walimu

  1. JamiiForums Tanzania Walimu, hivi CWT wataendelea kuwaibia mpaka lini?

    Michango mnayochanga kila mwezi inafanya kazi gani, leo mnambiwa mfunge mikanda miezi miwili gawio lenu la kila mwezi linaenda nunua T shirt za Mei mosi 2021. Huu si uhuni huu, fedha inazokusanya kila mwezi inafanya shughuli gani na kwanini haya mambo muambiwe mwaka huu tu miaka mingine pesa za...
  2. JamiiForums Tanzania Bukoba: Walimu wa Kolping English Medium wagoma kwa kutolipwa mishahara kwa miezi nane (8)

    Walimu na wafanyakazi wa shule za msingi na sekondari ya kolping inayomilikiwa na kanisa katoriki jimbo la Bukoba wamegoma tangu wiki iliyopita wakishinikiza uongozi kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi 8. Hata hivyo kikao cha kuwaomba wafanyakazi hao kurudi kazini kimevunjika baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

  4. JamiiForums Tanzania Kagera: Katibu Tawala aagiza uchunguzi wasababu ya Walimu wengi kuomba kustaafu kabla ya kufikisha miaka 60

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustine Kamuzora amewaagiza maofisa wa idara ya elimu katika mkoa huo kutathimini sababu zinazochangia wimbi kubwa la walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani humo za kuchukua uamzi wa kuomba kustaafu kazi kabla ya kufikisha umri wa miaka 60 wakati...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kujenga sekondari mpya zaidi ya 1000 ilihali za Sasa hazina nyumba za walimu, maabara na mabweni huku wasichana wakipigwa mimba?

    Mada hapo juu yaeleweka. Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26. Shule nyingne zaidi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu msingi Tandahimba amewahamisha walimu bila kuwalipa stahiki zao

    Ni mwanamama asiyezingatia wala kuheshimu sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi. Wiki iliyopita amewapatia barua za uhamisho walimu zaidi ya 30 wakihamishwa toka vituo vyao vya zamani kwenda vituo vipya vya kazi. Kati yao hakuna aliyelipwa stahiki zake zikiwemo posho ya usumbufu au ile ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: 5000 wasambazwa kwenye vituo vya kazi wiki mbili zilizopita

    Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbalimbali nchini.
  8. JamiiForums Tanzania Waziri aagiza Wakuu wa Shule kuwabaini Walimu wanaojikita kufundisha tuisheni kuliko kwenye ajira walizoomba

    Walimu Wakuu wa shule za msingi wameagizwa kusimamia vizuri taaluma na kuwabaini wale wote wanaojikita kufundisha tuisheni badala ya kutumikia ajira waliyoiomba. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ambapo alitoa agizo wakati alipokuwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

    Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy! Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Je, na wewe unadhani Uhusiano mbaya kati ya walimu na wanafunzi ni moja ya chanzo cha kuwapo kwa maisha magumu kwa walimu?

    Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
  11. JamiiForums Tanzania TAFAKURI CWT: Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe kama wafanyavyo SUMA JKT?

    Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums. Eti ndugu zangu; Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT? Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja...
  12. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  13. JamiiForums Tanzania Kada muhimu kuliko zote

    Mfalme mmoja alitaka kujua ni kada gani muhimu kuliko zote? 1. Maaskari wakamwambia ni sisi: Tunaulinda ufalme wako; bila sisi maadui wangekuja kutuvuruga hapa. 2. Walimu wakamwambia ni sisi: Bila sisi hakuna kada yoyote nyingine. 3. Madaktari wakamwambia ni sisi: Bila sisi hakuna mtu mwenye...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu Kenya wataka kupatiwa bunduki ili kujilinda dhidi ya wahalifu

    Chama cha walimu nchini Kenya (KUPPET) kinaitaka serikali kutoa mafunzo ya usalama kwa walimu na kuwapa silaha wale wanaopelekwa kufundisha kwenye maeneo yaliyo ya hatari. Kaimu Katibu Mkuu wa KUPPET Moses Nthurima amesema kuwapa walimu silaha si kuwa tu kutawaogopesha watu wanaowashambulia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania na kutokuwa na ufahamu wa ugonjwa wa Hysteria

    Mdau wa jf umeshawahi kuona wanafunzi wa shule ya msingi hasa wa kike wakidondoka hovyo na kupiga mayowe huku wakikimbia hovyo? Huwakuta hata wa secondary mostly wa kike. Basi ugonjwa huu huitwa Hysteria. Basi kwa taarifa yako Watanzania wengi mpaka walimu huamini hayo ni mapepo au majini...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kudahili walimu viangaliwe upya kabla ya ajira 5,000

    Katika utoaji wa ajira za walimu kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusiana na vigezo vinavyotumiwa kupata walimu. Nataka nizungumzie kigezo cha mwaka wa kuhitimu chuo. Sio sahihi na haki kumwajiri mwalimu aliyehitimu chuo mwaka 2018 ukamuacha aliyehitimu mwaka 2017, 2016 na 2015 (wenye masomo...
  18. JamiiForums Tanzania Waliofunga shule kwa corona, maslahi ya walimu yatakuwepo? Je, wazazi hawatalazimishwa kulipa tena ada?

    Kabla sijaenda kwenye maswali zaidi niweke wazi kuwa, I have never bought any Conspiracy lakini najua attention ya dunia dhidi ya corona is greater than the real problem. Corona kuwepo ni jambo moja, impact yake ni suala jingine, Idadi ya wanaopona ukilinganisha na wanaokufa inaoesha haja ya...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Walimu saba wanaishi nyumba moja ya vyumba vitatu

    Moshi Walimu saba wa Shule ya Msingi Mikocheni iliyopo kata ya Arusha chini Wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro wanaishi katika nyumba moja yenye vyumba vitatu. Walimu hao ambao wanawake ni wanne na wanaume watatu wameeleza hayo leo Jumatano Januari 20, 2021.
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ndani ya miaka mitano Serikali imeajiri walimu laki tatu?

    “Katika kipindi cha miaka mitano wameajiriwa walimu 300,000 hivi karibuni tulitangaza nafasi 8,000 na tunatarajia kutangaza ajira nyingine 5,000 za walimu. Tunataka suala la elimu lizingatiwe, nchi yenye kuthamini elimu ndiyo yenye nia ya kweli ya kuendelea,” Hayo yamesemwa na Magufuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…