Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Salaam Wakuu,

Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura.

Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia.

Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama.

Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa mnaojijua kwamba hamna mnachokifanya hata usimamizi wa Ujenzi wa Madarasa ya Mkopo wa Covid-19 umewashinda kaeni Mkao wa kuondoka.

Kuna Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanashindwa hata kuwaambia Wananchi kazi nzuri anayoifanya rais Samia, kaeni Mkao wa kuondoka.

Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa mnaoshindwa kutatua Matatizo ya Wananchi kaeni Mkao wa Kuondoka.

Sura ninazotegemea kuziona kwenye Mkeka mpya ni Manzie Mangochie, Richard Kasesela, Mwanry, Ludovick Mwananzila, Fatuma Mwassa, Issa Machibya, Salome Kitomari, Mwantumu Mahiza, Parseko Kone, Magalula Magalula, Rajabu Rutengwe Dk Ibrahim Msengi, Asery Msangi, Elaston Mbwilo, Ali Rufunga na wengine wengi.
 
Naona Ali anaondoka sasa.
But...
Siwajui baadhi ya wakuu wa mkoa wa sasa, maana kila siku ni fukuza, ondoa, weka huyu.
 
download (17).jpeg
wajiandae kuukalia
 
Mwantumu mahiza????? Richard kasesela mzee wa tuliza mazaga😃😃😃😃😃 kweli ina wenyewe
 
Salaam Wakuu,

Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura.

Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia.

Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama.

Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa mnaojijua kwamba hamna mnachokifanya hata usimamizi wa Ujenzi wa Madara umewashinda kaeni Mkao wa kuondoka.

Kuna Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanashindwa hata kuwaambia kazi nzuri anayoifanya rais Samia, kaeni Mkao wa kuondoka.

Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa mnaoshindwa kutatua Matatizo ya Wananchi kaeni Mkao wa Kuondoka.

Sura ninazotegemea kuzion kwenye Mkeka mpya ni Manzie Mangochie, Richard Kasesela, Mwanry, Ludovick Mwananzila, Fatuma Mwassa, Issa Machibya, Salome Kitomari, Mwantumu Mahiza, Parseko Kone, Magalula Magalula, Rajabu Rutengwe Dk Ibrahim Msengi, Asery Msangi, Elaston Mbwilo, Ali Rufunga na wengine wengi.
we mzima kweli wewe unawataka mpka marehem, Mbwilo ni marehem
 
Chalamila hayupo!?
 
Kuchanika kwa mkeka sio mwisho wa kufuturu futari,nilibaki nalia siku Ile mlinzi wa legasi ya jiwe alivyopewa ulozi wa Malawi,nikalinganisha tukio lile na Mzee mmoja kule ludewa kwa wapangwa ukimkuta kilabuni usinunue pombe ukinunua pombe halafu unakunywa hulewi wewe, matokeo yake analewa yule Mzee mlozi,wewe unaishiwa Hela tu.
 
Salaam Wakuu,

Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura.

Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia.

Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama.

Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa mnaojijua kwamba hamna mnachokifanya hata usimamizi wa Ujenzi wa Madarasa ya Mkopo wa Covid-19 umewashinda kaeni Mkao wa kuondoka.

Kuna Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanashindwa hata kuwaambia Wananchi kazi nzuri anayoifanya rais Samia, kaeni Mkao wa kuondoka.

Wale Wakuu wa Wilaya na Mikoa mnaoshindwa kutatua Matatizo ya Wananchi kaeni Mkao wa Kuondoka.

Sura ninazotegemea kuziona kwenye Mkeka mpya ni Manzie Mangochie, Richard Kasesela, Mwanry, Ludovick Mwananzila, Fatuma Mwassa, Issa Machibya, Salome Kitomari, Mwantumu Mahiza, Parseko Kone, Magalula Magalula, Rajabu Rutengwe Dk Ibrahim Msengi, Asery Msangi, Elaston Mbwilo, Ali Rufunga na wengine wengi.
Nasubiri kuona jina la Bujibuji Simba Nyanaume
 
Back
Top Bottom