Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,673
48,456
Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa.......

Iran pulling senior officers out of Syria

As part of those preparations, Iran has also begun evacuating Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) personnel from sites in Syria, the Wall Street Journal reported on Wednesday citing Syrian and Iranian officials and advisers.

Hezbollah has also reduced the presence of senior officers in Syria as well, while also increasing the number of personnel along the Syrian-Israeli border in order to collect intelligence, Syrian security officials told the Wall Street Journal.
 
Kutorosha toka Syria! Sasa wanawatorosha au wanarudi nyumbani kuandaa mpango kazi wa kudeal na mzayuni?
Ukiyafuata ku-deal na Yahudi Uta-deal na Mungu wake!
👇👇
Yeremia.31:37-40
37 Bwana asema hivi, Kama mbingu zikiweza kupimwa, na misingi ya dunia ikiweza kugunduliwa huko chini, ndipo wazao wa Israeli pia nitawatupilia mbali, kwa ajili ya hayo yote waliyoyatenda, asema Bwana.

49:23
[23]Na wafalme watakuwa baba zako za kulea, na malkia zao mama zako za kulea; watainama mbele yako kifudifudi, na kuramba mavumbi ya miguu yako; nawe utajua ya kuwa mimi ni BWANA, tena waningojeao hawatatahayarika.
 
Wanakimbizana, hofu imewatawala, na wanaweza kukimbizana kama watoto halafu Israel wasishambulie, siku wakitulia ndio watapigwa washangae imekuwaje.

Siamini kama wanaweza kuwaficha hao makamanda wao Israel wasijue walipo, kama waliwa detect wale wa mwanzo wakawaua, hao wengine wataenda kuwaficha wapi?
 
Kwa nini wasijue kwanza walipo mateka wao ?
 
Wametajwa wazawa wa Israel sio wayahudi mzee
 
Wanakimbizana, hofu imewatawala, na wanaweza kukimbizana kama watoto halafu Israel wasishambulie, siku wakitulia ndio watapigwa washangae imekuwaje.

Siamini kama wanaweza kuwaficha hao makamanda wao Israel wasijue walipo, kama waliwa detect wale wa mwanzo wakawaua, hao wengine wataenda kuwaficha wapi?
Ameshindwa kupata watu wake waliofichwa katika eneo dogo sawa na wilaya ya ukelewe ataweza kuwaona watu watakaofichwa eneo kubwa kuliko nchi ya tanzania. Yaani mtu afichwe ilan wamuone ila washindwe kuona mateka waliofichwa gaza?
 
Kwa nini wasijue kwanza walipo mateka wao ?
20231229_225406.jpg
 
Wanakimbizana, hofu imewatawala, na wanaweza kukimbizana kama watoto halafu Israel wasishambulie, siku wakitulia ndio watapigwa washangae imekuwaje.

Siamini kama wanaweza kuwaficha hao makamanda wao Israel wasijue walipo, kama waliwa detect wale wa mwanzo wakawaua, hao wengine wataenda kuwaficha wapi?
Magaidi bwana! Wao ni kurusha kombora ili mradi liue au liharibu chochote ndani ya Israel. Hamas na Iran wote sawa! Israel analenga askari na miundombinu ya vita tu!
 
Back
Top Bottom