wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

    Tiririka & serereka.
  2. ERTUGRUL BEY

    Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

    Habari Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare...
  3. K

    Mke wa mtu anapokuambia amekumiss anakuwa na maana gani haswa wakuu?

    Za saizi wajumbe? Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani. Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana " Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
  4. Leejay49

    Mrejesho: Ile ndoa ni Kesho wakuu...

    Hi guys.. Hope mko poa na Mambo yenu yanaenda vizuri, Kwa ambao mko na changamoto Allah awafanyie wepesi insha'Allah kila kitu kitakua sawa Nimeleta Mrejesho wa Thread 'Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo' Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo Juzi watu wamesherehekea Send...
  5. Stability

    Wakuu najikuta kucheka cheka tu, msaada tafadhari

    😂😂😂😂
  6. N

    Wakuu nisaidieni kazi au kutafuta kazi

    Mungu mwema sikuzote
  7. Lord Denning

    Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  8. immortanity

    Mwisho wa namba za mtihani kidato cha nne na sita kwenye kuomba chuo ni miaka mingapi?

    Muda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake? Mfano nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na cha sita 2024 naweza omba chuo mwaka 2030 kwa mfano . Wakuu naombeni ufafanuzi hapo...
  9. Lighton

    Wakuu nimefeli Kuacha sex

    Wakuu turee kwenye kichwa tajwa hapo juu. Niliwahi kuandika uzi humu jukwaani kuhusu kuwa na program ya kudhibiti genye, Kwa kukaa mda mrefu bila kuzagamua. Lakini nasikitika kusema nimeshindwa! Nalirudisha hili Kwa wanabodi, ninachoomba kutoka kwenu ni maombi, hili Kwa Nguvu za kibinadamu...
  10. The Supreme Conqueror

    Wakuu naombeni msaada wenu hapa nipo salama au nimeshanasa?

    Nimepata demu lakini simuelewi kabisa 1.hataki hata ndugu zangu wamjue 2.huwa anafanya mawasiliano ya siri kwa kutumia code na lugha tofauti za kimataifa(nitaweka ushahidi) 3.ana pesa sana 4.tulikutana na kuanza uhusiano tulipokuwa kazi maalum. 5.hataki kunipa uhuru wa muda yaani mda wote...
  11. Top Gun

    Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  12. Stability

    Wakuu, namna gani naweza kurecover namba nilizofuta katika call log yangu?

    Karibuni. Simu ni android, pixel 5
  13. Jackpiano

    WAKUU HIZI PIKIPIKI AINA BOXER ZA Bm 125 HD150 JE

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  14. Jackpiano

    Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  15. tonicimmobility

    Wakuu huku watu wanauza radi!

    Wakuu huku watu wanauza radi
  16. Stability

    Wakuu nifanye hatua zipi kufikisha magoli matano?

    Au najidanganya tu wakuu tu wakuu.
  17. Scared

    Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  18. Kimbesa11

    Proved: kumbe ni AI bwana si polepole, chadema kama mnaweza kuamini hata Midori basi viongozi wakuu wa chadema wajitathimini.

    Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya. Inakuwaje chadema inakuwa na...
  19. kadiri kasimba

    Wakuu huyu nikimuwahi atapona kweli?

  20. Mtu wa Majira na Nyakati

    Mnaona wakuu, tukaanza kuwa tunamtumia Polepole hela ya kumsapoti kama ambavyo tumekuwa tukimsapoti Lissu n.k ili kumtia Moyo !?

    Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k. Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
Back
Top Bottom