wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu tuwe makini sana na vitu tunavyoandika humu

    Hapa google wame suggest maoni binafsi ya bwashehe, pia wame suggest kichwa cha habari cha mada niliyoiandika professa Fikiria kwamba ukiandika ujinga humu Jukwaani, je baadae mtoto akienda google ku search au mtu mzima anaeamini google kwa 100% akienda akakutana na ujinga fulani ulioandika...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba Tupeane uzoefu ulifanyaje, ulijinasuaje, ulimchomoka vipi au ulishinda vipi kesi Polisi/Mahakamani?

    Kwema Wakuu. Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii changamoto pesa zilikuwa zinanitoka tu lakini hakuna matumaini. Kuanzia polisi mpaka mahakamani na...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yamebana wakuu, natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari wakuu, Naomba msaada wa connection ya kazi yoyote halali, hasa kwenye viwanda, maghala, site za miradi au sehemu yoyote yenye uhitaji wa wafanyakazi. Nina Degree ya Finance lakini imekuwa ngumu kupata nafasi ya kazi ya fani yangu, hivyo kwa sasa niko tayari kufanya kazi yoyote ya halali...
  4. JamiiForums Tanzania Tuweni tu wawazi wakuu, hawa wanaojiita maboss ladies hapa wengi hawajifikia hapo jasho na damu bali ugwadu na utamu

    Haiwezekani mtu avuke step za matambo kiasi hicho leo amepangishiwa na bwana magomeni baada ya miaka mitatu anawauzia viwalo toka dubai na ana range rover yenye jina lake. Kitu nimegundua mdada akishaziliwa ngozi nyororo, makebo makubwa, umbo nane, aposti picha za kutega mitandaoni na awe na...
  5. JamiiForums Tanzania Embu wakuu tieni neno hapa

    Gentlemens woz-up? Ipo hivi kuna mke wa mtu tulikutana tumezoea na kuanza mahusiano ya kimapenzi japo hatukuwai kutana kimwili hata siku moja . Kwa maana anadai mme wake yupo nae anamchunga sana hivyo kutoka inakuwa kipengele kwake . Sasa mimi nimeona isiwe case tuachane tu make nitakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Natakiwa kufika Dar kesho jioni, nipo Simiyu Bariadi mda huu.Kama Kuna dereva yeyote anapita njia hii naombeni msaada wakuu nina 40k tu mfukoni

    Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏 Update;Nilifanikiwa na maisha yanaenda fresh tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

    Hodi wana jamvi, Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu Nina shida ya buku

  9. JamiiForums Tanzania Wakuu, nazeeka vibaya

    Kutokana na uzee wangu, watoto wangu wote walishaondoka nyumbani na wako kwenye miji yao wakijitegemea. Wengine wameoa na wengine wameolewa. Changamoto iliyopo kwa hawa watoto, kwa sasa hawanijali kabisa ata kuthamini ule mchango wangu uliowafikisha hapo walipo, pamoja na kuwasomesha na...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel ahutubia makamanda na wakuu wa vikosi vya IDF!!

    Mkuu wa Wafanyakazi, Eyal Zamir, alishiriki leo katika mkutano wa kamandi ya juu ya IDF, ambapo alihutubia mkutano huo. Maelezo Muhimu aliyoyatoa IDF ni jeshi la Nchi ya Israeli, jeshi lililojengwa juu ya maadili na nidhamu ya hali ya juu. Hata baada ya zaidi ya miaka miwili na nusu ya mapigano...
  11. JamiiForums Tanzania Kila nikienda kanisani naambiwa niwaombee viongozi wakuu wa nchi je nifenyeje kuepuka hii dhambi?

    Kwakweli kuwa mnafiki mi siitaji kamwe Lakini nifenyeje jaman Mimi siitaji kuwa mnafiki Mimi siwezi waombea watu walio jiweka madarakani kwa kuuwa watu 518 please please padri padri Baba yangu Paroko wa ushirika wa karanga mm.ukiwataja tuwaombee Mimi ntakuwa nawatukana Sasa tatizo ni kutukania...
  12. JamiiForums Tanzania Inasemekana kuna showroom ya magari MIKOCHENI imeungua moto je ni kweli?

    Nishazeeka nasikia tu stori sijui kitu wakuu, ninesikia Kuna mtu katajwa nikashtuka, inasemekana ndo mmiliki ila matatizo haya, sijafurahishwa, sababu naijua biashara inavo vuruga unapo pata hasara kama hizi
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu kwema, napenda kujuwa benki bora upande wa online transaction

    Wakuu kwema, napenda kujuwa bank bora upande wa online transaction
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa Ma-RC kuweka kambi Dodoma kufuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu kwa zaidi ya Mwezi sasa?

    Nipo hapa Dodoma, Wakuu takribani wote wa Mikoa tupo nao mitaani tunakutana Bungeni tu, nilipowauliza wanafanya nini wametujulisha kuwa walikuja hapa zaidi ya wiki tatu zilizopita kwa ajili ya kusikiliza hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu. Miaka ya nyuma ilikuwa kawaida wakati wa Hotuba ya Waziri...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

    Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani. Kule zinakotengenezwa Kuna madini au Kuna mabadiliko fulani yamefanyika? Pia soma: Sarafu bandia za 200 ni...
  16. JamiiForums Tanzania Responded Kwanini TRA wanaomba nyaraka ambazo tayari ulishazitoa BRELA wakati unafungua kampuni?

    Unaenda Brela unafungua kampuni kwa kupeleka documents zote, unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela. Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna Kampuni mpya imesajiliwa na TRA wanakupa TIN namba automatic. Sasa najiuliza TRA hawana imani na Brela...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu simu yangu haisomi line ,na wi-fe,hotspot, Bluetooth haziwaki

    Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka suggest ni flash nimekuja kwenu wajuzi njia mbadala kabla ya iyo kuflash Note Simu haisomi kabisa ina...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje?

    Nafanya kazi na wachina Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina. Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full
  19. JamiiForums Tanzania Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  20. A

    JamiiForums Tanzania H-Pylori ni hatari sana. Kichwa kuuma kizunguzungu kama nataka kuanguka

    Nimetimiza zile siku za kusubiria ili nikapime tena wakuu mdudu bado yupo ila hakuna kuumwa tumbo ni kichwa kuuma kizunguzungu kama nataka kuanguka, mwili kuchoka, kuhisi kama kuna kitu hapa kifuani upande wa kushoto aiseee huyu mdada atari mno..nimebadilishiwa dozi tena full madawa😭😭
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…