wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  2. V

    JamiiForums Tanzania DC Kiteto anafumbia macho suala la wafugaji kulisha mashamba ya wakulima wilayani

    Ugomvi wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto unachangiwa kwa kiasi kikubwa na Viongozi wa Wilaya kuwasadia jamii ya wafugaji kulisha Mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima. Na wanapata nguvu kubwa kwa DC Wa Kiteto ameweka wazee upande anauoupendelea kwenye sakata hili. Mwaka huu wakulima wa...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Bashe hakina dira yoyote, ni porojo tu. Sasa anataka wakulima waisajili mikorosho ili iweje?

    Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini? Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima? Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Vibali vitumike kwa wakulima wa mbaazi

    Wananchi na wakulima wa zao la mbaazi wanaomba kauli ya Mheshimiwa Rais ya kushauri wakulima wa korosho wasafirishe korosho zao kwa vibali. Pia itumike kwa wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto kuruhusiwa kuuza mbaazi zao kwenye masoko yenye bei kubwa, kuliko kulazimishwa na watu wachache kuuza...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
  6. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Makamu Waziri Mkuu - kuwa upande wa WAKULIMA anza na haya:

    SALAAM! # Wakulima wa tumbaku wa hapa Biharamulo (Kalenge) kutolipwa fedha za mauzo ya tumbaku musimu huu - ni takriban 100,000USD wanaidai KAMPUNI iitwayo Mkwawa Leave Tobacco Ltd; # Rushwa - usafiri na usafirishaji hususan magari yafanyayo safari za Nyakanazi - Kakonko ambapo kila dereva wa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wakulima kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao na kuuza ili kujipatia kipato

    Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja na kutatua changamoto za masoko, kuhamasisha matumizi ya taknolojia, pamoja na kuwapatia mitaji vijana, ili kuhakikisha nchi inakuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula...
  8. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inawasaidia wakulima au inawaangamiza?

    Wakulima tunalima kwa tabu, unapofika wakati wa kuuza ni wakati wetu wa kupata faraja. Serikali mkoani Ruvuma ilitangaza kununuwa mahindi sh 800 kwa kg na kutaka wenye mahindi wapeleke. Tumepeleka mahindi wengine NFRA na wengine CPB (Bodi ya Nafaka)na hawa CPB wakatuahidi ndani ya siku 5 za...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wakulima waimwagia sifa Benki ya CRDB mbele ya Rais Samia

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Kilimo Biashara wa Benki ya CRDB, Ndugu Maregesi Shaaban alipotembelea Banda la Benki ya CRDB katika kilele cha maadhimisho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa Jijini Mbeya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha malighafi ya viwanda vya mafuta ya kupikia kuongeza uzalishaji kutokana na uwepo wa viwanda vingi vya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima

    Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amesema ni muhimu kuwa na Viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili kusaidia kuchakata na kuongeza thamani mazao yanayolimwa nchini ikiwemo matunda kwa mahitaji ya soko la...
  14. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Je, serikali inashindwa kutoa mikopo ya trekta kwa wakulima wajasiriamali?

    Wanajukwaa heri nyingi ziwafikie. Dhumuni la kuja kwenu leo, ni kujaribu kushare nanyi kuhusu inshu ya serikali yetu kushindwa kutoa mikopo ya tractor kwa wajasilia mali wakulima wenye kumiliki mashamba kwanzia heka 10 na kuendelea. Natumai hili swala ni zuri sana kama wenye kulifanya hili...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Maafisa wa Serikali watuhumiwa kutumia gari la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupora Wakulima kwa silaha za moto

    Gari la Serikali la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lenye namba za usajili DFP. 9182 likitumiwa na Afisa Biashara Mkoa wa Simiyu, Mustafa Kimomwe (ambaye pia ni Afisa Ushirika) na maafisa wenzake, wamefanya unyang’anyi wa kutumia silaha za moto (bunduki) katika Ofisi za Vyama cha Kilimo na...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe Afanya Mkutano na Wakulima Kata ya Chitete Jimbo la Momba

    CONDESTER SICHALWE AKUTANA NA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MOMBA KILICHOFANYIKA CHITETE Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 24 Julai, 2023 amefanya mkutano na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Momba kwa lengo la...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sichalwe Afanya Mkutano na Wakulima Kijiji cha Nkala, Wilaya ya Momba

    MHE. CONDESTER SICHALWE AFANYA MKUTANO NA WAKULIMA WA KIJIJI CHA NKALA, MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe na Afisa Kilimo wamekutana na wakulima wa Kijiji cha Nkala na kuwasisitiza kuhudhuria mafunzo ya Kilimo yanayotolewa na Maafisa Kilimo...
  18. Clark cian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo cha Azolla kiwe chaguzi la kwanza kwa wakulima na wafugaji nchini

    UFUNGUZI kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula inavyokua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi ,sasa basi kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa wakilazimika kutumia gharama nyingi katika upatikanaji wa vyakula hivyo kwa ajili ya mifugo yao;hivyo...
  19. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wakulima wa mpunga bonde la Kilombero wanufaika na bei ya mchele

    Wakulima wa mpunga bonde la kilombero wanufaika na kupanda kwa Bei ya mchele ambapo kwa Sasa Bei ya mchele imefika elfu 1800 Hadi elfu 2000 kwa kilo Hata hivyo wakulima wamesema kuwa wanafurahi Sana kupanda kwa Bei ya mchele kwani Bei ya Sasa inautofauti na Bei ya mwanzo kwani mwanzo...
  20. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wapinzani uchwara sana, mpaka leo wameshindwa kuwateka wakulima

    CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka. Asilimia 70 ya watz wanategmea kulima, lakini sera na harakati za CDM zinawagusa kidogo sana. Watu...
Back
Top Bottom