wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Agizo;shule zilizofikia asilimia 70 ya ujenzi zisajiliwe. Na wanafunzi waanze kusoma..tunafungua tar 8 mjuuee....

    Nilikuwa namsikiliza waziri husika kwenye its akiwa na viongozi mbali mbali wa elimu na wilaya kilichonishtua kidogo n mh waziri kutangaza leo mwende mkahakikishe shule zote zilizofioia asilimia 70 zianze maramoja jtatu mmh sijajua usajili wa shule unatumia mdagani nimewaza tu kwamaana hio...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wamiliki wa Shule watakiwa kuhakikisha 'School Buses' zikakaguliwa na Polisi kabla ya kubeba Wanafunzi

    Mkuu wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mbeya, Mrakibu wa Polisi SP Hussein Gawile amewataka wamiliki wa Shule za Awali, Msingi na Sekondari kuhakikisha magari yao (School Buses) yanakaguliwa na wakaguzi wa magari wa Jeshi la Polisi kabla ya kuanza kufanya kazi ya kubeba wanafunzi. Rai...
  3. JamiiForums Tanzania Katavi: Mabasi ya Wanafunzi yabainika kufungwa mipira kwenye mfumo wa breki

    Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Katavi kimebaini dosari katika mabasi yanayotumiwa kusafirisha Wanafunzi katika Shule za watu binafsi ikiwemo baadhi ya mabasi kukutwa yamefungwa mipira kwenye mfumo wa breki ambayo ni hatari kwa usalama. Dosari hizo zimebainika wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wanafunzi wote waanze masomo Januari

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa kutekeleza maagizo mbalimbali ili mchakato wa kuwapokea Wanafunzi wapya Shule za awali, msingi na sekondari uende kwa ufanisi kuanzia Januari 06,2024. Mchengerwa ametoa agizo hilo leo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri kwa wanafunzi shule za Serikali

    Serikali ifikirie juu ya usafiri kwa wanafunzi wa shule za serikali ili kutatua changamoto wanayopata wanafunzi katika miji mikubwa. Wanafunzi wamekuwa wakikaa katika vituo hadi saa tatu usiku jambo ambalo ni hatarishi kwa wanafunzi hao. Serikali itenge bajeti ya kununua mabasi ya shule...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa ulimwenguni kama serikali ya CCM. Katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza...
  7. JamiiForums Tanzania Upangaji wanafunzi uvivu UACHWE

    Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua. Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku...
  8. JamiiForums Tanzania HESLB imewanyima ada wanafunzi wa mwaka wa kwanza kada za afya wanaosoma "Private Universities"

    Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo. Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoto za Wanafunzi "Mashahidi" Waliouawa na uvamizi wa Mazayuni

    Halafu anakuja mtu from nowhere anaumia na kifo cha mtanzania mmoja! 2 days ago Inasikitisha sana kuona watu wasio na hatia wakiuawa, wakijeruhiwa na wengine kuachwa wakiwa katika ulemavu ilhali kuna watanzania wanafurahia! Lakini pia msifikiri waliokufa ni maiti, Laa👇 وَلَا تَحْسَبَنَّ...
  10. JamiiForums Tanzania Chuoni tuliaminishana kwamba ni sehemu ya kujenga connection za ajira lakini kiuhalisia ajira za connection 90% ni za kifamilia ama kindugu tu

    Nakumbuka tukiwa chuoni miaka hio 2011 tulikuwa tunaaminishana sana kwamba mtu inabidi ujenge connection sana chuoni ndio zitakusaidia kupata ajira, lakinii uhalisia baada ya kumaliza chuo ulikuwa ni tofauti sana. Hata uwe rafiki wa mtoto wa kigogo ni ngumu sana baba yake akupigie connection...
  11. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote waache shule na vyuo: Ushauri wa tahadhari

    Hii ni tahadhari nawapa, kwa wazazi na wanafunzi kwa ujumla. Ewe mzazi, usipoteze mamilioni kusomesha mtoto wako kwa uchungu na kwa jasho halafu akarudi nyumbani kukaanga chips na kuendesha bajaji. Ewe mzazi, usiuze ng'ombe zako, usiuze ardhi yako, usifilisi biashara zako kwa ajili ya kupeleka...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde, miundombinu yake ni hatari kwa Wanafunzi na Walimu

    Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro. Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha kuendeleza harakati za utoaji wa elimu, kwani tangu ilipopatwa na maporomoko yaliyotokana na mvua kubwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Eng. Aisha Ulenge ashauri uanzishwaji wa Programu kuhamasisha Wanafunzi kutumia Maktaba

    Mbunge Eng. Aisha Ulenge Ashauri Uanzishwaji wa Programu Kuhamasisha Wanafunzi Kutumia Maktaba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhandisi Mwanaisha Ulenge amefanya ziara ya kutembelea Maktaba ya Mkoa wa Tanga na kushauri kuanzishwa program ya kuhamasisha Wanafunzi na jamii kuitumia Maktaba...
  15. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kutokomeza mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari limekuwa suala endelevu hadi serikali imebidi kuanzisha utartibu wa kuwarudisha shuleni baada ya kujifungua. Je kumekosekana mwarobaini wa hili tatizo? Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza...
  16. JamiiForums Tanzania HESLB hizo bilioni 780+ mlizoidhinishiwa na serikali kwa mwaka 2023/2024 mmewapa wanafunzi gani?

    Hadi sasa wanajamvi sielewi kama zile taarifa za kuwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi 220000 wanatajwa kunufaika na mkopo wa masomo kutoka heslb kuwa ni kweli, kwa sababu kila siku hapa kitaa madogo walioenda chuo kwa bashasha lote wanarudi kitaani na sura zilizokosa tumaini kabisa, yaani ni huruma...
  17. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu Serikali za Wanafunzi wa Vyuo wakithiri, CCM yatajwa, Rais wa TAHLISO atakiwa kujiuzulu

    Baada ya vyuo vingi ikiwemo DIT (Dar es salaam Institute of Technology) Sasa ni SAUT (St. Augustine University of Tanzania) Mwanza. Huyu Anaitwa Kabado C. Kabado Rais wa Serikali ya Wafunzi SAUT Mwanza Tar. 21 Nov, 2023 Usiku Nlipokea simu na Jumbe za Maandish nyingi kutoka kwa Wanafunzi wa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu unafelije somo la hesabu? Zero brain kabisa wanafunzi wa siku hizi

    JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, zaidi ya nusu ya watahiniwa wamepata ufaulu D ambao hauridhishi...
  19. JamiiForums Tanzania Katavi: Viongozi wa Elimu watakiwa kupandisha kiwango cha uandikishaji wa Wanafunzi

    Viongozi na Wadau wa Elimu Mkoa wa Katavi wametakiwa kuhakikisha kila mtoto mwenye sifa za kuanza darasa la kwanza anaandikishwa haraka ili aweze kuanza masomo Januari 2024. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf wakati akimwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Katavi wakati wa kikao...
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto zipi Jamii (wazazi na wanafunzi) hupitia kipindi wakisubiri baraza la mitihani NECTA lisahihishe na kutoa matokeo ya mitihani ya wanafunzi?

    Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari huwa ni mwezi 1-3. matokeo haya ndio uhamua mwanafunzi huyu aendelee na shule (kidato cha kwanza au kidato cha tano/vyuo vya ufundi) au atafute Maisha kwa namna nyingine. Ndani ya kipindi hiki (miezi 1-3) yamekuwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…