wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 4 wafugaji (mostly wasukuma) waliondolewa bonde la Usangu na kupelekwa Lindi. Kwanini iwe nongwa kwa wamasai wa Loliondo?

    Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo. Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii? Awamu ya 4 iliwaondoa wafugaji maeneo ya bonde la Usangu, Ihefu, na Ujiji lkn hakuna aliyepiga kelele. Why??
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wamasai wa Kenya mnatakiwa kuheshimu mipaka

    Wanaukumbi. Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo. Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa Kenya wala Tanzania, tunawapa tahadhari wakiendelea kuwasikiliza wanaharakati njaa wanataletea...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Waziri Pindi Chana anataka Simanjiro, Ngorongoro na Longido kuwa Mapori ya akiba. Wamasai hatutakubali kamwe!

    Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba. Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana. Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

    Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu! Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka) Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
  6. James Martin

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wamasai wa Kenya wanakerwa na jambo la Ngorongoro kuliko sisi?

    Habari za Jumapili popote mlipo. Nafikiri wengi mnajua kuhusu mpango wa serikali wa kuwatafutia ndugu zetu Wamasai makazi mapya ili kuilinda hifadhi ya Ngorongoro. Hili jambo lilileta mjadala mkubwa sana miongoni mwa jamii yetu ya Watanzania. Wapo waliopinga kuhusu mpango wa serikali na pia...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu na wanyama na wamasai ni wetu, na wanakopelekwa ni kwetu pia

    Huwezi kuchanganya pamoja watu wanaoongeka idadi na wanyamapori wanaongezeka idadi kwenye eneo moja lisiloongezeka ukubwa milele. Kuendelea kufanya hivyo ni kuminya uhuru wa watu na wanyama hao. Kama ilikuwa sahihi miaka mingi iliyopita haiwezi kuwa sawa Sasa na hata kesho na kesho kutwa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Hatuoni mwendelezo wa Maasai wa Ngorongoro kuhama

    Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Yalihamishwa makaburi na miili ndani, sembuse hawa Wamasai hai na nguvu zao

    Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
  10. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Hii ya Wamasai ni testing ground ya kuhamisha Watanzania wengine maeneo yao

    Serikali imefanikiwa kweli kuhamisha wamasai kutoka eneo lao la asili walilo zaliwa na kupelekwa maeneo mapya bila ya wao kupenda. Ni wahakikishie kwamba kuhamisha Watanzania kupisha wawekezaji hakutaishia Ngorongoro pekeee na kwa sasa bench mark itakuwa ni Ngorongoro, kwamba kule ilifanikiwa...
  11. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Wamasai wa Ngorongoro wanaopelekwa Handeni hawataweza ku-survive pale

    Kwenye Hifadhi za Taifa, ukiachana na Zoo, huwa kuna vibao vimeandikwa Dont feed birds or animal. Kwamba usiwalishe ndege na wanyama wengine na ni kosa kubwa sana ndani ya hifadhi kuwatupia hata nyani ndizi. Hii ni suala la kisayansi zaidi na sio suala la kiusalama kwamba unaweza kuwalisha sumu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

    .
  13. broken ages

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro ni mali ya Maasai wa Tanzania na Kenya

    WATANZANIA hatuko tayari kupaza sauti kuwatetea wachache mnaopigania kuiharibu NGORONGORO kwa faida na ubinafsi wenu bila kuyatizama maslahi mapana ya TANZANIA leo na kesho Na badala yake tutawashaurini kuondoka ili maisha yaendelee kwanini mnatetea kuishi porini ambapo kuwepo kwenu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama wamasai sio wazawa, mbona Wahehe walitokea Zimbabwe. Huyu Msigwa hana utu na mbaguzi

    Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa. Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
  15. J

    JamiiForums Tanzania Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

    MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA. Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wamasai wote mfunge na kuomba juu yanayoendelea Ngorongoro

    Hapo vip! Hichi kitendo wanachofanyiwa wamasai wangorongoro na Loliondo ni sawa na kutaka kuwatoa samaki kwenye maji waishi nchi kavu. Wakati ni asili yao na nimakazi yao waliyopewa na Mungu kama wewe ulivyokuwa na asili yako. Sasa nawashauri wamasai wote Duniani mfunge na kumuomba Mungu...
  17. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamasai kupelekwa Tanga mapenzi yalipozaliwa, soon tutaanza kupata unafuu

    Maswala ya Ngorongoro sijui waondolewe au wasiondolewe hayo hayanihusu. Mimi na tazama upande wa pili hawa dada zetu wakimasai magogo kitandani sasa uko kuchanganyika na watanga itakua nafuu, haiwezekani unakula mtu hata hajigusi, macho anatoa kama anakula mgagani au anakunywa muarobaini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ngorongoro Kati ya Serikali na Wamasai. Nini chanzo na hatma ya mzozo

    Habari ndugu Watanzania, kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali. Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu mzozo na tuondoe sintofahamu iliyopo kwa Watanzania kuhusiana na huu mgogoro. JE, nini chanzo Cha...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Baada ya Samia Kutembelea Uarabuni, Wamasai wameanza kufukuzwa kwenye Malalio yao

    Salaam Wakuu, Kuna Uhusiano gani wa rais Samia kutembelea Uarabuni na Operation ya kuweka Mipaka Loliondo? Miezi mitatu baada ya Samia kwenda Uarabuni, mipaka imeanza kuwekwa Loliondo. Pia Wamasai wametakiwa kuhamia Tanga kwa hiari Hivi Karibi Rais anaenda tena Uarabuni. Nini tutegemee...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wamasai wapiga simu kwa fujo kwenye press ya Gerson Msigwa na kuzungumzia Loliondo

    Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi. Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai. Wamasai hao...
Back
Top Bottom