NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,939
Ni imani yangu mnaendelea vyema sana.
Kumekuwa na gepu kubwa sana siku hiz kwenye engagement kati ya mada za matumizi ya maarifa ya juu au fikirishi na mada za kuchekesha au kuburudisha. Hili jambo limeenda sambmba kabis na kupungukiwa hamu kwa wanajf wakongwe au wahitaji wa kujiunza au misaada mbalimbali kutumia JF.
By the way!, leo nataka nitoe wazo fulani la biashara. Nina idea ambyo sio mpya lakini ni market oriented na client centered. Ninafaham sana kama JF watu wengi wana exposure na biashara, uwekezaji pia na maisha ya dunia ya kwanza.
Kuna hudum flani hiv nimeona zinatolewa Airport (luggage pick up) na baadhi ya kampun zimeenda extra miles mpka check in every where. Kuna model flani hiv inatumika pale inaweza kutumika katika scale flani hiv hasa katika masoko makubwa ikiwemo kariakoo na posta. Hii model ni nzuri na smart ni model flani hiv imekuwa locked na security, follow up na tracking.
Model hii inaweza kufaa
1. Kufanya luggage delivery kwa dispatch na kufanya follow up ya customary satisfaction.
2. Model knaweza kwenda extra miles na kufanya kariakoo market tour au posta city tour
3. Model iko dynamic, inaweza kuongezewa udambwi flani hivi professional . Waliowahi kusafiri kwa njia za anga wanajua namna gani VIP au elite clas wanavyopokelewa
4. Nina mengi sana nkmeyaona hasa kwenye sekta ya utalii yanaweza kuwa ( polished) na kutumika kwenye duka moja kubwa la e commerce Kwa Tanzania hii hii
Who is interested?
Kalaga baho