Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,613
- 6,769
Mambo vipi wakuu...
Niko na hii platform ambayo inakwenda kwa jina la ulumbi.com ni marketplace ambayo inamuunganisha mwandishi na msomaji.
Kwa maana iko na milango miwili ya kwamba unaweza kujisajiri kama user au writer na ukijisajiri kama writer utapata dashboard ya writer na huko ndio utakua na uwezo wa kuandika contents zako.
Mfumo unatumia coins kwa contents zote ambazo zinahitaji kusomwa kwa kulipia, kwahiyo mwandishi kwenye dashboard yake atachagua free au require coin na akichagua require coin ataona input inayomuhitaji aingize idadi ya coins ambazo ndio amelenga kuuza hizo hiyo content yake.
Na inapomfikia msomaji inakua locked na mtu akihitaji kusoma anatakiwa anunue idadi ya hizo coins ili aweze kuunlock aendelee kusoma.
Kwa zile contents za free zinasomwa moja kwa moja.
Contents zinapostiwa kwa kuzingatia categories kwahiyo mtu atachagua content yake inaangukia kwenye category gani.
Ukiachana na hizo features zipo nyingine nyingi, na Leo ipo hewani na nipo hapa kuwaomba mnisaidie ushauri na maoni ya kina kuhusu hii platform.
Nitapokea maoni yote na nitayafanyia kazi ipasavyo.
Natanguliza shukrani.