wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Deusdedit Balile adai Ngorongoro hakuna makaburi hivyo Wamasai waondolewe Ngorongoro kuwaepusha kuendelea kuliwa na Wanyama

    Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake. Siku chache Balile kawaitisha vyombo vya habari na wanahabari kuwashawishi au kupiga kampeni kuwaondoa Wamasai Ngorongoro...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

    Amani iwe nanyi Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

    Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbuga nyingi duniani zina Wanyama lakini hazina Wamasai. Moja ya kivutio cha Watalii Ngorongoro ni uwepo wa Wamasai!

    Wamasai ni sehemu ya Utalii kwa sababu wanadumisha mila na desturi ambazo makabila mengi yameshindwa. Kwa mfano: Wagogo wa leo hawatoboi masikio kama unga Wamakonde wa leo (Mmawia) hawachanji chale wala kuweka ndonya Wahehe hawaweki kumi na moja pembeni ya macho Wajaluo wanatahiriwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

    Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani. Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Hifadhi ya Ngorongoro kuna siri nzito. Nani wapo nyuma ya Wamasai?

    Mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu wakazi wanaoishi ndani ya eneo hilo umekuwepo kwa miaka mingi, kwa muda wote huo hakuna utatuzi rasmi wa nini kinatakiwa kifanyike. Juzikati baada ya bwana Maulidi Kitenge na wenzake kutembelea hifadhi hiyo, alitoa ushauri wa Serikali kufanya mpango wa...
  7. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wamasai inaongezeka. Je, idadi ya nyumbu na wanyama wengine haiongezeki? Kwanini Wamasai wasiongezeke, wao sio binadamu?

    Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
  8. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
  9. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sera ya ufugaji holela kwa wamasai na wasukuma ndio chanzo cha mapigano ya kikabila

    Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21. Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders. Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa. Sera hii haiwezi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

    IGP Sirro amefanya ukaguzi wa kushtukiza wilayani Kilindi ambako wananchi sita wameuawa katika mapigano kati ya Wakulima na wafugaji. Sirro amesema alijisikua maumivu moyoni baada ya kuelezwa na wanafunzi kuwa wameshindwa kwenda shule wakihofia kuuliwa na wamasai. IGP Sirro ameahidi kupeleka...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aikemea tabia ya wamasai kuhamahama ambayo inaweza kuwa changamoto kwa sensa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kabila la wamasai wanakawaida ya kuhamahama hali inayoweza kuleta changamoto katika zoezi la sensa mwaka 2022. Amesema watu wasipojitokeza itakuwa ngumu kupanga mipango ya maendeleo katika maeneo husika kwa kupeleka miradi isiyotosheleza. Sensa ya uhesabuji...
  12. Jana Ulirudi Usiku

    JamiiForums Tanzania Sijapenda watu wanavyo-underrate Wamasai

    Hello, Kuna thread nyingi sana humu Jamii Forums nimeona Wamasai wakikejeliwa mno kwa kuitwa washamba, hawavai nguo za ndani na mengine mengi. Hii ni mitazamo ya kibaguzi na potofu kabisa. Binafsi sipendezwi na tabia za kuwadhalilisha Wamasai na ninapendekeza zikomeshwe. Stop shaming them...
  13. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna kabila linaitwa Waarusha au ni Wamasai mmeamua kujiita hivyo?

    Wakuu nipo sehemu fulani hapa kuna vijana wanajaza fomu fulani hivi mimi nikiwa kama msimamizi wa hili zoezi kuna jambo linanitatiza hapa kidogo. Katikati hizo fomu kuna kipengele cha kujaza kabila lako sasa vijana wengi kutoka Mkoa wa Arusha katika hiki kipengele wanajaza kabila lao MUARUSHA...
  14. Samweli Mathayo

    JamiiForums Tanzania Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

    Nataka kuoa mmasai naomba kujuzwa mambo kadhaa wawapo ndani ya ndoa
Back
Top Bottom