wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

    Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025 Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu. Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

    Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wa kuwazuia wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kupiga kura. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wamasai walifikaje na kuishi Ngorongoro?

    Nimetembelea bonde la Ngorongoro mara kadhaa na kuona wanyama pori wengi ndani ya kama shimo hivi, inavutia sana na kushangaza. Lakini nimeona pia na makundi ya ng'ombe, punda, mbuzi na kondoo humohumo wanachumgwa na wamasai. Naomba mtu anaefahamu atusaidie kujibu maswali haya kwaajili ya...
  6. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la wamasai ni lipi?

    Ndani ya nchi yetu kumekuwepo na ubaguzi wa wazi dhidi ya watu wa kabila la wamasai. Imekuwa ni kawaida kuwaona na kuwatambua watu wote Kama Watanzania isipokuwa maasai ndio hutambulika Kama wamasai. Kwanin tunatumia utambulisho wa kikabila Kwa maasai Ila Kwa wengine tunatumia utambulisho wa...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawashauri muige lifestyle ya wamasai, mtadumu muda mrefu

    Huwezi kukuta mmasai ana ukimwi wala anajiuza kulingana na mila zao. Wamasai ni wastarabu sana na ukipata mke wa kimasai umepata kweli. Lazima utamkuta ni bikra na kama ni mwanaume lazima hana mchepuko kabisa.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kama muda wa kuandika Katiba mpya hautoshi, mbona wa kuuza Bandari na kufukuza wamasai ulitosha?

    Ninawasanua makada wenzangu wa chama chetu CCM, hebu tujaribu kulijibu hilo swali kimantiki!! Hoja za lissu tumeshindwa kujibu na hilo swali tunaweza kulijibu? Ifikie hatua tuache kujibu mipasho masuala mtambuka ya kitaifa na nchi yetu Kwa ujumla. Mzee Warioba ni mwanaccm na anaitaka Katiba...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Wamasai waliohama Ngorongoro walalamika zoezi hilo kuzungukwa na udanganyifu, wasema watarudi

    Kiongozi wa wamasai waliohamia Ngorongoro wamelalamikia Serikali kutotimiza ahadi zake huku wananchi hao wakiwa wamevunja maboma yao Ngorongoro na kuhamia Msomera. Wananchi hao 136 wamesema zoezi hilo limezungukwa na udanganyifu, wamemtaka Rais Samia kufuatilia zoezi hilo kwa kuna watendaji...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vita kali kati ya Wamasai na Wachaga, 1820,s

    Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
  12. Nahman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wamasai wazuri wakuu

    Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai... Ni mrembo jamani Yuko natural Mtoto mrefu kama ngusoo Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi Kwa hakika muumba anaumba 🙌🏻 Macho yake yameingia ndani kidogo Alafu ana kama weusi hivi machoni Nnashindwa tu kumpiga picha kutokana na angle...
  13. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Uleigwanan wa Lowassa wadaiwa kugombaniwa na wawili wa familia moja ya Ole Shangai

    Ni Emmanuel Ole Shangai na Joseph Ole Shangai. Wamasai wamkataa Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai kutaka kujiapisha kuwa Leigwanan. Bonyeza link chini kusikiliza SAUTI ZA WAMAASAI WAKIPINGA EMMENUEL OLE SHANGAI KUJIAPISHA ULEIGWANAN https://www.youtube.com/watch?v=Bx2TDkYrLUc Na...
  14. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha kuwa Laigwanan wa jamii ya kimaasai

    Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha mwenyewe kuwa Laigwanan, Uapisho uliohudhuriwa na watu takribani ishirini wa familia yake katika sherehe ndogo iliyofanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Enduleni kata ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro. Baadhi ya viongozi...
  15. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Nani anatoa 'kitita' cha kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro? Tunapata faida gani kama Taifa?

    Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja. Kabla ya jana, nilioneshwa...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini hizi mila za kutembea na silaha (wamasai na wakurya) zisiwe halali maporini na sio mijini?

    Makabila haya mawili licha ya uzuri wao huws yanakitu kinaitwa Mori. Ukiwachokoza nje ya uvumilivu wao wanapanda mori wanakuwa kama wanyama. Akili zinakuwa hazipo anafanya chochote. Kwa bahati mbaya licha ya kuwa na sifa hii hatarishi ambayo makabira mengine mengi hayana bado ndio wanaoongoza...
  17. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Wamasai kuweni makini Zanzibar, mmewekewa chambo mnavutwa mnavutika tu bila kujitambua

    Politics. Hakuna watu wanajua ku manipulate watu kama wanasiasa, wakitaka jambo lao hua hawakurupuki waanzia mbali tu mpaka lengo lao litimie, miaka ya karibuni tumeona wingi wa wamasai kufurika Zanzibar kwenda kutafuta maisha, wameshakua wengi sana, na tuwe tu wakweli fanya yote ila Zanzibar...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

    Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi. Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu? Written by Mjanja M1 ✍️
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Masai achukizwa na uonevu unaofanyika Zanzibar

    Mtu mmoja mwenye asili ya Masai ameonyesha kuchukizwa na uonevu unaoendelea huko Zanzibar dhidi ya Wamasai. Akiongea kwenye video Masai huyo amesema "walichofanya polisi ni uonevu kwakuwa hawakuwa na kibali cha kuwakamata wamasai kule Zanzibar". ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written...
  20. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Je tamaduni za wamasai na wahadzabe ziko juu ya sheria?

    Mama wa watoto kadhaa anahukumiwa zaidi ya miaka 20 kwa kukutwa na nyamapori kilomoja, ila kuna kundi la watu linafanya uwindaji haramu kwa kuua mamia ya wanyamapori kwa kisingizio cha tamaduni. Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji umekuwa kama uharifu nchini kwa asilimia kubwa ya wafugaji, mifugo...
Back
Top Bottom