Unaandaaje Lishe ya mtoto wako?

Unaandaaje Lishe ya mtoto wako?

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
653
Reaction score
2,120
Hili si la wanawake pekee hata wanaume mnahusika katika kuhakikisha afya za watoto lazima kujua mtoto wenu anatumia lishe gani, je ina faa au bora asibe tu.

Kuna kautamaduni ka kuhisi lishe ya mtoto hasa uji ni ule wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali bila kujua kipimo cha nafaka hizo na kama zinapaswa kuwekwa pamoja kwa kuzingatia kiwango cha uivaji wake au virubitusho.

Sasa wazazi tutajuaje kuwa hii lishe inafaa kwa watoto ili tuandae?

Wataalamu wa lishe tujuzeni.


Pia soma: Je, ni sahihi kumpatia mtoto uji wa lishe? Wataalam wanasemaje?
 
Back
Top Bottom