Serikali iwaangalie walimu wa masomo ya Sanaa (Arts)

Ulewe

Member
Jun 19, 2021
11
11
Ushauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts.

Serikali ione aibu Hawa watu imewatenga sana, na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni.

Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko kuendelea kuwapotezea mda vijana hao,Serkali liangalieni hili jaman wimbi Hilo limekuwa kubwa Sana mtaani. CCM oyeee.

Asanteni Sana.
 
Wamekusikia, watalishughulikia
JamiiForums-235212023.jpg
 
ulilazimishwa kusomea ualimu?
Tulia ccm inajua kuna walimu wanajitolea bureeee so hakuna uhitaji wa walimu wa sanaa
Ushauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts.. serkali ione aibu Hawa watu imewatenga Sana....na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni..Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko kuendelea kuwapotezea mda vijana hao,Serkali liangalieni hili jaman wimbi Hilo limekuwa kubwa Sana mtaani. CCM oyeee... Asanteni Sana ..
 
Kwan mlilazimishwa kusoma hizo course?

Na usishangae waliomaliza form six nao wakaomba kwenda kusoma course za ualiku wa arts vyuo vikuu

Let's wait and see
 
Kwan mlilazimishwa kusoma hizo course?

Na usishangae waliomaliza form six nao wakaomba kwenda kusoma course za ualiku wa arts vyuo vikuu

Let's wait and see
Ualimu ndo lilikuwa suluhisho la vijana wengi hasa waliotoka katka familia zenye kipato Cha chini..
 
Ushauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts.

Serikali ione aibu Hawa watu imewatenga sana, na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni.

Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko kuendelea kuwapotezea mda vijana hao,Serkali liangalieni hili jaman wimbi Hilo limekuwa kubwa Sana mtaani. CCM oyeee.

Asanteni Sana.
Eti serikali yangu ya CCM!!! Huna akili endelea kusota mpaka akili ikukae sawa
 
Back
Top Bottom