Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,558
- 217,852
Hivi hawa wabunge wa chadema wana mvuto wa namna gani lakini ?
😆😆😆Hao wanafunzi wawe waangalifu greenguard wasipokuua wanabaka
Hao wanafunzi wawe waangalifu greenguard wasipokuua wanabaka
Hivi hawa wabunge wa chadema wana mvuto wa namna gani lakini ?
noma !Chadema Chadema, People Power !
Itakua siyo wanafunzi,eti?Chumvi nyingi, yaani imezidi.
Ushabiki uchwara utakuchengua.Itakua siyo wanafunzi,eti?
Chumvi nyingi, yaani imezidi.
Mbunge ashiriki ktk kusaidia kutatua matatizo ya jimboni kwake.
Kipaumbele cha wananchi wake ni tofauti na yale maagizo ya kutoka makao makuu ya serikali yaliyopo Dodoma na Dar es Salaam.
Wananchi walio wengi hawahitaji ma flyover wala bombadier au stendi mpya za mabasi ukubwa unaofikia airport ya Dar es Salaam.
Vipaumbele vyao wananchi ni kupata pembejeo kwa wakati, soko kwa mazao yao ya kahawa, korosho, dagaa, mifugo n.k
Hizo mbwembwe za CCM Mpya ya Majengo makubwa kupita kiasi ya stendi huko wanakoishi watanzania wachache ktk miji mikubwa haziwavutii wala hawaelewi kwanini serikali inatapanya fedha ktk miradi ya Maendeleo ya Vitu.
Picha kubwa na picha ndogo....
Hiko kilimo nimekisikia toka uhuru hadi wakati wa nguvu kazi hadi sasa hakijawahi kumkomboa mtz...
Natamani kusikia uwekezaji kwenye kilimo uweje kwakuwa kugawa pembejeo ni ujamaa na ujinga unaomfanya mkulima ahamini kilimo ni jukumu la serikali.... (i might be wrong thou)
Magu kaamua kupiga pasi ndefu...
Maendeleo mtakutanayo mbele nchi inavyofunguka na kupitika..
Wivu utakumaliza 🖕Wamama 20 watu wazima wanaitwa wanafunzi!! Eti msafara umevamiwa kumbe mtu anaibuka toka vichakani. Maigizo mengine yanafurahisha.
Utawasikia ooh chadema iko mjini tu. Cheki hapo ni porini kabisa hata mtoto wa miaka 15 anaijua chadema anajua Mkombozi ni Chadema.