walimu

  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Njaa inaweza kutufundisha kuliko Walimu

    NJAA INAWEZA KUTUFUNDISHA KULIKO WALIMU. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya pembejeo za kilimo kupanda bei mara dufu. Bahati mbaya toka mijadala hii imeanza hakujawa na suluhisho. Wapo wanaojaribu kutengeneza sababu kuwa kupanda Kwa pembejeo za kilimo kunatokana na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa walimu wa hesabu

    Tunahitaji walimu wa hesabu kuanzia form 1 hadi 6. Kazi inafanyika online na utapewa test kabla ya kuanza. Kwa mwenye uhitaji tuma email: rubysinc2012@gmail.com
  4. I

    JamiiForums Tanzania Serikali kila siku inapewa pesa kuboresha elimu. Kwanini haiajiri walimu?

    Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji. Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu. Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu walimu kupanda madaraja kwa Mseleleko

    Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya mhe Samia Suruhu Hassan kwa kujali na kusikiliza kero mbalimbali za walimu.Lakini pia nikipongeze Chama Cha walimu Tanzania CWT kwa yale mliyoafikiana na serikali. Hoja yangu ni hii CWT imesema serikali imeridhia kuwapa madaraja ya Mseleleko...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mkuu wa Mkoa asema walimu wanaodai malipo kwa wanafunzi wachukuliwe hatua

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria walimu watakaobainika kudai malipo kwa wanafunzi akisema elimu ni bure. Amesema hayo wakati akifungua kikao cha Wadau wa elimu Mkoa wa Shinyanga, leo Alhamisi Machi 3, 2022 chenye lengo la kujadili maendeleo ya elimu...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa walimu katika shule za msingi hasa vijijini utakuja kutugharimu sana muda si mrefu

    Shule za vijijini ni kawaida kukuta darasa lina watoto 120 mwalimu ni mmoja na hapo hilo darasa imebidi ligawanywe kati kati nusu wanakuja asubuhi na nusu wanakuja mchana kwasababu vyumba vya madarasa havitoshi na walimu pia hakuna. Mapokeo ya watoto ni tofauti, kuna wale wepesi kuelewa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu 2022

    Waraka wa wazi kwa Waziri wa Tamisemi. Kwa kuwa wizara yako ndo inahusika kupanga majina ya walimu vituoni, moja kwa kwa moja sisi kama wadau wa elimu tunaomba mtoe miongozo kwa wahitimu watakaopewa vipaumbele ili kijana anayeishi kijijini asisumbuke kwenda mjini kuhangaikia application na...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania One dead, 13 students injured as bandits attack school buses in Elgeyo Marakwet

    The school bus that was attacked by bandits in Marakwet West (left). Some of the injured students admitted at Kapsowar hospital in Elgeyo Marakwet (right) A driver died and 13 students along with two teachers were injured on Thursday night after bandits attacked a convoy of school buses in...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaambia walimu kuwa kuna mambo mazuri yanakuja

    Serikali imeahidi neema kwa walimu huku ikiwataka waendelee kufanya kazi kwa moyo. Ahadi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 7, 2022 wakati aliposimama wilayani Butiama kwa ajili ya kusalimia wakazi wa wilaya hiyo. "Walimu hoyeee, walimu mpo eehh sasa naomba niwaambie...
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kero: Wakurugenzi wa Elimu Wilaya kujifanya wana shida zaidi na walimu wa Sayansi

    Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa. Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake. Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

    Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
  13. Jostamas

    JamiiForums Tanzania Nawasihi walimu wa Tanzania wasikae kimya kuhusu Chama cha Walimu Tanzania

    Nawasihi walimu wa Tanzania, wasikae kimya kuhusu CWT, sab kwa muonekano wa nje chama ni chao, ila kiundani chama sio chao, kwani wanachama ndio huamua kuhusu chama chao, ila walimu wa Tanzania hawaamui chochote kuhusu chama chao! Hata mapato na matumizi ya kila mwezi ya chama chao hawayajui...
  14. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kutokana na ongezeku kubwa la walimu walioko mtaani, napendependekeze udahili wa idadi ya walimu wanaojiunga kusomea ualimu upunguzwe.

    Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu. Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

    Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
  16. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baada ya kumaliza changamoto ya madarasa tutaajiri walimu 7000

    Hello unemployed teachers! Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau . Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Dodoma alipiga simu kwa waziri wa elimu aliyekuwa mgeni rasmi wa tamasha pale...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaotia mimba walimu nao waendelee na masomo?

    Kumekuwa na mkanganyiko kuhusu mimba mashuleni ambapo tafsiri na mitazamo huelemea wanafunzi wa kike wanaopewa mimba na watu (wakiwemo Walimu) huku wanafunzi wa kiume wanaotia mimba Walimu wao wa kike wakiachwa nje ya tafsiri na mitazamo hiyo. Zipo jamii katika nchi za Tanzania na Kenya ambapo...
  18. Display Name

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na Walimu hawa. Hawakutumia busara kwenye hili

    Habari wakuu, Siku chache zilizopita imesambaa video ya Wanafunzi ambao kwa muonekano wanaonekana ni wa Shule ya Msingi (Sifahamu jina la shule). Video hii inasikitisha mno kwa kuona ambacho wanafunzi wanakiri walichofanya. Ipo hivi, hawa wanafunzi wakiume wanakiri kuwa na na tabia ya...
  19. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania NECTA iache unyanyasaji kwa Walimu

    Moja kwa moja mada. Hivi karibuni tumeshuhudia unyanyasaji mkubwa and unprofessional kabisa kwa walimu kupitia NECTA. Kwanza kabisa NECTA na walimu ni idara mbili tofauti kabisa, NECTA husimamia natioanl assessment na walimu ni watekelezaji wa teaching and learning process,kwa Tanzania...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu kuelekezwa katika ajira za walimu na matundu ya vyoo

    Baada ya kujenga madarasa 15,000 na kuwezesha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza, Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaelekeza nguvu kwenye ajira za walimu na mtundu ya vyoo. Azma ni kuimarisha ubora wa elimu kwa manufaa ya wananchi na Taifa. #MamaYukoKazini
Back
Top Bottom