Kwa wanafunzi kuanzia form 1 - form 4 mnaweza kufanya online examination

Barackachess

Member
Sep 1, 2018
97
125
NOTE: THIS EXAM IS NOT NECTA.
ITS EXAM FOR SELF-TESTING ONLY.

Our Online examination systeam is conducting exam online to measure the knowledge of the students from primary to secondary level with their own device, regardless of where they live. You only need a browser and an internet connection national-wise.

A student can answer the questions in a given time, and the test window collapses once the exam is over, and our evaluators keep answers ready for evaluation. Our evaluator assesses responses, whether it will be through an automated or manual process, and the result will be conveyed to the candidate either by mail, being sent to school directly or information available on the website. All student must be in digital examination room 30 mins before exam.

✔️How Online Exams Conducted?

Step 1: The users can be classified into three broad categories:

Supervisors:The ones who manage the system users, the tests, system back-up, and recovery are the supervisors.
Conductors:The ones who prepare the subjects, tests, and questions are the conductors.
Test-Takers:The ones who sit for the assessment to get evaluated are the test-takers.

Step 2: The testing environment is set up, and the question sets are uploaded to the environment by the test conductors.

Step 3: The test takers are given test IDs using which they can log on and attempt the test. The tests are usually monitored automatically and can be proctored for high stakes examinations.

Step 4: Once the user submitted the test, it is evaluated by the system/conductors depending on the types of questions.

Step 5: Participants are sent their test scores if needed.

✔️ Are there any limitations to an online exam?

The biggest limitation is that you have to be online to use an online examination system

✔️Is it possible for our teachers to detect cheating in an online exam?

Yes, we can easily detect cheating during online exam by using taifa leading online examination software. Our online examination software is capable of detecting any type of cheating.

CLICK THIS LINK TO REGISTER NOW: TAIFA EXAM
FOR MORE INFORMATION : +255 (0) 737 67 95 05
YOU CAN ALSO VISIT OUR OFFICE: TEOFILO KISANJI UNIVERSITY (TEK TEACHING)
 
50thebe

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
3,066
2,000
NOTE: THIS EXAM IS NOT NECTA.
ITS A SPECIDIC EXAM FOR SELF-TESTING ONLY.

Our Online examination systeam is conducting exam online to measure the knowledge of the students from primary to secondary level with their own device, regardless of where they live. You only need a browser and an internet connection national-wise.

A student can answer the questions in a given time, and the test window collapses once the exam is over, and our evaluators keep answers ready for evaluation. Our evaluator assesses responses, whether it will be through an automated or manual process, and the result will be conveyed to the candidate either by mail, being sent to school directly or information available on the website. All student must be in digital examination room 30 mins before exam.

✔️How Online Exams Conducted?

Step 1: The users of TAIFA ONLINE EXAM can be classified into three broad categories:

Supervisors:The ones who manage the system users, the tests, system back-up, and recovery are the supervisors.
Conductors:The ones who prepare the subjects, tests, and questions are the conductors.
Test-Takers:The ones who sit for the assessment to get evaluated are the test-takers.

Step 2: The testing environment is set up, and the question sets are uploaded to the environment by the test conductors.

Step 3: The test takers are given test IDs using which they can log on and attempt the test. The tests are usually monitored automatically and can be proctored for high stakes examinations.

Step 4: Once the user submitted the test, it is evaluated by the system/conductors depending on the types of questions.

Step 5: Participants are sent their test scores if needed.

✔️ Are there any limitations to an online exam?The biggest limitation is that you have to be online to use an online examination system

✔️Is it possible for our teachers to detect cheating in an online exam?

Yes, we can easily detect cheating during online exam by using taifa leading online examination software. Our online examination software is capable of detecting any type of cheating such as:

CLICK THIS LINK TO REGISTER NOW: TAIFA EXAM
Heko kwa wazo zuri la biashara!

Ukipata wasaa pitia tena kazi uliyoandika uhakiki grammar! mfano tazama kiambatanisho
 
Attachments

  • Screenshot_2021-08-29-18-35-16-75.jpg
    File size
    98.4 KB
    Views
    0

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,065
2,000
NOTE: THIS EXAM IS NOT NECTA.
ITS EXAM FOR SELF-TESTING ONLY.

Our Online examination systeam is conducting exam online to measure the knowledge of the students from primary to secondary level with their own device, regardless of where they live. You only need a browser and an internet connection national-wise.

A student can answer the questions in a given time, and the test window collapses once the exam is over, and our evaluators keep answers ready for evaluation. Our evaluator assesses responses, whether it will be through an automated or manual process, and the result will be conveyed to the candidate either by mail, being sent to school directly or information available on the website. All student must be in digital examination room 30 mins before exam.

✔️How Online Exams Conducted?

Step 1: The users can be classified into three broad categories:

Supervisors:The ones who manage the system users, the tests, system back-up, and recovery are the supervisors.
Conductors:The ones who prepare the subjects, tests, and questions are the conductors.
Test-Takers:The ones who sit for the assessment to get evaluated are the test-takers.

Step 2: The testing environment is set up, and the question sets are uploaded to the environment by the test conductors.

Step 3: The test takers are given test IDs using which they can log on and attempt the test. The tests are usually monitored automatically and can be proctored for high stakes examinations.

Step 4: Once the user submitted the test, it is evaluated by the system/conductors depending on the types of questions.

Step 5: Participants are sent their test scores if needed.

✔️ Are there any limitations to an online exam?The biggest limitation is that you have to be online to use an online examination system

✔️Is it possible for our teachers to detect cheating in an online exam?

Yes, we can easily detect cheating during online exam by using taifa leading online examination software. Our online examination software is capable of detecting any type of cheating.

CLICK THIS LINK TO REGISTER NOW: TAIFA EXAM
FOR MORE INFORMATION : +255 (0) 737 67 95 05
YOU CAN ALSO VISIT OUR OFFICE: TEOFILO KISANJI UNIVERSITY (TEK TEACHING)

Nzuri sana hii. Kwenye kudetect cheating hiyo software ikiweza kumpa mwanafunzi majibu yake palepale anaposubmit mtihani itawajenga sana vijana wetu toka utotoni kukuza ufahamu wao.
Ila Kwenye maswali ya kuchagua majibu sijui itakuaje
 
Barackachess

Member
Sep 1, 2018
97
125
Nzuri sana hii. Kwenye kudetect cheating hiyo software ikiweza kumpa mwanafunzi majibu yake palepale anaposubmit mtihani itawajenga sana vijana wetu toka utotoni kukuza ufahamu wao.
Ila Kwenye maswali ya kuchagua majibu sijui itakuaje
Ahsante sana,
Software inauwezo wa kusahihisha maswali ya multiple choice na kumpa majibu mwanafunzi papo hapo, nikimaanisha walimu wanatunga mtihani (maswali) kisha wanaweka majibu ya maswali hayo ndani ya software ili computer iweze kusahihisha pale tu anapo submit.

Ni maswali ya essay tu ambayo mwalimu atahitaji kusahihisha kwa umakini kwa ku print karatasi ya mwanafunzi ili kuweza kusahihisha na kumrudishia mwanafunzi kwa njia ya mtandao(scaning) kisha mwanafunzi atapata majibu yake online (Kama Necta wanavyofanya - na kuonyeshwa daraja alilo pata kwa yale masomo aliyo yachagua)

Pia umezungumza swala la kumjenga mwanafunzi kwa majibu ya papo hapo, ninaomba ufungue link hiii kuona huduma yetu nyingine ambayo haina malipo hata kidogo inayo mjenga mwanafunzi kwa kujibu swali na kusahihishiwa hapo hapo, fungua link hii TAIFA ONLINE SCHOOL kisha chagua somo ulitakalo, Ahsante
 
50thebe

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
3,066
2,000
Nzuri sana hii. Kwenye kudetect cheating hiyo software ikiweza kumpa mwanafunzi majibu yake palepale anaposubmit mtihani itawajenga sana vijana wetu toka utotoni kukuza ufahamu wao.
Ila Kwenye maswali ya kuchagua majibu sijui itakuaje

Barackachess akiweza kuunganisha application inaitwa Turnitin kuhakiki essay itawasaidia wanafunzi kuandika essay original bila plagiarism. Pia itasaidia walimu kusahihisha kazi kirahisi.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,065
2,000
Ahsante sana,
Software inauwezo wa kusahihisha maswali ya multiple choice na kumpa majibu mwanafunzi papo hapo, nikimaanisha walimu wanatunga mtihani (maswali) kisha wanaweka majibu ya maswali hayo ndani ya software ili computer iweze kusahihisha pale tu anapo submit.

Ni maswali ya essay tu ambayo mwalimu atahitaji kusahihisha kwa umakini kwa ku print karatasi ya mwanafunzi ili kuweza kusahihisha na kumrudishia mwanafunzi kwa njia ya mtandao(scaning) kisha mwanafunzi atapata majibu yake online (Kama Necta wanavyofanya - na kuonyeshwa daraja alilo pata kwa yale masomo aliyo yachagua)

Pia umezungumza swala la kumjenga mwanafunzi kwa majibu ya papo hapo, ninaomba ufungue link hiii kuona huduma yetu nyingine ambayo haina malipo hata kidogo inayo mjenga mwanafunzi kwa kujibu swali na kusahihishiwa hapo hapo, fungua link hii TAIFA ONLINE SCHOOL kisha chagua somo ulitakalo, Ahsante

Kwenye elimu yetu ya kibongo kupima ufahamu/uelewa wa wanafunzi imekua changamoto kubwa sana kuanzia msingi hadi vyuoni.

Na hili ni tatizo kubwa ambalo hatulioni. Watu wana grades, division na GPA nzuri lakini hawawezi ku apply knowledge waliyonayo kubadilisha wala kuboresha chochote kwenye mazingira/jamii.

Ukienda mbali zaidi ukaweza kufanya utafiti mdogo toka kwenye mitihani wanayofanya na kupata hizo grades utashangaa kugundua kwamba kwenye knowldge application 95% ya wanafunzi wana majibu yanayofanana kabisa... tofauti inaweza kuwa misamiati/phrases zilizotumika kitu ambacho ni sawa na copy n paste tuu

Tukiweza kutumia teknolojia hiyohiyo ya kuwapima waanafunzi tukaweka software husika tutawajenga vizuri wanafunzi wetu kuanzia chini hadi universities.
Wataweza kutumia lectures na learning materials zote kuelewa, wakatumia discussions zao kukuza uelewa na baada ya hapo kila mmoja akaweza kujisimamia kutoa majibu tofauti yatakayokuwa suluhu ya maswali yaliyopo kwenye mazingira yake kwa kile alichojifunza na kukielewa.
Hii itawazuia wanafunzi wetu ku.reproduce kile walichofundishwa na kucopy.ana walichosema na kudiscuss. Tutapata watendaji bora sana kwenye kila sekta bila kuendeshwa na vigezo vya uzoefu wa miaka kadhaa kwa zile kazi zisizohushisha maamuzi makubwa ya makampuni.
Na tulivyo na shida ya ajira itasaidia pia kuondoa dhana ya kuajiriwa na kujenga uwezo wa kujiajiri kupitia matumizi ya elimu kutatua matatizo ya jamii - Japo safari bado ni ndefu

Uboreshaji wa elimu unahusisha wadau wengi sana na ni gharama sana kuanzia muda hadi rasilimali, ila kila mwenye maono akifanya sehemu ya maono yake na serikali ikaelewa na kusupport tunaweza kufika. Hongera sana kwa wazo kubwa, zuri na linaloweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye elimu Barackachess 💪

Wakuu naomba niwatag kwenye hili bandiko la Barackachess tupeane uelewa na uzoefu tofautitofati Mjep peno hasegawa Shombe la Kisomali mugah di matheo Ntalukwilasa Dr Maja Ushimen 🙏
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,065
2,000
Barackachess akiweza kuunganisha application inaitwa Turnitin kuhakiki essay itawasaidia wanafunzi kuandika essay original bila plagiarism. Pia itasaidia walimu kusahihisha kazi kirahisi.

#Turnitin is the best kwenye kupima uelewa na matumizi yake.
Composition ya maswali inaweza kubeba eneo kubwa na majibu yake kwa kila mtahiniwa yakatoa suluhu kwa mahitaji mengi sana
 
NASHUKURU SANA mama D , Usisite kutushauri kwa maboresho zaidi ili kukuza sekta hii ya elimu pamoja.
 
mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
4,975

Shukrani kwa kuniita hapa

Nianze kumpongeza bwana Barackachess kwa project nzuri.nimefarijika kuona vijana wakitanzania wanawaza vitu quality Kama hivi.

Huu mfumo ni mzuri ukitumika ila changamoto zipo kutokana na hali ya nchi na mfumo wetu wa maisha naomba niainishe changamoto tatu

1.Upatikanaji wa vifaa vya kielectroniki kwa wanafunzi wetu hasa shule za msingi.
Tukumbuke jamii yetu hasa wazazi walishaaminishwa simu ni mbaya kwa watoto ikaenda mbali Zaid kuwa smartphone ni mbaya zinaongeza umasikini kwa jamii.

2.Mtandao wa Internet bado wa kusuasua nchi hii.
Hapa inaweza kukuta siku ya mtihani hakuna mtandao kabisa

3.Utashi wa viongozi wetu
Tunawajua wenyewe wanaweza kukubali hadharani halafu ukakutana na vikwazo vya kutosha

Mwisho ni shauri kwa Majaribio huu mfumo uanzie juu kwanza Kama ni selected University kabla ya kuja chini ili uwe rahisi kukubalika .

Mwisho nawakumbusha tuu kuwa mfumo wetu shida yake kubwa ni Kile tunacholishwa darasani hakiendani kabisa na maisha ila hapa bado tunajali kupima zile pumba tilizolishwa nasio kuzitupa hizo pumba
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,065
2,000
Shukrani kwa kuniita hapa

Nianze kumpongeza bwana Barackachess kwa project nzuri.nimefarijika kuona vijana wakitanzania wanawaza vitu quality Kama hivi.

Huu mfumo ni mzuri ukitumika ila changamoto zipo kutokana na hali ya nchi na mfumo wetu wa maisha naomba niainishe changamoto tatu

1.Upatikanaji wa vifaa vya kielectroniki kwa wanafunzi wetu hasa shule za msingi.
Tukumbuke jamii yetu hasa wazazi walishaaminishwa simu ni mbaya kwa watoto ikaenda mbali Zaid kuwa smartphone ni mbaya zinaongeza umasikini kwa jamii.

2.Mtandao wa Internet bado wa kusuasua nchi hii.
Hapa inaweza kukuta siku ya mtihani hakuna mtandao kabisa

3.Utashi wa viongozi wetu
Tunawajua wenyewe wanaweza kukubali hadharani halafu ukakutana na vikwazo vya kutosha

Mwisho ni shauri kwa Majaribio huu mfumo uanzie juu kwanza Kama ni selected University kabla ya kuja chini ili uwe rahisi kukubalika .

Mwisho nawakumbusha tuu kuwa mfumo wetu shida yake kubwa ni tunacholishwa darasani hakiendani kabisa na maisha ila hapa bado tunajali kupima zile pumba tilizolishwa nasio kuzitupa hizo pumbana

Mfumo wetu una shida kubwa na tunajua hilo ni tatizo lakini hatupo tayari kusimama na kufanya maamuzi ya kuufanyia kazi sababu kazi ya gharama kubwa inayoambatana na mabadiliko!

Tunapoongelea kubadili au kuboresha elimu mara nyingi huwa tunamuangalia mwanafunzi peke yake... lakini kiukweli tuna wadau wengi wakiwamo wataalamu wa elimu, walimu, zana za kufundishia na kujifunzia, miundo mbinu sahihi na mengine.... ambavyo vyote gharama zake ni kubwa sana

Pia serikali inakua na kigugumizi kwenye mabadiliko sababu mengi ya hayo mabadiliko hayafai kufanywa kidogokidogo bali kwa mara moja
Ila sababu serikali yenyewe imewasomesha watanzania, na watanzania hao wanayaona mapungufu na wapo tayari kuyafanyia kazi kwa support ya serikali sasa ni muhumi sana sasa kuamua kuweka plan na kutenga mafungu walau kila budget kuwe na pesa ya kufanya maboresho ya elimu ili kiasi kitakapotimia watekeleze.

Tusisubiri wageni waje watuboreshee elimu sababu wao wakija wanakuja kufanya kazi wapate wanachokitaka; ila sisi ndio tunajua tunachokikosa na tunachokitaka. Wageni hawatafanya kwa maslahi yetu bali kwa maslahi yao kwanza

Mungu ibariki Tanzania
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom