wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupima ubora wa bidhaa kabla ya kuagiza mtandaoni?

    Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
  2. MURUSI

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ujumbe huu ni wa onyo la kufungia akaunti kutokea Kampuni ya Meta

    Nimetumiwa hii text kwenye whatsapp kwamba ibatoka meta na account itafungwa ndani ya masaa 24 yajayo kwamba nakiuka sheria za mata.
  3. vnn

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Kuuliza Hapa NACTE Wana Maana gani?

    Naombeni kuuliza wataalamu je hapa Nacte wameshapokea matokeo ya mwanafunzi au bado au je hii pending inamaana gani?
  4. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 1 nikajitafute wapi wakuu?

    Kwasasa nipo Morogoro. Nina milioni moja napanga nikizalishe niingize chochote kitu, maisha yasonge. Nawaza kwenda Dar nikauze mkaa.
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  6. DLS

    JamiiForums Tanzania Wakuu ninashida na hii Form

    Habari za jioni wakuu, kwa anayejua hii form naweza kupata wapi pia kama kuna uwezekano mtu akajijazia chap kama inavyoonesha hapo nitashukuru service fee ipoo. Natanguliza shukrani.
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Fani gani nikisoma ni rahisi kufanyiwa Recategorization?

    Mimi ni mwalimu, naombeni msaada wa fani ambazo endapo nikasomea inakuwa rahisi kufanyiwa Recategorization kwa upande wa halmashauri. Mbarikiwe. #kuna hali imenishinda kuendelea kuendelea kushika chaki
  9. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

    Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
  10. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Hivi njegere na mbaazi zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    kichwa Cha habari
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni tiba ya makelele masikioni.

    Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa. Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
  13. mbuyake

    JamiiForums Tanzania Kwa jambo hili nipo sawa?

    Kuna jamaa tulifanya biashara ya kumuzia tovuti ya biashara. Alitanguliza nusu ya malipo, lakini alipoenda kumalizia, akaghairi na kuhitaji hela zake. Kiukweli, niliuza tovuti hiyo kwa sababu ya shida, nikamwambia sina hela hadi nitafute, na nitamrudishia bila ya kukata gharama ya usumbufu...
  14. Mbuzi sharobaro

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikwambia anapenda kuangalia Ponographia anamanisha nini?

    Vipi wakuu Kuna huyo sister ni jirani yetu Sasa katika kupiga story amegusia hilo swala kuwa yeye anapenda sana kuangalia pornography. Hapa najiuliza kwasababu Gani aniambie Mimi Kuna mawazo positive yananijia kuwa anataka rungu nini
  15. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mama wa jirani yangu ameniomba chumvi na sukari saa kumi usiku

    Wakuu habari. Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka. Naomba kujua Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo. Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soft copy novena ya Bikira Maria mfungua mafundo

    Novena ya Bikira Maria mfungua mafundo mwenye soft copy naomba anisaidie tafadhali
  17. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

    Signed out forever
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wakuu

    Wakuu naombeni msaada wenu kuna kiwanja niliachiwa na baba yangu miaka ya nyuma kipo Tanga wilaya ya Lushoto nahitaji kuuza hilo eneo sasa kwa bahatimbaya hatimiliki Sina sasa nawezaje kuuza naombeni ushauri
  19. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Wakuu naumwa korodani ile mbaya ila kila wakipima hamna kitu mara ultra sound hamna ? Lakini nina uhakika kitu kipo ila wao ndo hawaoni

    Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain. Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan. lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wataalamu wa coding watakaonisaidia kutengeneza application yangu na website

    Naweza kupata team ya developers?
Back
Top Bottom