Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 473
- 470
Dunia inaongozwa na kanuni ya kichocheo na matokeo. (Cause and Effect) Hakuna jambo linalotokea tu bila sababu.
Kila matokeo unayoyaona leo ni kwasababu ya jambo fulani lililofanyika kabla ya matokeo hayo kuonekana,Hii ndio kanuni ya msingi inayotawala maisha yetu.
Katika kitabu chake cha "The Success Principles" Mwandishi na mhamasishaji nguli wa maendeleo binafsi JACK CANFIELD anasema kuwa.
"You are 100% responsible for your life" akimaanisha kuwa
(Maisha yako ni wajibu wako kwa 100%)
Kauli hii ya Canfield....
Inatukumbusha kuwa hatupaswi kulaumu mazingira wala kusubiri bahati,ukipanda nidhamu utavuna mafanikio na ukipanda uzembe utavuna majuto
Inawezekana ni wewe au kuna mtu unamfahamu ambaye kila wakati aidha kwa kujua au kutojua amekuwa hapigi hatua kwa kukosea kanuni hii ya "Cause and Effect"
Leo acha kusubiri bahati badili kichocheo ili utengeneze kesho yako iliyobora kwani maisha yanaongozwa na kanuni sio bahati.
Dr.Zack ✍️