wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mohamed Ndolanga? Alishiriki kuuza ardhi ya Loliondo kwa mwarabu kipindi cha utawala wa Mwinyi. Damu ya wamasai ipo naye

    Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu 👇
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania ‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

    Salaam Wakuu, Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao. Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro. Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aambiwe...
  3. Slowly

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kaskazini inabidi muungane kuwaokoa wenzenu Wamasai

    Ukweli ni kwamba kwenye hii nchi Kanda ya kaskazini inaongoza Kwa kuwa na rasilimali zenye kuingiza pesa za kigeni ... Sehemu popote ambapo mzungu anapapendelea automatically hapo kuna kisima cha hela. Wanalofanyiwa wamasai Kwa sasa ni uonevu wa Hali ya juu , Leo wanafukuzwa na inasemekana kuna...
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania Wanaokataa Wamasai kuhamishwa wana ubinafsi mkubwa sana, siyo wazalendo

    Achana na nyumba wanazojemgewa. Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe? Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki...
  5. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

    Hello Great Thinkers.. HIli sakata limenisikitisha sana, Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right.. Nimeandika topic hii ili kama...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni bora wanyama wauzwe wote ili wenzetu wamasai wawe salama!

    Kuna faida gani sisi kuwa na wanyama pori ambapo wanasababisha mateso na hata vifo Kwa binadamu wenzetu? Tunaiomba wizara husika, iendelee na mpango wa kuwauza na kusafirisha wanyama wetu kwenda huko wanakohitajika ili tu sisi tuwe salama! Kwanza, tangu nimezaliwa sijawahi hata Kuonja utamu wa...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Salaam Wakuu, Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi. Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii. MY TAKE: Damu ya Mtu haiendi bure. Pia soma: Wamasai Ngorongoro...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isiruhusu wavunja sheria za nchi (wahuni) kutamba. Wamasai wa Ngorongoro wafurushwe

    Nachukizwa sana ninapoona maslahi ya kisiasa yakipofusha viongozi wetu na kuamua kufumbia macho masuala muhimu. Tujifunze kusimamia sheria na kuchukua hatua kali kwa kila anayekwenda kinyume bila kujali maslahi ya kisiasa. Ongezeko la wamasai wa Ngorongoro ni janga kwa mustakabali wa wanyama...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

    Leo Bungeni baada ya Waziri mkuu kuongelea video inayosambaa kwamba kuna mapigano yameanza Ngorongoro, Spika Tulia Ackson ametoa maoni yake na kutaka mhusika ashughulikiwe na taasisi zilizosajiliwa nchini zifate. ====== Spika: Tupo kwenye vita ya kiuchumi na nchi zingine, tukiwaacha hawa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji: Wamasai wasiondolewe Ngorongoro

    Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya. 1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro. 2. Tujadili nao...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji: Kwanini zoezi liwe la haraka kuwahamisha? Ni kweli Wamaasai wameshirikishwa?

    Heri ya siku kuu na mapumziko, Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro. Anasema mwaka 1958 walihamishwa kutoka serengeti kwenda Ngorongoro kwa ahadi ya kutokuja kuhamishwa tena na serikali ya...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania The Guardian: Wamasai kufukuzwa kupisha Mwarabu (UAE) kuwinda Wanyama!

    Haya waliokuwa wanasema kufukuzwa kwa Wamasai ni kwa ajili ya kutunza Hifadhi wako wapi? Kwa mujibu wa Gazeti la Mzungu wenu The Guardian sababu ya kuwaondoa Wamasai kwa nguvu ni kupisha Mwarabu wa Dubai kuwinda Wanyama. Magu (RIP) angekuwepo isingewezekana, angewatetea lazima! ----- Thousands...
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Wamasai Ngorongoro kuhama kwa hiari

    wawakilishi kutoka Kata za Enduleni, Kakesio, Aleilai, Alaitole, Nainokanoka, Olbalbal, Misigyo, Engaresero, Olorieni na Kata ya Ngorongoro. Akizungumzia uhitaji huo, mwakilishi wa wananchi wa Kata ya Endulen, Foibe Lukumay, alisema wananchi hao, hasa wa jamii ya kifugaji ya Kimasai wanatamani...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msigwa amhoji Tundu Lissu kupinga Wamasai kuhamishwa Ngorongoro, Lissu akosa majibu

    Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine. So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe. Source: ITV habari! ===== Waziri Mkuu Kassim...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wamasai wa Ngorongoro wanatumika na mabeberu kumchafua Rais Samia?

    Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi. Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya kimataifa kama Al Jazeera ni kipi? Na Al Jazeera kinachowafanya waendeshe mjadala hiyo jana wa upande...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wamasai wanabaguliwa sana?

    Bar ya Sun Siro imepiga marufuku watu wa jamii ya Kimasai kuingia kwenye bar hiyo. Huu ni ubaguzi rasmi ambao hauna jina jingine ila ubaguzi wa kikabila. Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi wa kikabila ni sawa na kula nyama ya mtu. Nazuimba mamlaka zinazohusika na kutoa na kusimamia leseni...
  18. The Genius

    JamiiForums Tanzania Wanaoshadadia kufukuzwa Wamasai Ngorongoro wamepewa nini na Waarabu?

    Huko kaskazini mwa Tanzania, zaidi ya wakazi 70,000 wa jamii za Kimasai wanakabiliwa tena na kufukuzwa kutoka kwenye ardhi ya mababu zao baada ya serikali kuweka wazi mipango ya kukodisha ardhi hiyo kwa kampuni kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - UAE, ili kuunda ukanda wa wanyamapori kwa ajili ya...
  19. Stroke

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Ukabila ni Mbaya tumeanza na Wamasai wengine Watafuata

    Miaka 61 baada ya kuwa na Tanganyika huru leo tunashuhudia kampeni kubwa na ya aina yake katika taasisi mbali mbali hapa nchini ya kuwataka wamasai ambao wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo kwa zaidi ya miaka 60 kutakiwa kuya hama makazi yao ambayo vizazi na vizazi wamekua wakiita nyumbani...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa “Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi...
Back
Top Bottom