walimu

  1. Honorable GPA

    JamiiForums Tanzania Walimu tuliomaliza 2018 tunatengwa sana kwenye ajira

    Sijui kwanini yaani! Jamani,Lol! Ajira za mwaka jana(2019) tuliambiwa tusiombe kabisa! Mwisho ilikuwa walomaliza 2017! Mwaka huu(2020) tuliambiwa tuombe! Ajira zimetoka lakini waloajiriwa wengi ni physics/mathematics na wachache sana wa masomo mengine! Chuo chetu sidhani kama yupo ambaye...
  2. msovero

    JamiiForums Tanzania Idadi iliyosomwa na katibu na idadi ya walimu walioajiriwa ni tofauti ni

    Nimemsikiliza kwa umakini katibu mkuu alivyokuwa akitangaza ajira za walimu waliopangiwa vituo Katika maelezo yake amekumbushia ahadi iliyotolewa na Rais Magufuri ya kuajiri walimu zaidi ya elfu kumi na tatu. Katika press conference, mhe. Katibu mkuu amekiri kuajiri walimu hao elfu kumi na...
  3. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Walimu waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba wapelekwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU)

    Walimu waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba katika jiji la Arusha na Wilaya ya Kiteto, mashauri yao wamepelekwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru). Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde akitangaza matokeo ya...
  5. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Walimu wa 'Driving Schools' wasiwe ni Askari wa Usalama Barabarani?

    Husika na title hapo juu hivi kwa nini shule za udereva wale walimu wasiwe ma trafic (vihicle) maana kuna pamoja na shule kuwa nyingi kila kona lakini bado kuna ajali zinatokea kwa uzembe kabisa na bado unakuta dereva alisomea u driving shule kabisa. Hii itasaidia angalau uelewa zaidi kwa...
  6. Regent

    JamiiForums Tanzania Walimu tukutane hapa

    Walimu huu ndio muda wa kupeleka CV mashuleni mwisho wa mwaka mikataba inaisha na mwaka mpya wa masomo unaanza mwezi wakwanza huo. Fedhea imezidi tukaze
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

    Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao. Nawasilisha!
  8. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Walimu wafanyiwe haya kama motisha na fidia yao katika utumishi huu wa Miaka Mitano

    Wakuu habari zenu, Niwapongezeni kwa kuchagua Tanzania kuwa kijani kibichi, hakika sasa tutegemee maendeleo ya kasi ya 5G maana wale waliokuwa wanapinga maendeleo sasa hawapo tena! bila shaka sasa hakuna tena visingizio! mishahara kwa watumishi itapanda! madaraja watapanda pengine kuanzia mwezi...
  9. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Field msiwalazimishe mapenzi wanafunzi

    Habari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana form 4 leaves wa Tamisemi wamechaguliwa straight kuanza certificate. Nikavutiwa na confidence yao...
  10. maroon7

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo kama DIT wanashindwa kulipa walimu wataweza ufadhili wa wanafunzi?

    Leo nimeona Waziri wetu mpendwa Mhe. Jaffo katoa wito kwa vyuo kuangalia utaratibu wa kufadhili wanafunzi wanaofanya vizuri masomo ya sekondari ili kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Ni wazo zuri sana na ikiwezekana iwe lazima kila chuo kila mwaka kitoe ufadhili. Ila pamoja na hayo bado...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Chamwino ampiga makofi mwalimu hadharani kwa kuchelewa semina

    Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi. Mishahara hamuongezewi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.' Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  13. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Walimu waijia juu Serikali, wasema Kikokotoo bado kipo kinasubiri kuwaliza watumishi

    Chama cha kutetea haki na maslahi ya walimu Tanzania CHAKAMWATA kimelia kilio cha uchungu mkubwa sana kwamba kuna uonevu mkubwa sana unaofanywa na serikali ya awamu ya 5. Kimedai kwamba serikali iliwadanganya kusitishwa KIKOKOTOO na FAO LA KUJITOA. Kwamba hivi vitu bado vipo na vinasubiri muda...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkitoa ajira za Waalimu Kabla ya uchaguzi mtampunguzia kura mgombea wa CCM

    Walioomba ajira ni zaidi ya laki. Alafu wachaguliwe hao watu 13000. Mini matokeo yake. 1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI. 2: Waliobaki wote zaidi ya 87,000 hawatampigia mgombea wa CCM kwa hasira ya kukosa ajira wakati enzi za JK wote walikuwa...
  15. BAK

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Haki ya Askofu yafika Njombe na kukemea vitisho dhidi ya walimu nchini

    SAUTI YA HAKI YA ASKOFU YAFIKA NJOMBE NA KUKEMEA VITISHO DHIDI YA WAALIMU NCHINI! Tarehe 8 Oktoba 2020. Nimefika Njombe na kutoa ujumbe wa haki katika Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mheshimiwa Salum Mwalimu. Pamoja na mambo mengine...
  16. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Walimu na wazazi mnajifanya viziwi? Rungwe hamumsikii?

    Tukiachana na ubora wa Magufuli au mbwembwe za Lissu(almaarufu mwanasheria) kuna huyu mgombea ambaye pamoja na ubora wa pointi anayoishupalia, watu tumeziba masikio yetu na kumpuuza. Huyu bwana dunia nzima hasa nchi za mabeberu zinafuata sera yake lakini kwetu tumeipokea kwa dharau kubwa na...
  17. School face

    JamiiForums Tanzania Walimu wanasikitisha sana

    Habari wana Jf Jana katika pitapita zangu nikapita kwenye ofisi mmoja hivi nikakutana na umati wa watu wengi nilipo ulizia Kuna nini hapa nikaambiwa Kuna usaili unafanyika maeneo haya na ni usaili wa kutafuta wasimamizi watakao simamia vituo vya kupiga kura Kama ilivyo zoeleka kuwa wasimamizi...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Risala ya walimu katika siku ya Walimu kwa Waziri Mkuu

    RISALA YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KWA MGENI RASMI MH. MAJALIWA KASIM MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWENYE KONGAMANO LA SIKU YA WALIMU DUNIANI - OKTOBA 05, 2020 KATIKA UKUMBI WA LAPF- MAKOLE JIJINI DODOMA Mheshimiwa Majaliwa Kasim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  20. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba: Nichagueni niboreshe maslahi ya walimu

    NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA" SHINYANGA Mgombea Urais CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amesema atakapoingia madarakani atarekebisha muundo wa elimu na kuboresha maslahi ya walimu kwa kuwa walimu ndio wanaotengeneza rasilimali watu wenye tija wanaoweza kuiwezesha...
Back
Top Bottom