wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhusu demu, ana matatizo

    Habari za saa hizi wakuu kuna demu nimeotea bhana sasa simwelewi leo ni mara ya pili nampeleka gheto tunafanya romance fresh ikifika wakati nataka kuanza tafuna mbususu anazima anapandisha mashetani. Mara ya kwanza nikajua masihara leo mara ya pili ni hivo hivo akiwa kwenye hiyo situation...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu mwanamke huyu kwenye mzunguko wa hedhi, siku zake za hatari ni zipi?

    Hedhi anakaa siku 3 hadi 4, Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi. Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?, je mzunguko huu ni wa siku ngapi? Je, kwenye mzunguko huu siku zake za hatari ni zipi?
  3. JamiiForums Tanzania Wasanii Wanatumia Program Gani Kuweka Wimbo Unaimba Huku Kama CD Inazunguka na Equalizer Zinapanda na Kushuka Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka. Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Mimi kijana mwenye miaka 29 natafuta kazi yeyote kuhusu elimu mi degree holder, lakini njaa haijui Mambo ya degree. Nahitaji kazi yeyote iwe halali au haramu. Naweza fanya sales and marketing KUTOKANA na experience ya miaka 3 niliyowahi kufanya kazi Huko nyuma. Niko morogoro Nikisema haramu...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu Tv kutoonyesha picha kupitia AV1 na AV2

    HABARI WAKUU, Rejea kichwa cha habari hapo juu moja kwa moja kwenye moja nambili nikwamba tv yangu haichukui picha kupitia AV1 NA AV2 lakn ukichomeka kupitia mfumo huu wa (y cb cr) inaonesha lakn inakuwa haina rangi,, tatizo ni nini hapo wakuu?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kesi kama hii unatatua vipi wakuu?

    Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika. Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule...
  7. JamiiForums Tanzania Wahuni wenzangu wa JF ningependa tutambuane wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Natumai ndani ya JF tuna watu smart & peace kabisa, sasa ningependa tutambuane please. Kama wewe ni muhuni mwenzetu hebu dondosha signature hapa chini mkuu. Nawasilisha.
  8. JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Jinsi ya Ku-Activate Call Recorder Mode Kwenye Truecaller Premium Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza ku-activate call recorder kwenye app ya Truecaller Premium Wakuu...? Natanguliza shukran.
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu Nawezaje Kuikuza Hii Movie ionekane Screen nzima?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba mnielekeze jinsi gani naweza kuikuza hii movie ijae/ienee/ionekane kwenye screen nzima...? Naombeni msaada wenu wakuu. Shukran.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi, Hii TV ni Aina Gani Wakuu...?

  11. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la pikipiki kuchelewa kuwaka

    Pikipiki aina ya Dayun. Betri mpya plug mpya. Lakini inachelewa kuwaka sometime napiga kick ndio I wake, tatizo linaweza kusababishwa na Nini wakuu?
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri

    Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa. Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini...
  13. JamiiForums Tanzania Ipi ni 'Logical' kuwaita kwa pamoja Mawaziri Wakuu Wastaafu uwasikilize au uwatembelee tu Mmoja Mmoja 'Makwao' kwa Kuwashtukiza?

    Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu? Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu? Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...
  15. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa nchini na madhila wanayoyapata wakuu wa Shule

    Habarini wanajamvi!.. Tunafahamu kinachoendelea juu ya ujenzi wa madarasa kote nchini chini ya ufadhili wa IMF lakini kinachofanyika kimenisukuma kuandika haya. Mosi, wakuu wa shule wamejikuta katika wakati mgumu sana kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la wakaguzi na wafuatiliaji ambao kila...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Wakuu wa Shule ambao Shule zao zimefanya vibaya kitaifa wapewa vinyago vya sokwe

    Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu. Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana. Hii imekaaje kitaalamu?
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili kupungua?

    Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu. Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Majina ya Interview Kwenye Web ya Utumishi Yanakaa Sehemu Gani Wakuu...?

    Salaam kwenu wadau. Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...? NAWASILISHA.
  19. JamiiForums Tanzania Bado Sijapata kazi/kibarua wakuu

    Habari Za majukumu wakuu wa hili Jamvi. Mwanzo nilikuja kwenu kuomba kibarua/kazi kwajili ya kujikimu kimaisha, ila bado sijafanikisha kwenye Hilo. Tafadhalini, kwa mwenye connection au kazi anisaidie. 💥Nina Elimu ya chuo kikuu (BSc. Property and facilities management): Pia ni mjuzi kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Tuzungumze kidogo kuhusu Supreme Maestro Ndalla Kasheba

    Mwaka huu imetimia miaka 17 tangu tumpoteze gwiji wa muziki mnamo mwaka 2004 na kuzikwa makaburi ya kinondoni. Nataka tujadili uwezo na mchango wa Ndala Kasheba kwenye muziki wa Tanzania. Kwa kuanza nataka tuwekane sawa kuhusu baadhi ya kazi zake. Mfano wa Kwanza ni Wimbo wa kumuaga mama Maria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…