Onyo kwa wanaume mnaotaka kuingia kwenye ndoa

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,968
6,914
Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki zangu wa JF,

Leo nitakwenda fastafasta maana hamnilipi, ambae atanielewa sawa ambae atapuuza sawa pia;

Kwanza cha kwanza kwa utafiti nilioufanya kwa hizi siku kadhaa nilipokuwa kimya nimegundua kuwa kumbe wanawake wa sasa wanaingia kwenye ndoa kwa lengo la kutimiza mahitaji yao tu, Hitaji lao kuu likiwa ni kujiingizia kipato kutoka kwa ATM MACHINE ya mwanaume, nakuambia hivi mapema ili ujipange kuwa utakapoamua kuoa basi uhakikishe una hela za kutosha na haziishi, Sasa wewe jifanye unaoa ili kutimiza agano uone kama Ujaishia kufa au kwenda Jela kwa kesi ya mauaji.

Unapoamua kuoa ujiandae kuwa mpole, Kuwa mpole ni kuhakikisha hufuatilii mkeo anafanya nini (hii inahusisha sana masuala ya mawasiliano na simu) Wanasema ukichunguza bata hutomla, kufuatilia simu yake ni kifo kumaanisha Utaua au utakufa wewe kwa mawazo ama Presha. Hapa watatokea wengine "Oooh me Simu ya mwanamke sifuatiliii achepuke asichepuke atajua yeye" Bro, usiseme hivyo ngoja nikuulize swali, sawa humfuatilii je, kwa mfano wewe umejitunza vizuri then siku moja unagundua imeathirika Yaani una Ukimwi je, unasema hutoua? Kiufupi ni kwamba kuamua kuingia kwenye ndoa ni kujitoa muhanga.

Embu jiulize Mkeo ikitokea akatongozwa na mtu kama Diamond Platinumz je, atachomoa? Ni mfano wa kipuuzi ila kama una ufahamu mkubwa utagundua kuwa wanawake wa sasa wapo kimaslahi zaidi Yaani hamna upendo wa kweli kabisa, sasa kama ni hivyo Unaingia kwenye ndoa ya nini?

Unatafuta pesa kwa hali na mali unapata, Unaamua kuingia kwenye ndoa, siku mnagombana mnataka kuachana anataka mgawane Mali, Alafu mahakama inaweka uzito kwake unakubali Mali inapigwa mgao na pimbi ambae hajakusaidia kuzitafuta, Sasa Kwa Hali hio naanzaje kuingia kwenye ndoa?

Leo kuna wamama watu wazima wapo kwenye ndoa zao nimewasikia wanajadiliana jinsi ya kuhakikisha ATM zao zinajaa pesa Kutoka ATM ya Wanaume zao, Alafu sijui kwanini wanapenda kutumia Jina "Mbwa" kuwakilisha Wanaume zao?

Juzi nilihudhiria harusi ya jirani yangu wakati wanaapa pale mbele kuishi pamoja kwenye shida na raha. Kicheko kikaniponyoka nikajikuta nacheka kwa nguvu Watu wakanigeukia nikazuga na chafya,

Mwisho ni kwamba ewe kijana mwenye mpango wa kuingia kwenye ndoa embu jaribu kwanza kubana pumzi bila kupumua kwa dk 2, Ukiweza kuvumilia zikafika dk mbili basi uvumilivu unao mkuu, nenda kafunge ndoa.
 
Mtafiti Decor Bysco nakuunga mkono 💯% hata Mimi nilishawahi kutafiti hivyohivyo, ila nikagundua njia pekee ya kulifikia jua, ni kulifuata wakati wa usiku likiwa kimelala.

Hivi Leo tunapiga cha Mswanga au cha Babu Mwasimba?
 
Hawa wa sasa ni kama bargaining tu, mbaya zaidi usiombe akawa ana mtoto au watoto wa kando, jiulize kwanini wameshindwa hao na wewe una nini cha kipekee cha kuwazidi waliokutangulia.

Sisemi wanawake wote bali wengi wao wa aina hiyo ni tabu tupu na ni wa ku-fake life eti wao tu ndio hutendwa na kuonewa.
 
Ndoa ni nini !?

Mradi wa kumnufaisha mwanamke na kumtesa mwanaume.

Nadhani ongea na wanaume wa kikristo vizuri.

Ndoa ya kiislamu ipo fair sana,Ndoa ya kikiristo ipo kiajenda ya kumuangamiza mwanaume na kumpoteza kabisa katika uso wa furaha.

Yes,wachache wenye bahati watatoboa hawa wataonja mbingu ndogo,majority sasa

Kwanza Mungu wa agano la kale sio wa agano jipya.Mungu sio kigeugeu na Mungu anajua mwanzo na mwisho wa jambo.

Ikiwa agano la kale watu walikuwa na wake hadi 600 kwanini agano jipya aseme mke ni mmoja tu??

Bila shaka tunaona agano jipya ni lakuwa nalo makini sanaaaa.Hata qurani kwa hili hipo very practical kwenye kesi ya mahusiano yaani inagusa mle mle kwenye uhalisia

Nadhani moja ya kitu ambacho nina uhakika nacho kuhusu quaran ni mwanaume hakuumbwa kuwa na mke mmoja na mwenye mke mmoja asipokuwa mjanja atakufa mapema.Lakini hata babu zetu ambao walikuwa hawana dini walikuwa smart enough kugundua mwanaume inabidi kuwa na wake wengi.

Wazungu wamewapa wivu wanawake ambao wanawake hawakuwa nao kabisaa na hata sasa nature bado ina prove mwanamke hana wivu kushare mwanaume as long as anampenda.

Naomba dk moja ya kuwatukana wadhungu kwanza,shenZy kabisaaa.Wanajifanya wanatuonyesha njia ila in reality wanapoteza kabisa jamii.

Wanaita kumkomboa mwanamke wakati uhalisia wanamshusha thamani kabisaaaaaa.Eti mwanamke sio bidhaa wakati bora enzi zile mwanamke alikuwa bidhaa yenye thamani saivi ndo bidhaa ambayo hata huyo thamani haipo.

Leo hii mwanamke anawaza kuongeza matako tu,kweli.Mtu anawaza kupata attention iliavutie watomb*aji na tunasema wana thamani,no wayyyy.
 
Kwani Diamond ni nani? Yaani diamond kutembea na wale Malaya unazani anaweza kumla kila mwanamke?

Naomba urekebishe hapo! ...kuna wanawake wengi tu wanajitambua na hawawezi vuliwa chupi kwa kipande cha fedha! Tena wapo wengi sana ukiachilia mbali wadangaji!

Kipengele hicho nakupinga katu katu! Kuna wanawake wanajielewa sana sana! Sema siyo watu wa media!

Ebu niambie mwanamke gani wa maana ambaye diamond kamla ambae hata Mimi #dmkali nikimtaka namkosa!

Haya tuanze na sepenga ..kuna nn hapo si kakuta watu wamevuruga had mashavu yameachia,
Twende kwa kigodoro, yule kakuta watu washampeleka leba,
Huyu msauzi ndo kamkuta watu washatifua had utumbo.
Haya nani mwingine!....
Yaani wanawake wa diamond hakuna wa maana karibu wote kakuta wameliwa had utumbo wa mgongo!

WAPO WANAWAKE WANA HESHIMA ZAO BWANA TENA KIBAO TU! Hawawez tembea na diamond iwe mvua iwe jua,
 
IMG-20211024-WA0012.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom