wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brandon Ingram

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa practical interview serikalini

    Wakuu mwenye uzoefu wa practical interview Serikalini anipe mwanga huwa inakuaje natanguliza shukrani
  2. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

    Habari za muda hope mko poa Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
  3. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini?

    Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania wakuu karibuni DEAL IT SOLUTIONS

    Wakuu karibuni tuwasaidie huduma za IT SOLUTIONS HUDUMA ZETU NI KAMA ZIFUATATAZO: 1.COMPUTER MAINTENANCE #Software #Hardware 2.COMPUTER ACCESSORIES # SSD 512 GB, 1TB, 2 TB... #RAM 8GB, 16 GB, 32GB... #HDD 500GB, 1TB, 2TB BATTERY HP, DELL , MAC BOOK PRO & AIR CLEAN CONDITION 3. CIMPUTER...
  5. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Hii kitaalam inaitwaje wakuu?

  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

    Tiririka & serereka.
  7. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

    Habari Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anapokuambia amekumiss anakuwa na maana gani haswa wakuu?

    Za saizi wajumbe? Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani. Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana " Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
  9. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ile ndoa ni Kesho wakuu...

    Hi guys.. Hope mko poa na Mambo yenu yanaenda vizuri, Kwa ambao mko na changamoto Allah awafanyie wepesi insha'Allah kila kitu kitakua sawa Nimeleta Mrejesho wa Thread 'Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo' Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo Juzi watu wamesherehekea Send...
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu najikuta kucheka cheka tu, msaada tafadhari

    😂😂😂😂
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni kazi au kutafuta kazi

    Mungu mwema sikuzote
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  13. immortanity

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa namba za mtihani kidato cha nne na sita kwenye kuomba chuo ni miaka mingapi?

    Muda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake? Mfano nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na cha sita 2024 naweza omba chuo mwaka 2030 kwa mfano . Wakuu naombeni ufafanuzi hapo...
  14. Lighton

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimefeli Kuacha sex

    Wakuu turee kwenye kichwa tajwa hapo juu. Niliwahi kuandika uzi humu jukwaani kuhusu kuwa na program ya kudhibiti genye, Kwa kukaa mda mrefu bila kuzagamua. Lakini nasikitika kusema nimeshindwa! Nalirudisha hili Kwa wanabodi, ninachoomba kutoka kwenu ni maombi, hili Kwa Nguvu za kibinadamu...
  15. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wenu hapa nipo salama au nimeshanasa?

    Nimepata demu lakini simuelewi kabisa 1.hataki hata ndugu zangu wamjue 2.huwa anafanya mawasiliano ya siri kwa kutumia code na lugha tofauti za kimataifa(nitaweka ushahidi) 3.ana pesa sana 4.tulikutana na kuanza uhusiano tulipokuwa kazi maalum. 5.hataki kunipa uhuru wa muda yaani mda wote...
  16. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu, namna gani naweza kurecover namba nilizofuta katika call log yangu?

    Karibuni. Simu ni android, pixel 5
  18. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi pikipiki aina boxer za bm 125 hd 150

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  19. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wakuu huku watu wanauza radi!

    Wakuu huku watu wanauza radi
Back
Top Bottom