wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu njooni UN tupo wengi sana

    Tupo wengi sana ofisi za UN Leo lazima kiwake yaani litakufa jituuu
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

    familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ishu za mahusiano me nimeachana nazo rasmi, ntasubiri muda ufike nioe

    Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena. Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Naombeni msaada Kuna margari ya kutoka mbezi mwisho mpaka mbagara Moja Kwa moja na nauli yake Bei Gani wakuu
  6. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

    Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
  7. jabirimnaguzi

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Vyombo: Mnasubiri ya Zimbabwe na sisi Tanzania yatufike?

    Kilio changu na kupeleka kwa wakuu wa vyombo tunashindwa Nini? Mbona Zimbabwe waliweza kumuweka pembeni Mzee Mugabe. Tanzania ni kubwa sana kuliko kumlinda mtu Mmoja tukafikishana kununua mkate kwa Shilingi laki Moja tuanze kujikuta tunatumia Shilingi ya Kenya kwenye uchumi wetu ni vyema tu...
  9. Mercenary Army

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani? Au ni mawe tu ya kawaida maana yametoka Mererani

    Kwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu
  10. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso? King La Jr
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    Habari wakuu Hii ramani naweza kutumia bati ngapi na tofali ngapi? Kwa ujumla naweza kutumia tsh ngapi maana Nina million 3 hapa kibindoni
  12. Hornbil

    JamiiForums Tanzania Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

    Mimi ni winga wa electronics za aina zote. AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer. Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu. Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu. Niungeni mkono wakuu🙏 Nipo kariakoo 📍 For quick response Whatsapp 0617129135
  13. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imekosa wafikiriaji wakuu!

    Unataka watu wasigome ikiwa bado mnafanya siasa zakishamba!, mahitaji ya watu yapo serious we ndo kwanza unaleta wabunge wakununua gari la harusi!.. Hivi Tanzania yasasa ndo kusema wafikiriaji mmeshindwa kabisa kabisa..? Kama hivi ndivyo mnavyoendesha basi hili lazima liwalalie tu!, mnashindwa...
  14. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

    Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji. Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Genz wanazidi kutoa uchambuzi wa maadui wa Taifa tutoe maoni kama wako sahihi wakuu

  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

    Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) Jijini Kinshasa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
  19. Guru Dev

    JamiiForums Tanzania Wazalendo na wakuu mlioko juu kabisa

    Nchi ikiwa imegawanyika..na raia wengi hawapendi mambo yanavyokwenda..na.wanakandamizwa..je? Haiwezi kua mwanya mzuri kwa maadui wa nje kupitia Humohumo kupitia kwa wananchi kuja kuingia nchi yetu kiulainiii kabisa huku wakipata sapoti ya wananchi?? Wa Tanzania hatuna mambo mengi..wala...
  20. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

    Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
Back
Top Bottom