Wanaume tunarogwa sana na wanawake

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake.

Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu.

Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama kumuoa, kuishi naye, uchumba wa malengo, sehemu yake ya maisha na n.k

Sasa yeye mwanamke ili kuweka sawa usitoke kwenye himaya yake lazima kwenda kutafuta kinga itakayo kukamata wewe kwa njia yoyote.

Mfano kwa nini tunarogwa sana?!

Una wanawake 5
1- Huyu kakuweka kwenye chupa.
2-Huyu kachukua manii zako
3-Huyu kakuogesha dawa bila kujua
4-Huyu kakuwekea kwenye chakula
5-Huyu kakuchinjia mbuzi

Ukitoka hapo kama umekaa mwenyewe unaanza kuongea mwenye au unataja majina ya wote utazani mtangazaji wa mpira.
 
Unajifanya hujui! Mpaka Sahivi nahangaika ulivyoniroga nikakupenda almanusra uniue we mwanamke!.. Tena hiyo mizimu ya kwenu ni hatari maana ilinifanya maji nikaita mma..😂
Half niliskia yule mganga niliyeenda kukufanyia mambo amedanja, nilitaka nikakukomboe😛 pole chalii angu vumilia tu ndo mapenzi hayo😂😂
 
Half niliskia yule mganga niliyeenda kukufanyia mambo amedanja, nilitaka nikakukomboe😛 pole chalii angu vumilia tu ndo mapenzi hayo😂😂
Ndo usinitese sasa si uliniroga mwenyewe tutulie mma wangu..😅
 
Back
Top Bottom