Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).
KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama...
Nehemia 4:14
Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na binti zenu, na wake zenu, na nyumba zenu.
Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha!
Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina?
Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.
Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa...
Chief Hangaya ameidhirishua Dunia kuwa chief hodari mwanamke wa Karne hii ya 21, ameionyesha Dunia kuwa ni chief mwanamke mwenye uwezo mkubwa wa kuilinda himaya yake na watu wake.
Huu uhodari ushuke Hadi chini kwa machifu wenzake wadogo wadogo katika kusimamia maadili ya watu wao, ili ifikie...
INAMAANISHA NINI KUSEMA MWANAFUNZI HAWI MKUU KULIKO MWALIMU WAKE?
Kauli ya “mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwalimu wake” ina asili ya Biblia (Mathayo 10:24; Luka 6:40) na ina maana pana katika muktadha wa elimu, maadili, na uongozi. Hapa chini kuna hoja 6 nilizoona kwamba zinazoeleza maana na...
Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mwanao nyumbani? Elite Home Tuition tunakuletea huduma bora ya walimu waliobobea kwa:
✅ Masomo yote – Sayansi, Hisabati, Lugha n.k.
✅ Mitaala yote – NECTA, CAMBRIDGE, IB
✅ Ngazi zote – Nursery hadi A-Level
✅ Lugha za kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kichina...
Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.
Swali: Ni kwanini?
Je, wanaona aibu?
ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
Aisee yani kama anajiogopa kila mtu anamuona ana msaliti.
Kanogewa na madaraka mpaka kufikia kuweka mashushu wake toka visiwani kila idara ili ukileta jambo la kukataa basi unaliwa kichwa au kupotezwa.
Sasa unaweka watu kizuizini mpaka watu walioamua kujitenga na wewe na uliwanyima wasiwe...
Kwa muda sasa Makamanda muhimu ambao ni sehemu ya uongozi wa JWTZ hawajaonekana. Nao ni Meja Jenerali Ibrahim Mhona na Meja Jenerali Mkeremy.
Tunataka kujua wapo wapi?
GT
Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu.
Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao...
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
Habari ya Sabato!
1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9.
2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa kuyazuia zipo hoja kuu mbili nilizoziona. Hoja ya kwanza ni Hakuna barua yoyote ya kuomba uwepo wa hayo...
Hii kauli ya kusema kijana ni taifa la kesho ni kama unamzuia leo ukisubiri ujana wake umeisha.
Vijana wanaitajika kuanza leo sio kesho sababu ndoto zao zipo leo wala sio kesho.
Hata sisi tulidanganywa sasa kuwa taifa la kesho mwisho wa siku tunafanya mambo ya kijana wakati ni watu wazima.
Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo.
WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo.
Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.