wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania CCM inawatakia kila la heri kwenye mitihani yao wanafunzi wote wa darasa la 7

    CCM inawatakia heri wanafunzi wote wa darasa la 7 wanaoanza mitihani yao leo
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

    Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani. Aidha wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya wale wa kiume ilikuzuia wasitangamane. =========================...
  3. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mamlaka yakosolewa baada ya kisa cha utekaji nyara wa Wanafunzi 70

    Jitihada zinaendelea kujaribu kuwaachilia zaidi ya wanafunzi 70 wa shule ya upili waliotekwa nyara Jumatano katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. Kisa hiki cha utekaji nyara wa wanafunzi 73 kutoka shule ya upili ya Kaya na watu wenye silaha ni miongoni mwa mlolongo wa visa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: Kupunguza miaka ambayo Wanafunzi hutumia katika masomo ili kukuza Uchumi

    Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia katika masomo. Kwa mwanafunzi kufikia chuo kikuu mwaka wa tatu itakuwa imemchukua zaidi ya miaka 15...
  5. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kuondoa VRF ya 6% kwenye HESLB pamoja na mkopo wa bilioni 106 kwa wanafunzi elfu 10 walionyimwa

    Ndugu Wananchi wenzetu, Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 Kwa Sasa,kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo...
  6. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi kuanzia form 1 - form 4 mnaweza kufanya online examination

    NOTE: THIS EXAM IS NOT NECTA. ITS EXAM FOR SELF-TESTING ONLY. Our Online examination systeam is conducting exam online to measure the knowledge of the students from primary to secondary level with their own device, regardless of where they live. You only need a browser and an internet...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu

    1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA. Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
  8. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Hii ni Serikali ya wanafunzi wa CCM muelekeo uko gizani

    Tulijawa na matumaini ya kusonga mbele na kurekebisha makosa yaliyofanyika. Tatizo likaanza kwa kiongozi wetu kuamini anastahili kuunda serikali upya. Kila kitu kipya. Akatikisa mawaziri ili wajisikie wapo kwa sababu yake. Ikawa hivyo. Akakusanya washauri toka NGO, akatafuta mabalozi toka NGO...
  9. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ni sawa wanafunzi kusimamishwa masomo kwa kutolipa ada?

    Ni haki kwa wamiliki wa shule kuwasimamisha masomo wanafunzi ambao hawajalipa ada kulingana na ratiba ya muhula (kabla mwaka haujaisha)? Mfano: Mtoto alitakiwa alipiwe 3,000,000 Tshs jumla kwa utaratibu huu: Muhula wa kwanza: 1,200,000, Muhula wa pili: 1,000,000 na Muhula wa tatu: 800,000...
  10. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Hatari kubwa: Elimu ya Tanzania inafundisha watoto kuwa vigeugeu

    Mfano mmoja ni huu: Mtoto akiwa darasa la kwanza anaambiwa 1-2= Haiwezekani halafu akifika darasa la sita anaambiwa 1-2= -1 hiki kitu kinaonekana cha kawaida ila ni kosa kubwa sana. Marekani kuanzia kindergarten watoto wanafundishwa 1-2= -1 na inaenda mpaka chuo kikuu. Kwa elimu niliyopata...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania GEITA: Wanafunzi wa Shule ya sekondari Lwezera wajeruhiwa na Radi

    Wanafunzi wamejeruhiwa na Radi katika shule ya sekondari Lwezera Majira ya leo mchana wakati mvua ikiwa inanyesha Radi imepiga maeneo ya Lwezera mkoani Geita katika wilaya ya Geita. Radi hiyo imejeruhi wanafunzi katika shule ya sekondari Lwezera lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa mpaka sasa...
  12. msovero

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi zaidi ya 600 wanasomea chini jijini Mwanza

    Zaidi ya wanafunzi 600 katika shule za msingi mbili za Kayenze na Chasubi zilizopo kata ya Kayenze halmashauri ya Ilemela wanasoma wakiwa chini kutokana na ukosefu wa madawati. Aidha, changamoto nyingine inayotajwa katika shule zote mbili ni upungufu wa walimu ambapo jumla ya wanafunzi ni 3100...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa taharuki kwa wanafunzi wanaokimbia ovyo waonapo wageni au magari shuleni?

    Sasa ni taharuki kwa wanafunzi wa shule za msingi wakiwa shule waonapo wageni au magari yakiingia shuleni basi huanza taharuki na kukimbia ovyo. Taharuki hiyo imesababishwa na wazazi wanaowambia watoto wao kuwa serikali inataka kuwachoma chanjo ya Corona kitu ambacho si sahihi. Wazazi hao...
  14. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Geita: Wanafunzi wakimbia ovyo wakiogopa chanjo, Kaimu Mkurugenzi ataka waelimishwe chanjo ni hiari

    Hii ni Tanzania pekee😂😂😂😂 ====== Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni hiari na haitolewi kwao kufuatia vitendo vya wanafunzi kukimbia madarasani kila waonapo gari...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kupiga marufuku masomo ya ziada (tuition) ni sahihi ili kuwapunguzia mzigo wanafunzi na wazazi

    Masomo ya ziada ama tuition yamekuwa yakionekana kama kimbilio la wazazi na wanafunzi wengi, wakiamini kwamba njia hii inatoa fursa kubwa kwa mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo yake na katika mitihani yake. Lakini kwa nchi nyingi za Afrika mara nyingi walimu wanaofundisha masomo ya ziada...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu Kenya kurusha chombo anga za juu

    Mambo yanazidi kunoga kwenye nchi hii.... The KU students are in the final steps of their project before launching their satellite to space this August. Their launch plan received a boost from the Kenya Space Agency which offered them a Ksh1 million grant for the project. This is after the...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania AIBU ya Mwaka: Wanafunzi 400 wanakaa chini

    What a shame? Majivuno, kuringa, kujikweza, kujiona wao ndio wao, kumbe kuna Malaika wasio na hatia wanakaa chini! Mnatoza tozo mjenge Barbara na watoto wetu wakae chini? Hivi tuna akili kweli sisi? Yaani ununue ndege kwa pesa cash na huku Wanao wanashinda darsani wakiwa wamekaaa chini? Tuna...
  18. Hermenegild sulle

    JamiiForums Tanzania Walimu na ualimu: Jamii ina mchango mkubwa katika malezi na makuzi ya vijana wetu

    Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
  19. Kennedy

    JamiiForums Tanzania TANGA: Wanafunzi wakimbia shule kisa hofu ya kuchanjwa

    Leo Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi wa Juu wa Serikali Kuchanjwa Chanjo ya COVID 19 Aina ya Johnson And Johnson Sasa huko Tanga wanafunzi wamekimbia Shule Hasa Hasa Wakihofia Kuchanjwa, huku wazazi wakiwaambia wasije kuchanjwa maana wataambukiza...
  20. Igande

    JamiiForums Tanzania CRDB wanavyotapeli Wanafunzi wa Vyuo Vikuu bila wao wenyewe kufahamu

    Habari za wakati huu Great thinkers! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Ni kawaida kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoa pesa kutoka katika account zao za benki kidogo kidogo. Huo ndio mwanya wanaotumia CRDB kuwatapeli fedha zao, kivipi? Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo...
Back
Top Bottom