Wakuu Kwanini ufanye mauaji/kujiua kisa uchi. WHY?

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,378
Reaction score
3,784
Ni huzuni Kuona Vijana wengi wanaua/wanajitoa uhai na wengine kuishia kwenda jera au kupoteza ndoto zao kisa pussy.

Vijana inatakuwa mtambue kuwa hiyo pussy ya mkeo/mpenzi wako is not yours it's just your turn hata Kama akikusaliti mpaka kukuzalia mtoto ambaye sio wako na ukajua usiue au kujiua kwanini ukatishe ndoto zako kisa pussy?

Tujifunze Kwenye kisa kifupi Cha mfalme Ahasuero na washauri wake pale walipo ona Vashti malkia ameleta kiburi/jeuri hawakumuua Bali walimpiga chini kabisa nadharau zake then wakatafuta mtoto mbichi kabisa (Esta) akawa Malkia Yani mke wa Mfalme, Sasa kwanini wewe kijana wakileo unaua au kujiua kisa pussy?

Hata Kama unahudumia Kwa asilia zote akikusaliti usiue achananae tafuta mtoto mzuri mwingine kapime jiridhishe kiafya mpo salama enjoy nae maisha kuua au kujiua kisa pussy sio sawa kabisa. Ukiua au kujiua kisa pussy inamaana maisha yako hayana thamani zaidi ya pussy, ndoto zako hazina thamani zaidi ya pussy, akili yako imezidiwa na pussy kwanini ujiue au kuua Kwa sababu mke/mpenzi wako amegawa pussy yake kwa mtu aliyempenda yeye na kumpa pussy yake yani unaharibu maisha yako wakati kuna mabinti wingine mwenye pussy mbichimbichi hazijachoka bado wapo mitaani na Dunia kwote amka Mkuu usiharibu maisha yako kisa Pussy.
 
Pussy inazidi thamani ya uhai wa vijana😂😂
 
Screenshot_20250430-095311_YouTube.jpg
 
Hawawaelewi wachungaji wataelewa jamii forum! Nilishakataa huo ujinga at all, hakuna papuchi itazidi uhai wangu au wa mtu mwingine. Tumezinguana pita kule maisha bado yapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom