wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  2. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

    Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi. Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao. Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda...
  3. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi sawa. Hayati Magufuli hakuwahi kuzuia wakulima kuuza mazao nje

    Kuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Itenge Maeneo Maalum kwa Ajili ya Wakulima na Wafugaji ili Kuondoa Migogoro ya Hifadhi za Ardhi

    SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI "Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu. Johannesburg ni sehemu inayohusika na Biashara tu. Tanzania tutenge maeneo yawe ni Maalum kwa wafugaji wetu tu...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe aishauri Wizara ya Kilimo kufungua dirisha ili Wakulima wapate Pembejeo mapema

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
  6. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Zambia kuzuia Mahindi kuingia Tanzania ni kutowapenda Wakulima Wake?

    Zambia wana upungufu wa Chakula na kwa sasa hawaruhusu Nafaka kutoka nje ya mipaka ya nchi yao hii ni ili kulianda Walaji wa ndani, kwa hio ni kwamba Mahindi ya Wakulima wa Zambia ni ya Umma? Linapo kuja swala la Usalama wa Chakula hakuna cha hii ni mali private wala nini, huwa kinacho angaliwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

    Hovyo kabisa! Tuna viongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao! Muda mbona wanao? Hongera mkulima hodari na ingawa haupo"
  8. B

    JamiiForums Tanzania CCM mbeLe kwa mbele: Wakati wa wafanyakazi, wanasiasa na wakulima nyie wafanyabiashara mnasema hayawahusu

    Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe. Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wakulima na Wafugaji Stadi Waunganishwa na Barabara Kuu Musoma Vijijini

    KIJIJI CHA WAKULIMA NA WAFUGAJI STADI CHAUNGANISHWA KWENYE BARABARA KUU Kijiji cha Kinyang'erere ni moja ya vijiji vinne (4: Bugwema, Kinyang'erere, Masinono, Muhoji) vya Kata ya Bugwema ya Musoma Vijijini. Vijiji vyote vinne (4) vimo ndani ya Bonde la Bungwema ambalo Serikali imepanga kujenga...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nancy Nyalusi: Tunaomba viwekwe vituo ambavyo wakulima wataweza kupata mbolea kwa wepesi

    MBUNGE NANCY NYALUSI ATOA MAPENDEKEZO KWENYE BAJETI YA WIZARA YA KILIMO BUNGENI JIJINI DODOMA "Wananchi wa Mkoa wa Iringa Tunaishukuru Serikali sana kwa mpango wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata Parachichi katika Wilaya ya Mufindi Kata ya Nyololo. Tunaomba Waziri atuambie ni lini ujenzi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yaleta tabasamu na Matumaini kwa Wakulima

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini iliyoleta Nuru na Mwanga kwa wakulima,Sasa Taifa ni Nuru tupu na mwanga kila eneo. Ikumbukwe ya kuwa...
  12. Mtuturas

    JamiiForums Tanzania Bashe deal na Wakulima na sio Majobless wa UVCCM

    Yaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo kwenye mazingira ya ukulima, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za serikali. Sawa jamii inakuona na imekuelewa. Ila tambua unachokifanya ni matumizi mabaya ya raslimali...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Florence Samizi ahoji wakulima kudhulumiwa

    Dkt. Florence Samizi Mbunge wa jimbo la Muhambwe, aunguruma bungeni akichangia Wizara ya Kilimo na akitaka hatua za serikali kwa makampuni yanayodhurumu wakulima fedha za mazao yao. ====== Waziri Bashe ajibu kuwa serikali imeanza kuchukua hatua za kisheria kwa kukatwa fedha kwa baadhi ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani - Pamba ipewe tija kwa Wakulima wa zao hili

    MBUNGE CHEREHANI - PAMBA IWE NA TIJA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Emmanuel Cherehani amesema Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe apewe udaktari wa heshima kutokana na mchango wake katika nchi yetu hususani kwenye Kilimo. "Wananchi wa Ushetu walipokea Mahindi ya kutosha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, wakulima hatutaki kurudi tena kuuza mahindi kilo 200, nasi tutakuja huko mjini

    Habarini wadau, Nimeona watu mtandaoni wakilalamika kuwa serikali ifunge mipaka ili wakulima tukose sako, na mazao yetu yashuke bei. Namuomba Rais asikubali na hii hoja, sababu hivi sasa wakulima tunauza mahindi kilo 500 hadi 600 huku shambani. Huko mjini unga nasikia haujashuka bei, kama Dar...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Michikichi fursa inayoweza kuwatoa kimaisha wakulima wengi

    Licha ya Tanzania kuwa na hali ya hewa inayoruhusu uzalishaji wa zao la michikichi, uzalishaji wake uko chini ukilinganishwa na nchi zianzozalisha kwa wingi kama vile Malaysia na Indonesia. Ni kwa sababu hii Tanzania hujikuta ikiagiza karibu tani 400,000 za mafuta ya mawese ili kukidhi mahitaji...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Morogoro Achangia Milioni Tatu Wakulima wa Mpunga Kilombero

    MBUNGE MHE. NORAH MZERU ACHANGIA MILIONI 3 VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MPUNGA KILOMBERO Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amechangia Miradi ya Kimaendeleo ya wanawake wa Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilombero Kata za Mang'ula A; Mang'ula B na Kata ya Kibelege Shilingi...
  18. mkwapuaji

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya wafanyakazi, wafanyabiashara na wakulima

    Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana na uwepo wa rasilimali za kutosha au maamuzi binafsi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko Wakulima wanaonufaika na mikopo ya kilimo kwa mwaka 2022/23

    Katika hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu mapitio ya serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka 2023/2024 amesema mikopo inayotolewa na benki ya maendeleo ya kilimo imetoa shilingi bilioni 78.54 kwa wakulima 119,797...
  20. Maguguma

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo. Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
Back
Top Bottom