Voicefromvoiceless
Member
- Sep 14, 2023
- 82
- 66
Wananchi na wakulima wa zao la mbaazi wanaomba kauli ya Mheshimiwa Rais ya kushauri wakulima wa korosho wasafirishe korosho zao kwa vibali. Pia itumike kwa wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto kuruhusiwa kuuza mbaazi zao kwenye masoko yenye bei kubwa, kuliko kulazimishwa na watu wachache kuuza kwenye mnada wenye bei ndogo.
Na tunapokwenda tutaonyesha na kufuatilia nani yupo nyuma ya huu mnada, nani anafadika kwa bei ya Tsh. 2130/ bei ya mnada wa jana.
Tunawakumbusha viongozi wetu wa Wilaya kufuatilia hotuba 15/09 Mh Rais wetu kuhusu watu kupewa vibali vya kusafirisha korosho na adha wanaopata wakulima.