wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  2. raizen 50

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye ujuzi na utumishi. Nimepata kazi kwa kigezo cha diploma lakini nina degree

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au, Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
  3. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

    Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania? asanteni sana.
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Wakuu , naomba ulizia ni basi Gani linatoka mwanza hadi moshi stendi pasipo kuishia njiani Arusha ?

    Kuna mzigo unasafirishwa kutokea mwanza hadi Moshi mjini stendi Msaada wa. Hili !?
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha utekaji hamko salama kama mnavyofikili, wakuu wakiamulia kufyekelea mbali wiki mbili nyingi sana

    BWANA NA MWOKOZI WETU AWE JUU YENU KILA MMOJA KWA AMANI YAKE WANA JF MLIPO POPOTE Naenda kwenye mada . Nyie watekaji na wauwaji wa Tanzania wenzenu ,chukua ujumbe huu tena kwa umakini mkubwa. Najua mnalipwa, kwa kazi hii haramu, kama wahudumu wa afya huweza sikitika nyoyoni mwao pale...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna member humu kawa adimu! Yu wapi?

    Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na mikwala yake, wajanja wamepindua meza! mambo ya elimu ya faraqi
  8. Mind stone

    JamiiForums Tanzania Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Natafuta kazi na qualifications zangu zipo hapo kwenye picha ya Tangazo.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hizi nyumba zilizpostiwa na TCRA zipo wapi?

    Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa Lakini picha za nyumba walizotumia mbona kama ni nyumba za mambele wakuu. Ina maana wameshindwa kutafuta nyumba za wananchi wao na kuzitumia kama sample mpaka wachukue picha...
  11. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  12. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

    Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa. Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu njooni UN tupo wengi sana

    Tupo wengi sana ofisi za UN Leo lazima kiwake yaani litakufa jituuu
  14. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

    familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ishu za mahusiano me nimeachana nazo rasmi, ntasubiri muda ufike nioe

    Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena. Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Naombeni msaada Kuna margari ya kutoka mbezi mwisho mpaka mbagara Moja Kwa moja na nauli yake Bei Gani wakuu
  18. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

    Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
  19. jabirimnaguzi

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Vyombo: Mnasubiri ya Zimbabwe na sisi Tanzania yatufike?

    Kilio changu na kupeleka kwa wakuu wa vyombo tunashindwa Nini? Mbona Zimbabwe waliweza kumuweka pembeni Mzee Mugabe. Tanzania ni kubwa sana kuliko kumlinda mtu Mmoja tukafikishana kununua mkate kwa Shilingi laki Moja tuanze kujikuta tunatumia Shilingi ya Kenya kwenye uchumi wetu ni vyema tu...
Back
Top Bottom