eti unakwenda kuhudhuria mkutano wa umoja wa wanawake ,wakati mke wako ambaye ni mwanamke hajahudhuria. Hapa hata mke wako atakuona zoba

Vitu vingine ni kujizalilisha tu.
Mambo ya wanawake waachiwe wanawake wenyewe.

Mfano Mimi mwanaume mkatoliki kabisa niende nikahudhurie kongamano la Jumuiya ya WAWATA dah utakuwa ngumu sana kwanza hao wawata wenyewe watanishangaa na hata kunitoa baru.

Hata Kama ni njaa , sijui kujipendekeza , au kujikomba.

,please a man must be a man
Itakuwa umeskia sauti ya dokta kumbuka wewe,,,,
 
Back
Top Bottom