Kwanini wanaume tunapenda wanawake walioshindikana?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,712
Hapa mtaani kuna madoni kama watatu.

Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja.

Doni wa pili alipata mke ambaye ni kicheche mtaa mzima alipotoka kwao wamejishindia amri ya sita.

Doni wa tatu alipata mke baada mwanamke huyo kashaolewa na kuachwa bado kidogo kuharibu kitabu cha bakwata kwa jina lake kuandikwa sana.

Tuje hapa kwa sisi wanaume sitaki kuzungumza wenye pesa zao.

wingine humu wapenzi wenu na wake zenu mliwapenda kama hiki kitabu.

IMG_1650.jpg
 
Nadhani kichwa cha maada ilibidi kwanini mabinti wabovu ni watundu kujinasisha kwa matajiri.

Ni hizi type ukiwa na gari yako hawezi kataa lift na anakuona tayari ndio kapata atm hapo,
 
Si kweli. SIyo wanaume wote kama unavyotaka tuamini. Ni vizuri kuepuka mjumuisho bila utafiti mwanangu
 
Wanaume wengi wanapenda mwanamke ambae ni malaya kitandani, sasa tukikutana na mke ambae ni malaya by professional mambo yanakua bambam.
 
Back
Top Bottom