Upangaji wanafunzi uvivu UACHWE

lufungulo k

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
2,549
1,984
Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.

Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza.

Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO.

Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A.

Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi?

Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL.

Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.

Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi?

Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI.

Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI?

Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu.

MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata.

Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
 
Kusoma sio kua na akili tu za darasani na uwezo wa kusomesha pia ni muhimu, siku hizo elimu ni pesa sio akili za darasani tu.
 
Kama itakua nimekuulewa vyema ,,
Haiwezekani mtoto ambaye ndani ya matokeo yake kuna masomo mawili ana B halafu apangiwe shule ya vipaji.

Kwa mujibu wa Tamisemi wanafunzi hupangiwa shule kulingana na viwango vyao vya ufaulu.

Waliofaulu kiwango cha juu hupangiwa Vipaji maalum,
Wanaofuata hupangiwa Ufundi,
Wanoufuata hupangiwa shule za Bweni kitaifa,
Na kundi la mwisho hupangiwa shule za kutwa.

Inawezekana mtoto akapata wastani wa A lakini ndani yake kuna utofauti wa ubora wa hiyo ambayo huanzia 81-100.
 
Wengi wamepangiwa shule za karibu na alipomalizia la 7. Mpaka mtoto awe amefaulu kwa kiwango kikubwa sana ndio anaenda special school. Maana 100 ni A na 90 nayo ni A. Huwez mpanga wa 90 special school wakati kuna wa 100 aliyefaulu zaidi
 
Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.

Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza.

Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO.

Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A.

Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi?

Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL.

Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.

Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi?

Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI.
Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI?

Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu.

MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata.

Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
Kuna shule wanafunzi wana A wote, na wote shule ya kata wamepangiwa, ushindani ni mkubwa sana,
 
Unampakulia minyama mtoto wako au sio
 
Unapoteza muda tu Ndugu yangu
Shule za vipaji zipo ngapi Tanzania nzima miaka hii ambapo Kuna raia milioni 60?
Shule hizi hazijawahi kuongezeka sana sana labda zimepungua. Huyo unaemzungumzia ana B mbili yupo mwingine hapa nyumbani ana A zote kapelekwa Vikindu sekondari
 
Mtoa mada umekurupuka Sana, sikuhizi wahitimu wa Darasa la7, wanafaulu sana ili mwanafunzi apangiwe shule ya vipaji au ya bweni nilazima awe amepata A masomo yote, Huyo mwenye B mbili Kwa ufaulu wa sikuhizi na watoto ni wengi Sana wanaopata A zote hawezi Pata nafasi, labda kama atakua na ulemavu
 
Hayo ndiyo matokeo ya kijijini kwetu! Najiandaa kwenda huko kula tunda kimasihara kwa hao vilaza waliopata D, maana wote nawajua
 
Attachments

  • Screenshot_20231218-175232.png
    Screenshot_20231218-175232.png
    22 KB · Views: 4
Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua. Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza. Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO. Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A. Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi? Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL. Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto. Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi? Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI. Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI? Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu. MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata. Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
 
Nasr Mohamed Mchengerwa kasoma FEZA PRIMARILY SCHOOL kapangiwa AZANIA.

Mwingine njnayemfahamu pale pale Feza alipata A zote ispokuwa Uraia, kapangiwa Kawe Ukwamani.

Mwisho wa siku maokoto yako ndiovyatafanya mwanao akasome wapi...
 
Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.

Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza.

Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO.

Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A.

Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi?

Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL.

Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.

Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi?

Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI.

Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI?

Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu.

MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata.

Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
Mkuu! Siku hizi wanaopata wastani wa 'A' ni wengi! Shule nyingi za kata zinachanganya na hao wa 'B' na wengi wao zaidi ya %90 ni 'C' Hata hivyo kulingana na uwezo wa wazazi wakati mwingine kusoma kutwa kwa shule ya karibu ni nafuu zaidi kuliko kupelekwa shule za bweni zilizombali na gharama za nauli na mahitaji lukuki kama sanduku, mashuka, n.k
 
mWache asome akimaliza aje tubebe zege na tofar.tuko nao apa wenye mnaita upper second
 
Back
Top Bottom