walimu

  1. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kutotaka Bodi ya kitaalam ya Walimu

    Habari! CWT = Chama cha Walimu Tanzania, Press yao imenishangaza sana eti hawaungi kuwepo kwa bodi ya kitaaluma ya Walimu (Teachers' professional board). Tena kwa madai kuwa walimu watabebeshwa mzigo mkubwa wa makato ya tsh.50000/= kwa mwaka yakihusisha lesseni ya ufundishaji, semina kwa walimu...
  3. Mwl Philemon

    JamiiForums Tanzania Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
  4. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi, Walimu tunaomba Rais Samia Suluhu uunde tume ya kuichunguza CWT

    Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi(mei mosi), walimu tunakuomba mheshimiwa Rais uunde tume ya elimu kukichunguza chama cha walimu (CWT) kwakuwa kimeshindwa kutimiza wajibu wake wa kututetea na kutuhudumia. Mbali na kushindwa kutimiza wajibu wake wa...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu: Kuna uhaba wa walimu lakini hamtaki kuajiri

    Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira Amesema, "Mimi nafikiri Mtaala wa Ualimu ufutwe katika Vyuo Vikuu kwasababu watu wanapelekwa kusomea Ualimu lakini wanaendelea...
  6. msovero

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari yenye Walimu wawili Mkoani Geita yaililia Serikali

    Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu. Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo...
  7. balimar

    JamiiForums Tanzania Je, wakati umefika tuikubali Bodi ya Kitaaluma ya Walimu?

    Wadau habari, Napenda ifikie wakati tufungua mjadala mpana wa uwepo au kutakuwepo kwa Bodi ya Kitaalamu ya Walimu Tanzania (Tanzania Teachers' Professional Board) TTPB. Tumekuwa na sintofahamu kadhaa hasa kwa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kuona TTPB itaongeza utitiri wa vyombo...
  8. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mjitahidi kutenda haki kwa Walimu wanaojitolea mashuleni

    Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa Tamisemi. Baada ya Mh. Rais kuiagiza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuajiri walimu 6000 kutokana na uhitaji ulio sababishwa na vifo na kuacha/kufukuzwa kazi kwa baadhi ya walimu, natarajia zoezi linalo fuata ni...
  9. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Acheni kuajiri kimya kimya, mchakato wa ajira 6000 za walimu ufanyike kwa uwazi

    Hivi karibuni mmebuni utaratibu wa hovyo wa kuajiri walimu kimya kimya kupitia mawasiliano ya simu za mkononi. Huu utaratibu sio rafiki hasa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo utapeli wa mitandaoni umeongezeka, hivyo matapeli wanaweza kutumia mwanya huo kutapeli watu...
  10. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

    Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki. Rais Samia Suluhu amesema haya.... "Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao wamestaafu, wamefariki n.k na kunahitajika wa kuziba nafasi hawa sio ajira mpya ni wa kuziba nafasi, Utumishi...
  11. balimar

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Shukia: Elimu Bora ni zao la Walimu bora

    Nimesoma hii kitu ya Mwalimu Richard Yesaya Shukia, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu Dar es Salaam imenitafakarisha sana 1. Niungane na watanzania wenzangu kwanza; kukupa pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Rais John Pombe Magufuli; pili NIKUPONGEZE kwa kuwa Rais wa Tanzania wa awamu...
  12. MANYORI Jr

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan wakumbuke walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Tangu utawala wa Mh. Hayati Dr. John Magufuli uingie mwaka 2015 huo ndio ukawa mwisho wa ajira kwa walimu wa Arts. Kwa heshima kubwa na taadhima ninakuomba Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan uwaajiri. Idadi yao ni kubwa kwa sababu walitengwa kwenye mfumo wa...
  13. koba lee

    JamiiForums Tanzania Kuhusu malipo kwa walimu wastaafu

    Kwema wakuu? Mwenye ufahamu kuhusu malipo ya walimu wastaafu yanavyofanyika naomba anipe ujuzi, je hela wanaingiza yote au wanaingiza kidogo kidogo au wanaipiga pini hadi muda fulani upite. Maana beki hazikabi uchumi umekaa tenge nataka nirudishe mpira kwa kipa kwa mtu fulani nasikia mpunga...
  14. The only

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa March

    Nahisi utachelewa sana kutokana na janga zito lililotukumba mlio serikalini kuweni wavumilivu
  15. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Walimu, hivi CWT wataendelea kuwaibia mpaka lini?

    Michango mnayochanga kila mwezi inafanya kazi gani, leo mnambiwa mfunge mikanda miezi miwili gawio lenu la kila mwezi linaenda nunua T shirt za Mei mosi 2021. Huu si uhuni huu, fedha inazokusanya kila mwezi inafanya shughuli gani na kwanini haya mambo muambiwe mwaka huu tu miaka mingine pesa za...
  16. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Walimu wa Kolping English Medium wagoma kwa kutolipwa mishahara kwa miezi nane (8)

    Walimu na wafanyakazi wa shule za msingi na sekondari ya kolping inayomilikiwa na kanisa katoriki jimbo la Bukoba wamegoma tangu wiki iliyopita wakishinikiza uongozi kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi 8. Hata hivyo kikao cha kuwaomba wafanyakazi hao kurudi kazini kimevunjika baada ya...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kagera: Katibu Tawala aagiza uchunguzi wasababu ya Walimu wengi kuomba kustaafu kabla ya kufikisha miaka 60

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustine Kamuzora amewaagiza maofisa wa idara ya elimu katika mkoa huo kutathimini sababu zinazochangia wimbi kubwa la walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani humo za kuchukua uamzi wa kuomba kustaafu kazi kabla ya kufikisha umri wa miaka 60 wakati...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kujenga sekondari mpya zaidi ya 1000 ilihali za Sasa hazina nyumba za walimu, maabara na mabweni huku wasichana wakipigwa mimba?

    Mada hapo juu yaeleweka. Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26. Shule nyingne zaidi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu msingi Tandahimba amewahamisha walimu bila kuwalipa stahiki zao

    Ni mwanamama asiyezingatia wala kuheshimu sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi. Wiki iliyopita amewapatia barua za uhamisho walimu zaidi ya 30 wakihamishwa toka vituo vyao vya zamani kwenda vituo vipya vya kazi. Kati yao hakuna aliyelipwa stahiki zake zikiwemo posho ya usumbufu au ile ya...
Back
Top Bottom