walimu

  1. incognitoTz

    Je, na wewe unadhani Uhusiano mbaya kati ya walimu na wanafunzi ni moja ya chanzo cha kuwapo kwa maisha magumu kwa walimu?

    Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
  2. Infantry Soldier

    TAFAKURI CWT: Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe kama wafanyavyo SUMA JKT?

    Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums. Eti ndugu zangu; Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT? Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja...
  3. USSR

    Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  4. Mlenge

    Kada muhimu kuliko zote

    Mfalme mmoja alitaka kujua ni kada gani muhimu kuliko zote? 1. Maaskari wakamwambia ni sisi: Tunaulinda ufalme wako; bila sisi maadui wangekuja kutuvuruga hapa. 2. Walimu wakamwambia ni sisi: Bila sisi hakuna kada yoyote nyingine. 3. Madaktari wakamwambia ni sisi: Bila sisi hakuna mtu mwenye...
  5. Analogia Malenga

    Walimu Kenya wataka kupatiwa bunduki ili kujilinda dhidi ya wahalifu

    Chama cha walimu nchini Kenya (KUPPET) kinaitaka serikali kutoa mafunzo ya usalama kwa walimu na kuwapa silaha wale wanaopelekwa kufundisha kwenye maeneo yaliyo ya hatari. Kaimu Katibu Mkuu wa KUPPET Moses Nthurima amesema kuwapa walimu silaha si kuwa tu kutawaogopesha watu wanaowashambulia...
  6. K

    Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  7. Superbug

    Walimu wa Tanzania na kutokuwa na ufahamu wa ugonjwa wa Hysteria

    Mdau wa jf umeshawahi kuona wanafunzi wa shule ya msingi hasa wa kike wakidondoka hovyo na kupiga mayowe huku wakikimbia hovyo? Huwakuta hata wa secondary mostly wa kike. Basi ugonjwa huu huitwa Hysteria. Basi kwa taarifa yako Watanzania wengi mpaka walimu huamini hayo ni mapepo au majini...
  8. S

    Vigezo vya kudahili walimu viangaliwe upya kabla ya ajira 5,000

    Katika utoaji wa ajira za walimu kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusiana na vigezo vinavyotumiwa kupata walimu. Nataka nizungumzie kigezo cha mwaka wa kuhitimu chuo. Sio sahihi na haki kumwajiri mwalimu aliyehitimu chuo mwaka 2018 ukamuacha aliyehitimu mwaka 2017, 2016 na 2015 (wenye masomo...
  9. Research Solutions TZ

    Waliofunga shule kwa corona, maslahi ya walimu yatakuwepo? Je, wazazi hawatalazimishwa kulipa tena ada?

    Kabla sijaenda kwenye maswali zaidi niweke wazi kuwa, I have never bought any Conspiracy lakini najua attention ya dunia dhidi ya corona is greater than the real problem. Corona kuwepo ni jambo moja, impact yake ni suala jingine, Idadi ya wanaopona ukilinganisha na wanaokufa inaoesha haja ya...
  10. I

    Walimu saba wanaishi nyumba moja ya vyumba vitatu

    Moshi Walimu saba wa Shule ya Msingi Mikocheni iliyopo kata ya Arusha chini Wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro wanaishi katika nyumba moja yenye vyumba vitatu. Walimu hao ambao wanawake ni wanne na wanaume watatu wameeleza hayo leo Jumatano Januari 20, 2021.
  11. platoon commander

    Je, ni kweli ndani ya miaka mitano Serikali imeajiri walimu laki tatu?

    “Katika kipindi cha miaka mitano wameajiriwa walimu 300,000 hivi karibuni tulitangaza nafasi 8,000 na tunatarajia kutangaza ajira nyingine 5,000 za walimu. Tunataka suala la elimu lizingatiwe, nchi yenye kuthamini elimu ndiyo yenye nia ya kweli ya kuendelea,” Hayo yamesemwa na Magufuri...
  12. waziri2020

    Hai: DC Sabaya awataka Utumishi kueleza kwanini hawajapeleka majina ya Walimu waliostaafu Hazina

    Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amewapa siku tatu maafisa utumishi wilayani humo kuhakikisha wanatatua changamoto za waalimu wapatao 105 wanaodai malimbikizo ya fedha zao. Aidha amebainisha kuwa fedha hizo ni pamoja na malimbikizo ya kupandishwa madaraja mishahara na fedha za kustaafu...
  13. Analogia Malenga

    Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Andrea Tsere, amesema wilaya hiyo inakabiliwa na tatizo kubwa la upungufu wa walimu zaidi ya 400 na kuiomba Wizara ya Elimu kuangalia namna ya kuwaongezea ili kupandisha kiwango cha ufaulu wilayani humo. Akizungumza katika kikao cha watumishi wa...
  14. Miss Zomboko

    Mkuranga: Walimu watakiwa kutowatoza Wanafunzi michango yoyote Shuleni

    Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filbeto Sanga, amewataka walimu kutowatoza michango ya aina yoyote wanafunzi ambao wanaoanza shule. Sanga aliyasema hayo jana katika kikao maalumu cha Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, kilichoitishwa kubadilisha matumizi ya fedha ili ziende kutumika...
  15. BAK

    Kilio cha Walimu nchini (mwaka 2021)

    KILIO CHA WAALIMU NCHINI TANZANIA! Nimepokea waraka kutoka kwa mmoja wa waalimu akiwawakilisha waalimu wenzake. Kwa sababu za unyeti wa maudhui ya waraka huo, kiapo changu cha Uaskofu kinaniruhusu kutokutaja jina la mtu aliyeniletea! Nimeamua kuuchapa waraka huo katika ukurasa wangu ili...
  16. blogger

    Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

    Mishahara yetu duni..... Tumekubali. Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali. Madaraja hatupandi.. Tumekubali. Annual increment hamna.. Tumekubali. Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali. LAKINI Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani...
  17. Miss Zomboko

    Utoro, Ulevi na kuwa kwenye mahusiano na Wanafunzi zatajwa kuwa tabia sugu kwa Walimu wa Tanzania

    Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Moses Chitama ametaja makosa sugu yanayofanywa na baadhi ya walimu nchini kuwa ni utoro, ulevi pamoja na kujihusisha kimapenzi na wanafunzi. Aliyasema hayo Januari 5 mwaka huu, wakati akiwasilisha mada kuhusu maadili, katika Mkutano wa...
  18. Miss Zomboko

    Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
  19. S

    Kama kweli Serikali hii inatengeneza pato kubwa kuliko Serikali zilizopita, mbona haitoi ajira za walimu na watumishi wa afya kama serikali zilizopita

    Ukweli ni kwamba kabla ya awamu ya tano haijaingia madarakani, ajira za walimu na watumishi wa afya zilikuwa ni za kila mwaka, na kama sikosei, wahitimu wote walikuwa wanapata ajira. Baada tu ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani, kumekuwa hakuna ajira za uhakika kwa wahitimu wote wa...
  20. CK Allan

    Msaada : kujitoa chama cha walimu Tanzania

    Wadau, Heri ya mwaka mpya, Bila shaka humu wapo watu mbali mbali, Naombeni msaada wa kujitoa kwenye hili JINI nyonyaji CWT Nataka kujitoa kwasababu zifuatazo: 1. Chama hakina msaada wote kwangu zaidi ya kukata %2 2. Mwaka wa 7 huu hakuna daraja wala nyongeza chama lipo tuu. 3. Mapato na...
Back
Top Bottom