wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

    Mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Fatma Karume, ameunga mkono suala la Wamasai kukatazwa kutembea na Silaha huko Zanzibar. Kupitia ukurasa wake wa "X" Fatma amesema, "Ukibeba silaha Zanzibar unavunja Sheria za Jinai, Utamaduni si sababu ya kuvunja sheria. Wazenji...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wamasai wameshindikana Zanzibar, lipelekwe Jeshi kuwapora marungu, fimbo na sime

    Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano. Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili. Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
  4. R

    JamiiForums Tanzania Masai wakatazwa kutembea na fimbo Zanzibar; Je, Wamasai wamewakosea nini kila sehemu mnawakataa?

    Masai ni jadi yake kutembea na fimbo miaka yote. Hakuna siku tumewahi kuiona fimbo ya Masai kama silaha. Kinachoendelea Zanzibar ni mwendelezo wakupambana na kabila hili kutokana na ukweli kwamba wamejaa Zanzibar na wanaongea vibaya kuhusu ngorongoro. Ukiwakuta wakiwa na wazungu wanajadili mada...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu. Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari wamekuwa na ubaguzi sana dhidi ya watu toka bara. Wamasai wanatokea bara na wanazidi kuongezeka huko...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Wamasai wazichapa na Walinzi wa kawaida

    Hii ni video inayombaa kwa kasi mitandaoni ikiwaonyesha Wamasai wakipigana na Walinzi wa kampuni binafsi. Inasemekana kuwa hili tukio limetokea Zanzibar, lakini sababu ya ugomvi kati yao bado haijajulikana. Written by Mjanja M1 ✍️
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

    Maamuzi ya bunge la Ulaya kuhusu kuhamisha Wamasai Ngorongoro linakwenda kutaathiri kiuchumi. Tutaathirika kwa sababu tulitumia nguvu huku tukijua kabisa kwamba tunajipanga kuimarisha mahusiano na mataifa mengine. Bunge la Ulaya kwa zaidi ya asilimia 90 limesema maamuzi ya Tanzania siyo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania CCM wakataa Baba yake Sabaya kuhojiwa kuhusu kuchoma nyumba za Wamasai akiwa DC, wasema hilo siyo swali

    Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo. Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM. Leo Mzee...
  10. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, Mmeru na Mwarusha ni kabila moja?

    Hawa ni watu wa wapi? Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia kibiashara bado wana mwamko mdogo. Kwa Mwarusha nae naona wanatahiri kama wamasai na kuna fimbo za bomani...
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Wamasai wafupi wanaongezeka

    Yani ile dhana ya wamasai walefu inaenda kupotea, nadhani wanafanya interbreeding, au huku pwani hawanywi maziwa. Yani unakutana na mmasai kafupi mwenye hadhi ya kuitwa mbilikimo kabisa, ukiachana na shuka zao, huwezi watofautisha
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  14. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Wamasai kaeni tu mkoani mmejaa sana Dar manaaibisha aisee

    Hivi kwann wamasai hawataki kabsa kukaa porini yaan kila siku wanakuja Dar wanaongezeka kwa kasi sana aisee hawataki kabsa kuchunga n'gombe mnataKa nani awachungie aisee masai hamtaki kufanya kazi za asili. Yaan masai mmekua kama watu wa makumbusho kutaka kazi nyepesi kusuka tu na kukaa tu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

    Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji. Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro. Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe. Sijui...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa maskini walioajiriwa serikalini wanatumika kuwaadhibu wazazi na ndugu zao waliowasomesha wakiamini wanalinda nchi

    Wanaoangaika na maskini wa nchi ni watoto wa maskini walioajiriwa serikalini. Viongozi wa TANAPA wameliwa vichwa kwa sababu tu wamegusa maslahi ya royal family. Viongozi wa TANAPA wameona namna wanasiasa wasivyo na fadhila; wamepambana na Masai wakiamini watapanda vyeo wameambulia fedhea ya...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kilichofanyika Msomera hakikuwa sherehe za kimila za Wamasai, zilikuwa sherehe za CCM

    CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya. Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Zitto mpigania haki ndie huyu anayefurahia kuuzwa bandari za Tanganyika,kukaa kimya juu ya Katiba Mpya na wanayofanyiwa Wamasai Ngorongoro!?

    Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.leo hii amekuwa kimya katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wamasai wamueleza Lissu namna wanavyofanyiwa ukatili wa kutisha na Serikali

    Wamemueleza kuwa: 1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya 2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke 3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

    Turukie kwenye mada. Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga. 2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta...
Back
Top Bottom