wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  2. WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

    Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
  3. C

    Polepole umetimiza wajibu wako

    Yaliyopita yamepita, umeomba msamaha. Tuangalie uliloliangazia macho na roho jana
  4. Polepole: Chinua Achebe anaushauri wako ndani ya Things Fall Apart

    Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia: “Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men...
  5. Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  6. K

    Unajua waliopanga na waliompiga risasi Tundu Lissu wako wapi?Hata hawa wanaotaka anywongwe yatawakuta tu

    Ogopa sana mtu anayesimama na ukweli tena kwa ajili ya watu wake Mungu humpenda na Kumlinda Tundu Lissu anapigania haki juu ya Watanzania wote,anataka tuwapate Viongozi wa kweli watakaopatikana kwa kura za wananchi ambao watalinda rasilimali zetu siyo hawa wanaopita kwa rushwa na vimemo amabo...
  7. Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  8. Huu ni utabiri wangu wa EPL msimu huu wako ni upi?

    BINGWA: liverpool MFUNGAJI BORA: halaand GK BORA: donnaruma YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer TOP SIX: liverpool Man city Arsenal Man Utd Chelsea Tottenham
  9. Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  10. Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  11. Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    GT Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM. Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
  12. Una ghetto Kali sawa, vipi mazingira ya wazazi wako?

    Ni ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki. Wanalala chini Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa Hakuna fan Wala asset nzuri za maana. Kuwaweka wazazi wako kwenye mazingira mazuri haiitaji uwe na...
  13. U

    Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.

    Mithali 31:3
  14. Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

    Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?? Funguka
  15. Uhitaji wako ni Fursa kwa Wengine

    Pale unapokua na uhitaji wa kitu, au huduma Fulani we ndo Fulsa kwa Wengine. Ktk Maisha mambo ni mawili tu. Jambo Lenye kutoa pesa mfukoni mwako, na jambo Lenye kuingiza pesa ktk mfumo wako. Leo J2 Kumbuka wewe ni Fursa kwa Wengine.
  16. Ukiambiwa uwataje marapa 3 ambao ni wakali wa michano kutoka kwenye list hii, utaenda na nani?

    Wakuu, Ni ukweli usiopingika kuwa Hiphop siku hizi imekuwa ni nyepesi mno tofauti na zamani Siku hizi bars zimekuwa nyepesi na hata staili ysa kuchana imebadilika mno. Leo kuna playlists moja nimekutana nayo huko Spotify. ilikuwa na nyimbo za marapa hawa ambao tangu kitambo wako kwenye game...
  17. Njia 5 za Kujenga Kujiamini kwa Mtoto Wako

    Kujiamini ni sifa muhimu ya kumsaidia mtoto kufanikiwa katika maisha. Kama mzazi, unachukua jukumu muhimu katika kujenga msingi imara wa kujiamini kwa mtoto wako. Hizi hapa ni mbinu tano za kumsaidia mtoto wako ajiamini zaidi. 1. Msifie kwa Juhudi, Sio kwa Vipaji Badala ya kumsifia tu kwa...
  18. M

    Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali

    Imeshakuwa kawaida sana kuona status za wanawake wa kilokole wakimweka mhungaji wao na kumuandika "DADDY" yani BABA YANGU. Wachungaji wa kilokole ni hawa wanaosifika kwa miujiza ya Gesi, Keki za Upako, kufufa maiti, n.k. ukishaona mwanamke wako kakamatwa masikio na aina hii ya wachungaji...
  19. M

    Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  20. Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…